Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The 13 Slavic countries (and the Slavic populations):​

  • Belarus - 9,498,700
  • Bosnia & Herzegovina - 3,829,000
  • Bulgaria - 7,265,000
  • Croatia - 4,253,000
  • Czech Republic - 10,200,000
  • Macedonia - 2,107,000
  • Montenegro - 621,383
  • Poland - 38,530,000
  • Russia - 143,500,000
  • Serbia - 7,164,000
  • Slovakia - 5,414,000
  • Slovenia - 2,060,000
  • Ukraine - 45,490,000
 
Jaribu kutumia akili.

Sio kila kitu ambacho ww unaona hakifai na basi na mwenzako atakiona kwa mkutadha wa mtazamo wako

Mfano mm ninaona Ushoga ni kitendo cha kipumbavu na cha kijinga na huu ni mtazamo wa waafrika wengi ,lakini upande wa nchi za magharibi wao wanaita haki za binadamu na wanatumia nguvu kubwa na mabilion ya$ kuutangaza.

Ww kusema vita isiyo kuwa na kicha wala miguu huo ni mtazamo wako na viongozi wa nchi za magharibi kwa sababu vita hiyo iko kinyume na maslahi yao ila kwa Upande we Urusi inajua haslahi yake na ndio maana ilivianzisha.

Alafu kitu kingine una uelewa mdogo sana kwenye siasa za mataifa makubwa na hilo limedhihirishwa na uliyo yaandika.

Jamani acheni kuwapa sifa wasizostahili....unasema ana uelewa mdogo?!?!nionavyo Mimi watu wa Aina hiyo hawana kabisa uelewa wa masuala ya kimataifa...yaani hata ule mdogo hawana...ni zero..
 
Jaribu kutumia akili.

Sio kila kitu ambacho ww unaona hakifai na basi na mwenzako atakiona kwa mkutadha wa mtazamo wako

Mfano mm ninaona Ushoga ni kitendo cha kipumbavu na cha kijinga na huu ni mtazamo wa waafrika wengi ,lakini upande wa nchi za magharibi wao wanaita haki za binadamu na wanatumia nguvu kubwa na mabilion ya$ kuutangaza.

Ww kusema vita isiyo kuwa na kicha wala miguu huo ni mtazamo wako na viongozi wa nchi za magharibi kwa sababu vita hiyo iko kinyume na maslahi yao ila kwa Upande we Urusi inajua haslahi yake na ndio maana ilivianzisha.

Alafu kitu kingine una uelewa mdogo sana kwenye siasa za mataifa makubwa na hilo limedhihirishwa na uliyo yaandika.
Ungetumia akili ndogo tu akaweka mihemko na ushabiki pembeni ungeelewa
Rudia Tena kusoma
Maswali na hoja nilizouliza
Halafu kitu sahihi na ukweli ni vitu ambavyo havibadiliki kulingana na mitazamo ya mtu, Kama wizi sio sahihi utabaki hivyo ulaya Asia hata Africa,
Na hiyo haizuii kuwepo watu wapambavu watakaomua kuhalalisha haramu but itabaki kuwa sio sahihi

Ungekuwa na uelewa mkubwa ungeelewa simple logic nilizoziweka
Huu ulimwengu hauhitaji manguvu mengi Kama anavyofanya Putin kuteketeza resources na roho za watu wake bure
Bali unahitaji akili na ushawishi
 
Walio leta hii habari ndio walio tuletea habari ya Urusi kubakiza chakula cha siku tatu.

Ndio walio tuambia kuwa Urusi imeajili mamuluki kutoka siyria lakini mpaka sasa ni miezi imepita hatujaona mupiganaji yeyote kutoka Siyria kwenye uwanja wa vita.
Ndio walituambia kuwa Urusi imeishiwa silaha na inaomba china lakini mpaka sasa hatujaona silaha yeyote ya kichina kwenye uwanja wa vita.

Ndio walituambia kuwa Putin ana umwa na ana karibia kufa.
Hakuna aliyeleta habari kwamba Urusi haina chakula. Wote wanajua Urusi bado kuna chakula tosha. Unadanganywa na propaganda au umeamua kusambaza propaganda.
Habari ilikuwa vikosi kadhaa za Urusi zilitumwa (na zinatumwa) katika mapigano bila chakula cha kutosha. Ambacho ni ukweli Mtupu.
Inajulikana kwamba udhaifu mmoja wa jeshi la Urusi ni mfumo wa ugavi na
usafirishaji wa vitu. Imeshajadiliwa mahali pengi Warusi wanategema reli hasa, hawakupanga malori ya kutosha . Ambayo ni sawa kwa vita ya kujitetea kwao (penye reli ya kutosha) lakini haitoshi kwa vita ya kushambulia.
Hapo siri ya matatizo ya kupeleka vifaa pamoja na chakula mbele.
Jielimishe kidogo, Bwana !!
 
◾Reagan Approved Plan to Sabotage Soviets, the US blowed up a Russian gas pipeline in Siberia in the summer of 1982.

◾The information from this text was first published in The Guardian
By David E. Hoffman February 27, 2004.

◾In January 1982, President Ronald Reagan approved a CIA plan to sabotage the economy of the Soviet Union through covert transfers of technology that contained hidden malfunctions, including software that later triggered a huge explosion in a Siberian natural gas pipeline, according to a memoir by a Reagan White House official.

Thomas C. Reed, a former Air Force secretary who was serving in the National Security Council at the time, describes the episode in "At the Abyss: An Insider's History of the Cold War," published by Ballantine Books. Reed writes that the pipeline explosion was just one example of "cold-eyed economic warfare" against the Soviet Union that the CIA carried out under Director William J. Casey during the final years of the Cold War.

At the time, the United States was attempting to block Western Europe from importing Soviet natural gas. There were also signs that the Soviets were trying to steal a wide variety of Western technology.

"In order to disrupt the Soviet gas supply, its hard currency earnings from the West, and the internal Russian economy, the pipeline software that was to run the pumps, turbines, and valves was programmed to go haywire, after a decent interval, to reset pump speeds and valve settings to produce pressures far beyond those acceptable to pipeline joints and welds," Reed writes.

"The result was the most monumental non-nuclear explosion and fire ever seen from space," he recalls, adding that U.S. satellites picked up the explosion. Reed said in an interview that the blast occurred in the summer of 1982.

Reed said he obtained CIA approval to publish details about the operation. The CIA learned of the full extent of the KGB's pursuit of Western technology in an intelligence operation known as the Farewell Dossier. Portions of the operation have been disclosed earlier, including in a 1996 paper in Studies in Intelligence, a CIA journal. The paper was written by Gus W. Weiss, an expert on technology and intelligence who was instrumental in devising the plan to send the flawed materials and served with Reed on the National Security Council. Weiss died Nov. 25 at 72.
 
Urusi ingekuwa na akili kubwa na utulivu, asingeanzisha hii Vita isiyokuwa na kichwa Wala miguu.
Ina maana atapigana majirani zake wote I'll kujilinda,
Hivi kila nchi ikiamua kupangia jirani yake marafiki itakuwaje,
Anateketeza Kodi na resources za nchi yake kwenye Vita ya kipumbavu.
Hawa viongozi wa kijamaa na kikomunist hawapaswi kuendelea kuongoza kwenye ulimwengu huu was kisasa uliostaarabika.
Kutumia nguvu nyingi kutatua matatizo ni ishara ya akili ndogo.

Alafu nyie mnaoshabikia maamuzi ya Putin sijui mnatumia akili gani ?
Hao ambao hawatumii nguvu kutatua matatizo ndio waloivamia LIBYA unaona sasa hv LIBYA ilivyonaamani nausalama eeeh

Hao ambao hawatumii nguvu ndio waloenda kuvamia IRAQ siunaona IRAQ ilivyokua imetulia amani kila mkoa na vijiji na miji

Hao wenye akili ndio walivamia YUGOSLAVIA

Hao wenye akili ndio waliitwanga VIETNAM

Hao wenye akili ndio waliovamia AFGHANISTAN umeona kulivyo naamani muda huuu

Mwisho hao waliokua naakili ndio walioitwanga NAGASAKI na HIROSHIMA kwa nyuk

Sasa wewe jiulize kama PUT IN hana akili hao wengine wenye akili wanatofauti gani na huyu kichaa PUT IN

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili iweje..yanayotokea huko field yanajieleza...majimbo manne ya Ukraine Sasa ni Mali ya Russia...au mnabisha?!
Mali ya Urusi? Kwa sababu Bwana Putin anaandika jina kwenye karatasi?? Unachekesha.
Kati ya Mikoa minne, kuna moja tu ambako ameshashika zaidi ya 90% - kwa sasa. Mji wa Zaporishia (makao makuu ya mkoa) hana. Donetsk ana 60% hadi sasa...
Unapenda hadithi za Abunuwasi ?

https://en.wikipedia.org/wiki/Zaporizhzhia​

Asante umejitahidi kujibu kiutu safari hii. Hata hivyo, historia yako ina mapengo makubwa.
Azimio la kupunguza jeshi la Urusi lilikubaliwa na kamati kuu ya chama cha kikomunisti tayari tarehe 13 Novemba 1985, si 1989.
Mwaka 1986 hakuna aliyewaza kwamba Jeshi Jekundu litaondoka pia Ulaya MAshariki siku moja.
Warusi walipanga hatua za mwisho vizuri zaidi kuliko Marekani.
Hata hivyo, waliamua kuondoka kwa sababu waliona hawawezi kushinda, wanapoteza askari wengi mno na vita inaleta upinzani ndani ya Urusi na koloni zake (=jamhuri za USSR).
Kwa kifupi: waliacha kwa sababu gharama za vita zilikuwa kubwa mno. Vivyo hivyo sababu ya Marekani kuondoka...
Hence Afghanistan kujulikana kama graveyard of empires
 
IMG_20220929_213951_906.jpg
IMG_20220929_213958_172.jpg
IMG_20220929_213955_422.jpg

A new Russian luxury SUV Aurus Komendant has been presented in Moscow. Pre-order is available from September 29th.

Commercial sales will begin in the first quarter of 2023, the starting price of the novelty is 33.7 million rubles. At the start of sales, 9 colors will be available, among which 3 are completely new (on the frames of copper dusk - "copper sunset").
 
Kwa hiyo wewe unaakili Sana Warusi hizi vita wameanza kupigana kabla ya mababu zako kuwepo
Kwa hiyo akili na mbinu walizotumia mababu zao ndo wanataka wazitumie kwenye ulimwengu wa Sasa ?
Ndo maana nasema Hawa viongozi wenye fikra za kizamani na kikomunist na kijamaa hawapaswi kuendelea kuongoza kwenye ulimwengu wa kisasa na kistaarabu,
Inabidi waondoke au waondolewe kwa gharama yoyote
 
Ukiwa na mtindo wa ubongo huwezi elewa kwamba soli ya kiatu inaweza kuwa na mchanganyiko wa rubber material ambayo ni flexible. Au wewe ndio wale mnavaa viatu vina soli ya mbao?

Ukitazama hiyo barabara, vipande vya nyama vinaonekana kwenye trails. Ila hii na kwa mwenye critical thinking tu, tia maji tia maji hawezi ona.

Na aliyekwambia kifaru kinasaga ni nani? Kifaru kimetengenezwa kisiwe kina-suck in foreign materials. Kinatakiwa kipite na kukanyaga vitu, sio kuvibeba na kuviingiza kwenye gear maana vitaiharibu. Hiyo sio mashine ya kusaga. Being run over by a tank ni kitu kinajulikana kabisa maana dereva ndani ana uoni mdogo hasa kwa vitu vya karibu. Endelea kujifunza
Huna akili bhana, kawaambie wapumbavu wenzako.
 
Kwa hiyo akili na mbinu walizotumia mababu zao ndo wanataka wazitumie kwenye ulimwengu wa Sasa ?
Ndo maana nasema Hawa viongozi wenye fikra za kizamani na kikomunist na kijamaa hawapaswi kuendelea kuongoza kwenye ulimwengu wa kisasa na kistaarabu,
Inabidi waondoke au waondolewe kwa gharama yoyote
Tatizo ushoga unakula akili zenu. Nenda kasome kwanza Geopolitics ndio uje kujadili hapa.

Unaonekana wewe ni mjinga au wewe bado ni mtoto upo secondary au chuo.
 
Kwa hiyo akili na mbinu walizotumia mababu zao ndo wanataka wazitumie kwenye ulimwengu wa Sasa ?
Ndo maana nasema Hawa viongozi wenye fikra za kizamani na kikomunist na kijamaa hawapaswi kuendelea kuongoza kwenye ulimwengu wa kisasa na kistaarabu,
Inabidi waondoke au waondolewe kwa gharama yoyote
Kwa hiyo wewe unajua mbinu za kisasa kuliko wao?Acha kujiaibisha
 
Back
Top Bottom