Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Maadam sio tusi la direct wala usiniombe samahaniSorry kwa maneno makali
But
Upambavu ni kutaka kuhalalisha makosa kwa kutumia makosa mengine na isitoshe madhara yake yameonekana wazi
Hutuwezi kurekebisha kosa kwa kurudia makosa
Hatuhalalishi kosa kwakosa ila nyie mnao lalamikia RUSSIA mlalamikie na majeshi ya US yaliopo SYRIA yanaiba tu
Pia hao US na shost zake wanapata wapi uhalali wakukemea mwenzao wakat wao wanafanya the same
Au wapi ulikemea yanayofanywa SYRIA na US ili uwe kama kielelezo
RUSSIA yupo sawa atetee maslahi na usalama wake aachwe
Sent using Jamii Forums mobile app