Sorry but
Umeamua mwenyewe kuwa mpumbavu so inabidi nikuite tu
Hivi unanzaje kuamulia nchi huru nchi za kushirikianazo
Ni sawa na Kenya itumamulie tusijiunge sadec kwa sababu ni tuko EAC, na ulivyo mpambavu ungekubali
Au enzi za Vita baridi pamoja na uchanga na umaskini wa nchi yetu mwalimu alikataa kupangiwa marafiki, lakini kwa akili zako hizi za ajabu ungekubali kupelekeshwa
Ww Kama ni baba naionea huruma familia yako, inaonyesha uko tayari kuachia familia kwa jirani yako tu kisa ni tajiri au Anna nguvu hata mke unaweza kunyanganywa we on
Gift kwa jinsi unavyotetea hoja zako..ni kama hujui kabisa ulimwengu huu unavokwenda, unatumia hisia zaidi....na ndo maana wadau kibao wamekushauri kidogo uende ukasomesoke kidogo mambo ya Geopolitics, utawala n.k..
Duniani kote ni kama watu tunaviziana tu..hivi unajua mfano why nchi zina majeshi ya kulinda mipaka??Hao Kenya unaowatolea mfano..hivi kwenye mipaka yetu unafikiri hakuna majeshi ns ulinzi..na unafikiri ni kwa nini??Kama ni hivo unavofikiri kwamba dunia ni amani na tawala zimeridhika si tungevunjulia mbali majeshi yetu yote ulimwenguni sababu kila mtu ana mpaka wake....??
USA unajua anakambi ngapi za jeshi nje ya nyumbani kwake, na unajua ni kwa nini??
Unajua kwa nini viwanda vya silaha duniani kote vinaendelea kutengeneza silaha tena za maangamizi, ndege vita, vifaru, kemikali za sumu??
Unajua kwamba hata mipaka hii unayoisema wewe tuliyonayo (Afrika mfano)...haikuwepo miaka 100 iliyopita???.Na tunauhakika gani kama itakuwepo miaka 200 ijayo???
Unajua hata kwa nini UN ilianzishwa na kwa nini ipo??
Unajua kwa nini kila nchi inavyombo vya ujasusi kwa ajili ya kulinda maslahi yake kwanza na si ya nchi nyingine??
Unajua hata why USA ilipigana VIETNAM, IRAQ, LIBYA, YUGOSLAVIA, SOMALIA, AFGHANISTAN??
Unajua why hata USA iliwapiga na NUCLEAR JAPAN??
Unajua hata kulikua na skendo ya USA kuwapeleleza viongozi wakubwa duniani akiwamo Angela Markel...(2018)..???
In short huo UTAKATIFU NA USTAARABU UNAOTAKA KUUONYESHA WEWE HAUPO...NA HAUTAKUWEPO....
NI KILA MTU KUWA NA UWEZO WA KULINDA MASLAHI YAKE NA KUFANYA WENZAKE WAMUHESHIMU NA KUMKUBALI....KILA MTU ANAHAKI YA KUJILINDA HATA KAMA NI KWA EXPENSE YA WENGINE...
Kama USA anavyopambana kuweka maslahi yake sawa, ndivyo, TURKEY anapambana, ndivyo CHINA anapambana, Ndivyo Russia anapambana n.k...Na kwa sasa mpambano Uko Ukraine pale..ngoja tusubiri mshindi