Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hivi vitu n very complex
Yes vita is complex ndio maana naleta mifano kunyambua ugumu wake. Kila jambo gumu kuna namna ya kulieleza kwa lugha raisi.
Mimi na ww kua upande tofauti haimaanishi ww ndio uko sahihi mimi siko sahihi kiufupi ni kama 69.
Ndio ni kweli usemacho lakini binadamu wote tupo sawa tuna hisiaa zinazofanana hivyo jambo baya kila mmoja wetu anajua ndani ya roho yake
 
Jiji la liman limekuwa kaburi la wanajesh wa ukraine kila wanapojaribu kuingia wanapewa kichapo kikali maiti za wanajesh wa ukraine zimetapaka kila sehemu
avatar yako inaakisi kile unachokiandika.., huyo jamaa kwenye avatar yako kwa kumuangalia tu anaonekana ni mtu wa kukurupuka [emoji16][emoji16][emoji16]
 
National Symbol of western values spotted kwenye ubalozi wa US... Hiyo bendera chini ya bendera wanaitukuza sio poa.

View attachment 2370972

Karibuni kwenye ulimwengu wa "free world" wengine wamezaliwa na hizo hormones za ki-rainbow kama ndugu Mwanamkiwi So msiwanyanyapae [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Ufalme wa kishoga
 
⚡️ Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine (September 29, 2022)

The Armed Forces of the Russian Federation continue the special military operation.

💥 High-precision attack launched by Russian Aerospace Forces at the positions of the units of foreign mercenaries from the 'Foreign Legion' deployed near Nikolayevka (Donetsk People's Republic) has resulted in the elimination of up to 80 militants.

💥 Fire attack launched at a provisional base of 2nd Battalion from 92nd Mechanised Brigade of the Armed Forces of Ukraine deployed near Kupyansk (Kharkov region) has resulted in the elimination of over 70 Ukrainian servicemen and 14 units of military equipment.

💥 Operational-tactical and army aviation, missile troops and artillery have neutralised 6 AFU command post, including the command posts of 53rd Mechanised Brigade of the AFU near Yelizavetovka (Donetsk People's Republic) and 14th Mechanised Brigade deployed near Dvurechnaya (Kharkov region), as well as 87 artillery units, 198 manpower and military equipment concentration areas.

◽️ 1 rocket battery of U.S.-manufactured HIMARS multiple launch rocket systems has been neutralised near Pavlograd (Dnepropetrovsk region) within the counter-battery warfare.

◽️ 1 artillery battery of U.S.-manufactured M777 howitzers has been neutralised near Gulyaypole (Zaporozhye region).

◽️ 1 platoon of Giatsint large-calibre guns has been destroyed near Yevgenovka (Donetsk People's Republic).

◽️ Moreover, 9 missile, artillery armament and munitions depots have been destroyed near Kolomiytsevo (Dnepropetrovsk region), Kotlyaryovo, Bereznegovatoye and Shevchenkovo (Nikolayev region), Lezhino (Zaporozhye region), as well as near Kramatorsk and Malinovka (Donetsk People's Republic).

◽️ 1 radar of Ukrainian S-300 air defence system has been destroyed near Vladimirovka (Nikolayev region).

💥 Fighter aviation of Russian Aerospace Forces have shot down 1 MiG-29 of Ukrainian Air Force near Kurakhovo (Donetsk People's Republic) and 1 Ukrainian Su-24 near Kaluga (Nikolayev region).

💥 Air defence facilities have neutralised 8 unmanned aerial vehicles near Aleksandrovka (Nikolayev region), Bruskininskoye, Rayskoye, Sadok (Kherson region), Yasenpvka (Lugansk People's Republic), Pavlovka and Petrovskoye (Donetsk People's Republic).

◽️ Moreover, 17 projectiles launched by U.S.-manufactured HIMARS multiple launch rocket systems and 1 U.S.-manufactured HARM anti-radar missile have been destroyed in air near Novaya Kakhovka (Kherson region) and Kherson.

📊 In total, 307 airplanes and 155 helicopters, 2,107 unmanned aerial vehicles, 377 air defence missile systems, 5,147 tanks and other armoured combat vehicles, 855 combat vehicles equipped with MLRS, 3,439 field artillery cannons and mortars, as well as 5,973 units of special military vehicles have been destroyed during the special military operation.

#MoD #TopNews #Russia #Ukraine
@mod_russia_en
 
Hii habari kama ni ya kweli bhas kuna uwezekano hii vita ikaisha kwa mazungumzo.

[emoji298]️Meduza: Kremlin to hold back on illegal annexation of Ukrainian territories.

According to independent Russian media outlet Meduza, the annexation will be postponed as it now won't have the desired "PR effect" on the Russian population that is dissatisfied with mobilization.
Hamna mazungumzo saivi
 
[emoji298]️ Fourth gas leak discovered on Nord Stream pipelines.

Spokesperson of Sweden's coast guard Jenny Larsson on Sept. 28 told the Svenska Dagbladet newspaper that a fourth gas leak on the Nord Stream pipelines had been discovered.
 
Yes vita is complex ndio maana naleta mifano kunyambua ugumu wake. Kila jambo gumu kuna namna ya kulieleza kwa lugha raisi.

Ndio ni kweli usemacho lakini binadamu wote tupo sawa tuna hisiaa zinazofanana hivyo jambo baya kila mmoja wetu anajua ndani ya roho yake

😃😃😃😃.
Siuoni ubaya kwa mfano sizipendi wala situmii pilipili ila wahindi kwao n kama pipi.

Hatufanani hisia hata siku moja,we ukiona kibaya kwa mwenzio kizuri,ukiona kitamu kwa mwenzio kichungu,ukiona chakutekenya kwa mwenzio n kero.
 
Gas ilikua ni political strategic card ya Putin na sasa hiyo strategic card haipo tena imeharibiwa,alikua anasubiri winter ili awablack mail Europe vizuri waondoshe vikwazo ili wapate Gas. Na hili tuliona likija, ukiangalia Germany ilikua na inasuasua kupeleka baadhi ya silaha nzito Ukraine nadhani hii ni ili kutomkasirisha zaidi Putin kwamba baadae wangerudi kwenye mazungumzo wapate Gas na wao waondoshe vikwazo, win-win. Sasa Putin kawahiwa hana card nyingine tena zaidi ya Gas,Labda kutishia nyuklia.

Wachambuzi wanasema kuna uwezekano hayo mabomba yasifanye kazi tena sababu uharibifu uliotokea ni mkubwa na maji ya Bahari yanazidi kuharibu sehemu nzima zilizobaki.
Yaani kwa ufupi bomba zile kurekebisha zitahitaji gharama kubwa sana na muda mrefu maana kuna section hazipo kabisa
 
Russia Cuts Reliance on Boeing & Airbus

Engineering corporation Rostec said Wednesday that the Russian aviation industry will go it alone without relying on Boeing and Airbus by building 1,000 airliners with locally built parts by 2030.

"From this year, we don't rely on international cooperation with Western countries," Rostec said in a written statement. "We believe that this process is irreversible and Boeing and Airbus planes will never be delivered to Russia.”

About half of components and technology used throughout the Russian aviation industry in 2021 originated from foreign countries according to government documents.

Subscribe to RT

Hawa ndo Warussi hawa jamaa wamebarikiwa sana ni intelligents kuna watu walisema hawawezi maana wanategemea parts kutoka west[emoji23][emoji23]. Russia anazid kuupiga mwingi.
 
The Nord Stream pipeline incidents took place in the exclusive economic zone of Denmark and Sweden, an area that is fully controlled by US intelligence agencies, Russian Foreign Ministry Spokeswoman Maria Zakharova told the Soloviev Live TV program:
go.tass.ru/jG9Vy
Hayatuhusu, uzuri ni kuwa Urusi hatauza gesi tena kwa maringo
 
Hivi zile drone za Iran zimepotelea wapi maana ni siku ya pili leo hatujasikia wala kuona zikidondoshwa au zikipiga mahali

IMG_8107.jpg
 
Back
Top Bottom