bahati93
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 1,565
- 2,966
* mfano mwingine*
Pro russia mpo kuilaumu serikali ya Marekani sikilizeni huu mfano, mtoe mtizamo wenu, ili tujue IQ zenu Imeishia wapi.
Chukulia mfano kuna manzi umekutana nae, manzi ni kigori, and she is naive kwenye mambobya mahusiano, manzi kakuelewa sana mkaanzisha mahusiano. Tatizo moja Ex wa manzi wako ana wivu mkubwa sana, mbaya zaidi ni mkorofi. So siku moja Ex akamtekq manzi na kuanza kumshushia kipigo cha mbwa mwitu huku akichukua watoto wanne waliobaki kwa manzi ( hakuridhika na yule mmoja aliyemchukua hao nyuma ). Manzi analia kwa uchungu akikuomba msaada.
Je, Kama wewe ndio bwana wake mpya utafanyeje?