Don Vill
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 2,237
- 5,698
We naye fal@ kama huelewi comments usiwe unakurupuka kuquote , unaquote halafu unaandika utopolo , ulichojibu ni nini hapa ? , Umeelewa nilichoandika kwenye hiyo comment hapo na point aliyokuwa ameandika huyo niliyemjibuHujaeleweka hapo " scientific brain ni kitu gani" na resources ni shetani gani.
Ikiwa nchi imewekewa vikwazo na mataifa 70 vikwazo mia nane. Hiyo nchi inapigana na hizo 70 kijeshi inachukua maeneo inapigisha KURA mbele ya hao wajuaji sabini . Hiyo nchi haina resources? KWANZA ungejiuliza hao wenye resources mbona wanahofu wasipo pata resources za asiye na resources . Nakadiria umri wako ni U20 na utakuwa mwaka wa KWANZA au wa pili CBE
Pumbav