ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 7,637
- 20,676
Kama viongozi wa Urusi hawana akili kwa sababu ya kuanzisha vita nchi Ukraine ,basi viongozi wa Marekani na Ulaya ni matahira kabisa maana ndio vinara wa kuanzisha vita kwenye nchi za watu na mamilion ya watu wamekufa kutokana na vita walio zianzisha.Ungetumia akili ndogo tu akaweka mihemko na ushabiki pembeni ungeelewa
Rudia Tena kusoma
Maswali na hoja nilizouliza
Halafu kitu sahihi na ukweli ni vitu ambavyo havibadiliki kulingana na mitazamo ya mtu, Kama wizi sio sahihi utabaki hivyo ulaya Asia hata Africa,
Na hiyo haizuii kuwepo watu wapambavu watakaomua kuhalalisha haramu but itabaki kuwa sio sahihi
Ungekuwa na uelewa mkubwa ungeelewa simple logic nilizoziweka
Huu ulimwengu hauhitaji manguvu mengi Kama anavyofanya Putin kuteketeza resources na roho za watu wake bure
Bali unahitaji akili na ushawishi
Naomba unijibu maswali yangu ww mwenye akili kuwazidi viongozi wa Urusi.
Swali la kwanza ww ndio ungekuwa Putin ingetumia akili gani ili Ukraine isijiunge na Nato?
Swali la pili ww kama raisi wa China niambie ni akili gani utaitumia kuizuia Taiwan kujitangazia uhuru wake bila kutumia nguvu za kijeshi?
Swali la tatu Ww ungekuwa J.Kened ungetumia akili gani kuirazimisha Usoviet kuondoa makombora ya nyukilia yaliyo kuwa yameelekezwa ndani ya nchi yako Marekani zaidi kutishia kuivamia Cuba kijeshi?
Swali la nne ww ungekuwa Bush ungetumia akili gani ya kuidhiti Alqida zaidi ya kuivamia Afghanistan?
Na ninaomba unijibu usikimbie taadhari ili tukuone ww mwenye akili kumzidi Putin.