Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nuke ikipigwa hakuna mwingine atakayethubutu kupiga . Haipigwi mara mbili . Atakayewahi kupiga Ndio kapiga tena. Hujui mambo mengi BADO hujui maswala ya security na maswala ya kimataifa. Ikishatokea janga kama hilo Dunia nzima itakuwa katika kulaani na kutaka kuwajibisha wahusika sio kupiga nuke nyingine. Nuke ina madhara ya kidunia sio kwa nchi
Sasa ingekuwa ikipigwa mara moja tu haipigwi tena si ndiyo ingekuwa njia rahisi kwa mataifa yenye hizo nukes kuwahi kupiga nukes wakiamini wakipiga wao hakuna mwingine anayeruhusiwa kupiga zaidi ya kulaani tu.

Putin hawezi kupiga nukes na akijaribu basi atapata majibu yanayolingana ama kuzidi hayo katika ardhi yake.
 
@Bwana Utam kuna comment moja alisema ikichelewa sana itachukua week 2 kutengenezwa.Sijui alitoa wapi ile taarifa [emoji3]
BBC wanadai inaweza kuchukua miezi mitatu hadi sita.
Screenshot_20220929-070141_Chrome.jpg
 
Sasa ingekuwa ikipigwa mara moja tu haipigwi tena si ndiyo ingekuwa njia rahisi kwa mataifa yenye hizo nukes kuwahi kupiga nukes wakiamini wakipiga wao hakuna mwingine anayeruhusiwa kupiga zaidi ya kulaani tu.

Putin hawezi kupiga nukes na akijaribu basi atapata majibu yanayolingana ama kuzidi hayo katika ardhi yake.
acha kuropoka na shibe yako ya ugali dagaa unajua nini wewe?
 
Sasa ingekuwa ikipigwa mara moja tu haipigwi tena si ndiyo ingekuwa njia rahisi kwa mataifa yenye hizo nukes kuwahi kupiga nukes wakiamini wakipiga wao hakuna mwingine anayeruhusiwa kupiga zaidi ya kulaani tu.

Putin hawezi kupiga nukes na akijaribu basi atapata majibu yanayolingana ama kuzidi hayo katika ardhi yake.
Nadhani tatizo la umri au suji kitu gani Nuke ikipigwa maafa yake hakuna ataethubutu kupiga nyingine ndio maana mataifa yanasema hakuna mshindi. Hata hao NATO hawasemi akipiga Nuke nasi tutapiga nuke ni issue ya morality . Nuke sio silaha ya exchange ni maangamizi ya uhai. Hiroshima Nagasaki ilimaliza vita ni mambo ya kutisha . Sasa Dunia ina makombora mazito na mengi zaidi na mifumo mingi ya kurusha hayo makombora . Kwa kamasi zetu tunashabikia matendo ya Biden . Ni kamasi tu.
 
ANOTHER GAS PIPELINE BLOWN UP​

WORLD HAL TURNER 28 SEPTEMBER 2022 HITS: 8917
NOW UNLOCKED for General Public
Another natural gas pipeline has apparently been blown up.
Reports are now flooding-in of a massive pipeline explosion in (or near) the northern boundary of Kherson Oblast, one of the regions where a recently finished Public Referendum saw that region vote to leave Ukraine and join Russia.
Reports are sketchy right now, and information is hard to come by, but according to maps of the gas line network inside Ukraine, this particular pipeline is likely to be the SOYUZ pipeline from Russia to Moldova, Romania, Bulgaria, and Turkey.
Again, information is sketchy right now.
What is confirmed is that there has been a massive gas pipeline explosion inside Ukraine.
Video:

UPDATE 7:58 PM EDT --
More information has come in and it now appears that the gas line involved is FED BY the SOYUZ gas pipeline, but it is NOT the SOYUZ pipeline itself. The gas line involved is now reported to the be single pipeline that feeds natural gas to . . . CRIMEA.
KhersonGasPipelineMap.jpg
 
Attachments

  • KhersonGasPipelineBlownUp.mp4
    519.9 KB

Hii kweli vita ya uchumi
 
Na ndio atulize mshono sasa winter itakuja na life litasonga life Europe halijaanza leo limekuwepo Kwa maelfu ya miaka Kabla hata ya kugunduliwa mafuta na gesi , no compromise with a fashist invader
Wewe huishi Ulaya ndio maana una-ongea maneno ya hovyo namna hii.Those who live in Europe see things very differently.For them,the future is bleak,without hope and very terrifying.They view the sanctions as being unnecessary and serving the evil purposes of their leaders and masters.
 
USHAHIDI ZAIDI OVERWHELLING UNAO-ONYESHA KWAMBA MAREKANI INAHUSIKA MOJA KWA MOJA KATIKA MIUNDO MBINU YA KUPELEKA GESI ULAYA.

Urusi alijiona ana haki ya kulipua miundombinu ya kijamii huko Ukraine,sio vibaya na yeye akaipatapata,
 
Back
Top Bottom