HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,321
- 103,590
Yes kumbuka palikuwa na mfululizo wa Iranian drones all over, baadae sijui kosa gani likafanyika...Hivi kumbe Himars zilibomoa training na launching stations?! Sikujua hili
Ikatangazwa kuwa training facility ikiwa na Wairan 20 kama trainers, warusi kama trainee na silaha zote ziliteketezwa kwa Himars strike...
Baadae Wizara ya Ulinzi ya Ukraine ikasema kuwa kila kombora la Himars halijawahi potea njia, likiruka laenda tua sehemu kwa usahihi...
Maana siku hiyo walituma kombora kama 18 hivi