Air defence misile system zote zilisha teketezwa, zote jama kabuki mtupu......Mimi nachomshangaa huyu Rais wa Ukraine! Ni kila siku kuzililia nchi za NATO kuweka "No fly zone" wakati wamempa "Air Defense missiles"za kutosha lakini anashindwaje kuzitumia kuangusha ndege za kivita za Russia zinazoruka kwenye anga la nchi yake na kuishambulia.
atazirushia wapi mkuu,Putin kamuwahi mapema,Hana hata mahali pa ku zi monitor hiyo air missile's,[emoji23].mi ningemuona mjanja kama angeomba pooo, yaishe !![emoji23][emoji23]Mimi nachomshangaa huyu Rais wa Ukraine! Ni kila siku kuzililia nchi za NATO kuweka "No fly zone" wakati wamempa "Air Defense missiles"za kutosha lakini anashindwaje kuzitumia kuangusha ndege za kivita za Russia zinazoruka kwenye anga la nchi yake na kuishambulia.
MaJiji tu kuyachukua wiki ya pili sasa inaenda, hicho kichwa unadhani itatumika muda gani?Mm binafsi nitafurahi ikiwa tu nitaona kichwa cha huyu rais kipo kwenye kifungashio Nyamizi Tsh Sikirimimimasikini DeepPond Waite naomba kuungwa mkono hoja yangu.
mwaka 1867 marekani alinunua Alaska toka urusi kwa $7.2 million haya ndio mambo yanayomvuruga putin
Katumika Kama condom, Mara Moja TU baada ya tendo[emoji16]bahati mbaya sana, wamagaribi wanamtumia yeye kama chambo tu.wanamtesa sana mshikaji huyu.
Wewe bado mtoto sana kujadili mambo ya kikubwa. Siku nyingine ishia tu Instagram kuangalia ngongingo hapa yanajadiliwa mambo makubwa kuliko uelewa wakoTunatishana upuuuzi walishawahi kutest wapi? Ilo Bomu.
Zelensky Ni takataka Sana, analeta comedy vitani.May be hakuliona hilo embu tuendelee kuwa wapenzi watazamaji tuombe tu yasije yakawa makubwa zaidi ya hapa.
Hii iliwezekanajemwaka 1867 marekani alinunua alaska toka urusi kwa $7.2 million haya ndio mambo yanayomvuruga putin
View attachment 2139588
Putin Ni muungwana Sana, jamaa kashupaza fuvuAliambiwa kitu kirahisi sana. Kuwa waambie wanajeshi wako waweke silaha chini. Lakini kajiona yeye anajua sana.
Sasa baada ya hapa kuna kesi zitamkabili. Huyu jamaa atanyea debe.
[emoji23][emoji23][emoji23]Sisi vilaza wa Tanzania, mpaka wachambuzi wa nyuklia tunao. Na mchambuzi wa nyuklia unakuta anakaaa manyoni, ata Dar es salaam Tanzania apajui. Lakini anaichambua Russia na Ukraine kama anaichambua manyoni
kivipi?Hii iliwezekanaje
DW wamekosa cga kusema sasa hivi wanajadili wanawake na uongozi naona classmate wangu Maimuna anawatetea wanawake wenzake.Nipo nasikiliza DW
Kukubali umeshindwa sio udhaifu, Ni mbinu ya kivita pia ukikusanya Nguvu kumshinda adui yako baadae Siku za usoni.atazirushia wapi mkuu,Putin kamuwahi mapema,Hana hata mahali pa ku zi monitor hiyo air missile's,[emoji23].mi ningemuona mjanja kama angeomba pooo, yaishe !![emoji23][emoji23]
😂DW wamekosa cga kusema sasa hivi wanajadili wanawake na uongozi naona classmate wangu Maimuna anawatetea wanawake wenzake.
Ukraine leo ina wa-touch wenyewe kwa hiyo wameamua kuacha kuzungumzia.
Naona itafika hatua atajikabidhi mwenyewe kwa mrusiAiseee mshikaji anateseka sana
yanamvuruga kivipi?
pia kuna wakati nlikuwa najiuliza hii Alaska ipo Canada kwanini anaimiliki Usa!?
fundisho kwa nchi zingine duniani, tuwe makini na wamagaribi, wanajali sana maslahi yao na raia wao, wakati mwigine wanaweza kukutumia kama condom kwa maslahi yao. sasa maslahi ya nato ndio yanamuumiza mshikaji, aliahidiwa akiingia vitani watamsaidia, nchi imeshakuwa mavumbi na wanasema hawawezi kuingia vitani, watajaribu kumpa silaha apigane peke yake. this is not fair.Katumika Kama condom, Mara Moja TU baada ya tendo[emoji16]