Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Associated Press imesema Marekani itaongeza HIMARS 18 kwenye package yake ya $ 1.1 bilion ili kupambana na drones za Iran.

Last week baada ya drones kushambulia Ukraine walifanya ujasusi mkali kujua command post ya zile drones iko wapi wakaifyeka na HIMARS.
Its HIMARS o'clockView attachment 2371099

‼️🇷🇺The referendums are over. The outcome is clear. Welcome home to Russia! - D. Medvedev
 
Attachments

  • SmartSelect_20220928_225305_Telegram.jpg
    SmartSelect_20220928_225305_Telegram.jpg
    18.8 KB · Views: 15
Associated Press imesema Marekani itaongeza HIMARS 18 kwenye package yake ya $ 1.1 bilion ili kupambana na drones za Iran.

Last week baada ya drones kushambulia Ukraine walifanya ujasusi mkali kujua command post ya zile drones iko wapi wakaifyeka na HIMARS.
Its HIMARS o'clockView attachment 2371099
Ila hizi HIMARS 18 Marekani hawatazitoa toka kwenye hifadhi Yao ya silaha Bali wametoa order kwa Lockheed Martin (manufacture) hivyo hazitawasili kipindi hiki zitachukua mwaka mmoja mpk miwili.

Halafu hivi mmegundua siku za hivi karibuni (hizi wiki mbili) Russia imepunguza karibu 90% kufanya mashambulizi Kwa kutumia cruise missiles kama Kalibr?!
Na baada ya Ukraine kuweka wazi kwamba wametengeneza Himars za mbao ili wawachanganyen warusi siku hizi hatuoni tena Urusi ikiclaim kwamba imeharibu mifumo kadhaa ya Himars!!!!
 
Moja ya athari ya vita... sasa hivi wananchi wengi wa EU wanashindwa kulipia 'LUKU' ya huku..... gov. zimeamua 'kuwasaidia' hao wananchi kwa kuwaingiza kwenye 'madeni' 🙆🏿‍♂️...... uraaaaah
 
Kaka kuanguka Kwa USA utasubiri Sana inawezekana hata vitukuu vyako visishuhudie,wakati fedha karibu zote za mataifa makubwa zinatetereka Dola ya Marekani inazidi kuimarika watu wananunua zaidi Dola kuliko fedha nyingine yoyote.
Baada ya NS 1 & 2 kulipuka,kuna uwezekano hayo mabomba yasiweze kufanya kazi tena hivyo ni pigo kwa Urusi sababu kakosa mteja wa uhakika sababu asilimia kubwa ya Gas ya Russia alikua akiuza Europe,ni pigo kwa Europe pia japo wao wapo busy wanatafuta supplier wengine wa uhakika kama Qatar,USA, Australia,Canada,nk.
Putin awe makini Sana maana hii vita inaweza kumchomoa madarakani. Kumbuka Putin alikua anapata zaidi ya $100 BN kwa mwaka kutokana na mauzo ya Gas Europe,sasa hiyo biashara inaenda kufa. Imagine anaenda kuzikosa $100 bn. Ukijumlisha gas na mafuta mwaka Jana ilifika $400 bn.
Unacho takiwa kushangaa ni baadhi ya wana siasa wa nchi za magharibi na Ukraine wanaishutumu Urusi kuwa ndio inahusika kuya lipua hayo mabomba kwa makusudi ili kusambaratisha serikali za Ulaya kipindi cha baridi.

dah siasa ni kitu kigumu sana kukielewa.
 
Kwa mujibu wa russia state controlled media TASS,mji wa urusi ulioko mpakan na georgia umepiga marufuku magari ambayo hayajasajiliwa mjini humo kuingia, jamaa wameanza kurestrict wananchi wao wasikimbie nchi, pia kitua cha mobilization kimefunguliwa hapohapo mpkn ili kuwachukua wale wote wanaotakiwa kwenda vitani, warusi kazi wanayo
 
U.S. State Department Issues DIRE Warning: Americans should "Leave Russia Immediately"​

28 SEPTEMBER 2022
The U.S. State Department has issued what is already being described as "the most dire warning ever seen" to Americans in Russia: Leave Immediately.
Specifically, the State Department told Americans "U.S. citizens should not travel to Russia and those residing or travelling in Russia should depart Russia immediately..." Here's the exact wording:
FdurawrXkAEcIHT

FdurawsX0AAyZII

This is the type of warning the State Department issues about countries where the U.S. is going to war.
And the State Department has good cause to think we're going to war, because in large measure, it is the State Department that is CAUSING IT!
Just yesterday, Secretary of State Antony Blinken told Ukraine "Ukraine can use western weapons against territories seized by Russia." The territories he seems to be referring to are the areas of Luhansk, Donetsk, Kherson, and Zaporozhye, which concluded Public Referendums yesterday, and voted overwhelmingly to leave Ukraine and become part of Russia.
Think about that for a moment: The people in those areas VOTED, and Blinken says the US "will not recognize . . ." that vote.
As if he has a choice . . .

We The People have a right to defend ourselves from what these phony government people are causing. And we'd better start defending ourselves fast, while we're still alive, and still have a country left to defend.
At the rate these election-thieving illegitimate government nitwits are going, America will likely be NUKED by Russia within weeks.
 
Kwa mujibu wa russia state controlled media TASS,mji wa urusi ulioko mpakan na georgia umepiga marufuku magari ambayo hayajasajiliwa mjini humo kuingia, jamaa wameanza kurestrict wananchi wao wasikimbie nchi, pia kitua cha mobilization kimefunguliwa hapohapo mpkn ili kuwachukua wale
SmartSelect_20220929_002153_Twitter.jpg
wote wanaotakiwa kwenda vitani, warusi kazi wanayo
 
⚡⚡⚡US intelligence and allies have begun to take a closer look at any evidence that Russia could use tactical nuclear weapons in the conflict in Ukraine.
For example, the United States is now making more use of commercial satellites that take pictures of the Earth's surface in places where there are Russian military units that could theoretically be ordered to use nuclear weapons⚡⚡⚡
Wanajua walichofanya Nord Stream thus why wanajihami ila dawa yao ipo 😂😂😂 siamini kama Putin ni mjinga kiasi hicho
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Gaidi la kike la Ukraine limedakwa wakati linataka kupanda bomu kwenye kituo chakupigia kura...ngoja niwasiliane na FSB waniletee nilifanyie torturing ghetto[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji845] ‘Terrorist Plot’ Foiled at Mariupol Polling Center

The DPR Ministry of Internal Affairs reports that a 24-year-old saboteur has been detained for leaving an IED at a referendum polling center in the city of Mariupol.

The suspect, identified as Iryna Navalna, allegedly planted nearly 1 kilogram (2.2 pounds) of plastic explosives at the polling center before being detained by police who stopped her from detonating at the last moment.

During questioning with authorities, Navalna admitted to accepting 30,000 hryvnias ($812) from Ukrainian security personnel to plant the device, and was promised another 70,000 hryvnias ($1,900) if the plot was successful.

“I was aware that [this would lead to victims]. I have problems with empathy,” she reportedly said during questioning.

Subscribe to RTView attachment 2370453View attachment 2370455View attachment 2370456
Mtt mdogo wanamlaghai na million 6 aharibu referrendum kenge sana wacha akagongwe na wa chenchen selo
 
Kama ambavyo Russia amefanya ugaidi wa kiuchumi kwa Ukraine na yeye ajiandae kwa ugaidi kwenye Uchumi wake. Sasa anaenda kukosa zaidi ya $300 BN za mafuta na Gas alizokua anauza Europe.
Tundu la 4 limepatikana NS2 wanasema ni kubwa kuliko yote maana lina ukubwa wa 200mt

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Hii habari kama ni ya kweli bhas kuna uwezekano hii vita ikaisha kwa mazungumzo.

[emoji298]️Meduza: Kremlin to hold back on illegal annexation of Ukrainian territories.

According to independent Russian media outlet Meduza, the annexation will be postponed as it now won't have the desired "PR effect" on the Russian population that is dissatisfied with mobilization.
Ikitokea hivyo maana yake Putin ataona kashindwa kabisa kwani ataacha yatambua maeneo yake, hivyo hatakuwa na sababi ya kuyalinda tena

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
US announces USD 1.1 billion more in military aid for Ukraine

$1.1 bln [emoji631] additional security assistance for [emoji1255]:
[emoji736]18 HIMARS
[emoji736]150 HMMWVs
[emoji736]20 multi-mission radars
[emoji736]40 trucks, 80 trailers
[emoji736]Tactical secure comms & surveillance systems
[emoji736]Explosive ordnance disposal equipment
[emoji736]Body armor
Other equipment
Vifaa ambavyo wanajeshi wa Urusi wanaota kuviona, kama hizo himars wanaziona kwa youtube tu

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Associated Press imesema Marekani itaongeza HIMARS 18 kwenye package yake ya $ 1.1 bilion ili kupambana na drones za Iran.

Last week baada ya drones kushambulia Ukraine walifanya ujasusi mkali kujua command post ya zile drones iko wapi wakaifyeka na HIMARS.
Its HIMARS o'clockView attachment 2371099
Inasemekana ilikuwa training facility ndo maana tokea hapo zile shaheed hazijaonekana tena hadi leo

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Ila hizi HIMARS 18 Marekani hawatazitoa toka kwenye hifadhi Yao ya silaha Bali wametoa order kwa Lockheed Martin (manufacture) hivyo hazitawasili kipindi hiki zitachukua mwaka mmoja mpk miwili.

Halafu hivi mmegundua siku za hivi karibuni (hizi wiki mbili) Russia imepunguza karibu 90% kufanya mashambulizi Kwa kutumia cruise missiles kama Kalibr?!
Na baada ya Ukraine kuweka wazi kwamba wametengeneza Himars za mbao ili wawachanganyen warusi siku hizi hatuoni tena Urusi ikiclaim kwamba imeharibu mifumo kadhaa ya Himars!!!!
Urusi yuko blind maana all NATO assets macho yako Urusi, China

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom