Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Wazungu wanapenda sana sympathy [emoji22] kutoka kwa watu kama hawa wanaowashabikiaHapo ndo basi Urusi haiwezi kurudi nyuma tena, ukurain akubali matokeo yaishe Nato hawana la kumfanya Urusi, is more powerful than the entire EU nations
Atalegea tu, muda huwa ni kiranja mzuri.Mkuu unaweza kwenda Ukraine kuwasaidia sio kuropoka huku wkt hata JKT hukwenda
Wimbo wa Taifa la Russia.View attachment 2372689
IT IS DONE✅ 📄
Putin signed agreements on the accession of the DPR, LPR, as well as the Zaporozhye and Kherson regions to Russia
We are witnessing the biggest geopolitical defeat to the "West civilised society" political elites in the history in newer history...
Kwa huu ukubwa na utajiri wa Urusi lazima wazungu wapagawe.
Unapambana nalo vipi ..... Kuna watu ni wehu....
Ka nchi kama Uingereza hakajai hata kwenye kiganja.Unapambana nalo vipi ..... Kuna watu ni wehu....