Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tazama maiti za Referendums huko Layman ni hatari usipo surrender tunakukaanga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Huko Lyman super pawer wa mchongo kashazungukwa,asiposalimu hamri askari wake wataendelea kuuwawa kama kumbikumbi [emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298]️ Retired US general: Ukrainian army could enter Crimea by mid-2023.

Retired Lieutenant General Ben Hodges: "I hope that by the end of (2022), Ukrainian forces will push Russian forces to the positions of Feb. 23, and that by the middle of next year, (they) will be in Crimea."
Nishai screen shot hii [emoji23][emoji16][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😃😃😃😃.
Siuoni ubaya kwa mfano sizipendi wala situmii pilipili ila wahindi kwao n kama pipi.

Hatufanani hisia hata siku moja,we ukiona kibaya kwa mwenzio kizuri,ukiona kitamu kwa mwenzio kichungu,ukiona chakutekenya kwa mwenzio n kero.
Tuachane na ladha hizo ni secondary sensory, primary kila person want to be respected
 
USD bado tunayo sana. Zile kelele za mwanzo zilikuwa za amateurs wa mambo ya dunia humu. Nakumbuka tulivyokuwa tunatishiwa mara Saudi Arabia inanunua kwa Yuan, mara Russia kaanzisha mbadala wa SWIFT, dola itapotea. Leo tuko hapa bado dalili hamna, hakuna cha BRICS wala SWIFTView attachment 2370952
Kama unategemea ama ulidhania dola itaanguka kwa hii miezi sita ya SMO pole sana MKUU
Ila nikwamba haya mataifa yanayotumia pesa zao zandani kufanyia biashara yatasababisha anguko la dola ila sio kama miaka miwili tatu au kumi
Mataifa yanaposhirikiana kuachana na dola yanapotezea dola nguvu yake na tunajua kama unajua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu una ujuaji mwingi sana kumbe una uelewa mdogo kuhusu haya mambo.

Cha kwanza baadhi ya viongozi wa ulaya na hata Ukraine yenyewe Wana shuku Urusi ndio imehusika kuyalipua mabomba kwa makusudi ili bei ya gesi iendelee kuwa bei juu zaidi ila Urusi inakanusha .

Pili unacho takiwa kujua ni kuwa Urusi ilikuwa imesha zuia zaidi ya asilimia 90 ya gesi iliyo kuwa ina tiririka kwenda Ulaya kupitia hayo mabomba yaliyo lipuka kwa hiyo hakuna jipya.

Kulipuka kwa mabomba hayo Urusi hana hasara yeyote, kwa sababu kuharibika kwa hayo mabomba kuta sababisha kupanda zaidi kwa bei ya gesi barani ulaya jambo ambalo ni faida kwa Urusi maana mpaka sasa bado Urusi inauza gesi nyingi tu Ulaya kupitia mabomba yanayo pita ndani ya Ukraine.
Hapo utakesha
 
Vladimir Putin's statements:

▪️There is a difficult process of forming a more just world order, unipolar hegemony is collapsing;

▪️The West creates more and more new problems and crises by its policy of dictate in all spheres;

▪️External security and internal stability are the most important conditions for the development of the CIS states in the current conditions;

▪️The West is working on scenarios for inciting new conflicts in the CIS space, risks are growing throughout the Asia-Pacific region;

▪️The West is ready to jeopardize any country, turn it into the epicenter of the crisis, provoke a color revolution and a bloody massacre;

▪️Terrorists operating in Afghanistan can make plans for border countries.
 
Sikorsky deleted tweeted "Thank you USA" about the state of emergency at Nord Stream



1664466950036.png
 
Kila Mtu anamtupia lawama mwenzake,EU anamtuhumu Russia na Russia anaituhumu USA.
EU na US ziache kulia lia maana wao si wanampango wakuachana na GAS za RUSSIA ili kumkomoa
Sasa sielewi elewi kelele zanini
Ila unahisi kinaendelea nn kwenye hilo saga mie naona mazengo tu ingawaje kwa 51% nikilinganisha nakauli za US naona wamehusika
Ila kwafaida yao US ama EU ama kwahasara ya RUSSIA ama unahisi nini MKUU hapa nataka mawazo yako wewe kama wewe lkn sio yale ya upande fulani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mujibu wa russia state controlled media TASS,mji wa urusi ulioko mpakan na georgia umepiga marufuku magari ambayo hayajasajiliwa mjini humo kuingia, jamaa wameanza kurestrict wananchi wao wasikimbie nchi, pia kitua cha mobilization kimefunguliwa hapohapo mpkn ili kuwachukua wale wote wanaotakiwa kwenda vitani, warusi kazi wanayo
Hata kipindi cha Iddi Amini ilikuwa hivyo. Kijijini kwetu walienda, lkn michango hadi ya kuku tulipekeka sema ulikuwa mdogo au haukuwepo. Vita ni vita muraa
 
IMG_20220929_185845_819.jpg

💰💸📃 — Best and Worst performing currencies in 2022

📈 Best 4:
1 - 🇷🇺 Russian Ruble
2 - 🇧🇷 Brazilian Real
3 - 🇲🇽 Mexican Peso
4 - 🇵🇪 Peruvian Sol

📉 Worst 4:
1 - 🇦🇷 Argentine Peso
2 - 🇹🇷 Turkish Lira
3 - 🇭🇺 Hungarian Forint
4 - 🇯🇵 Japanese Yen
 
Back
Top Bottom