CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,867
- 16,016
We jama una matatizo ya akili, kifaru kikukanyage mwili uzame aridhini badala ya kusagika?? Kiatu kiwe kizima hivyo??Huyu kijana wa Putin kakanyagwa na kifaru chake mwenyewe. Ajari ya kawaida kwenye majeshi yasiyo na mafunzo na umakini mzuriView attachment 2371311
We jamaa ni MWEHU.