Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

😂
 
Attachments

  • 1664472571733.jpg
    1664472571733.jpg
    173.1 KB · Views: 24
Hizi habari za ajabu. Kuhusu askari mpya kupewa bunduki zenye kutu. Askari kutumwa mbele kwenye mapigano hata bila mafundisho ya wiki moja??

newsweek.com

Mobilized Russians Sent to War After Two Days of Training: Rights Group​

Russian State Media Figures Rail Against Army’s Mobilization Failures
A human rights group says that Russian men drafted to fight in Ukraine are being forced to the front lines with little to no preparation.
Perviy Otdel said on Telegram Wednesday that Russian authorities are illegally rushing conscripts to war zones in Ukraine without training exercises or medical examinations. The report is the latest in a string of alleged disarray that's followed Russian President Vladimir Putin's order last week to begin calling up reservists in a bid to shore up his invasion of Ukraine.

Russia's Mobilized Troops Being Given Old, Rusty Guns: Ukrainian Official​

Russia's mobilized soldiers have been given old and "rusty" weapons as they gear up to bolster the invasion of Ukraine, according to an official.
Anton Gerashchenko, adviser to Ukraine's minister of internal affairs, posted a video on Twitter reportedly showing Russian soldiers handling firearms which appear to have rusted due to age.
 
Endelea kupakuliwa (Misaada ya ARV na vyandarua) na wazungu, akili zikikukaa vizuri utaelewa.
Ndio habari ya mjini ,bila hizo no starehe Tanzania na Afrika.Jioni kwa utulivu kinywaji baridiiii.Tuwaachie wanaopambana djniani wakati futi sita zinawasubiri hata wakipata ulimwengu mzima kwa vita na nyukliaa.Niko na baba chamjaa tunachoma samaki hapa.
 
Hizi habari za ajabu. Kuhusu askari mpya kupewa bunduki zenye kutu. Askari kutumwa mbele kwenye mapigano hata bila mafundisho ya wiki moja??

newsweek.com

Mobilized Russians Sent to War After Two Days of Training: Rights Group​

Russian State Media Figures Rail Against Army’s Mobilization Failures
A human rights group says that Russian men drafted to fight in Ukraine are being forced to the front lines with little to no preparation.
Perviy Otdel said on Telegram Wednesday that Russian authorities are illegally rushing conscripts to war zones in Ukraine without training exercises or medical examinations. The report is the latest in a string of alleged disarray that's followed Russian President Vladimir Putin's order last week to begin calling up reservists in a bid to shore up his invasion of Ukraine.

Russia's Mobilized Troops Being Given Old, Rusty Guns: Ukrainian Official​

Russia's mobilized soldiers have been given old and "rusty" weapons as they gear up to bolster the invasion of Ukraine, according to an official.
Anton Gerashchenko, adviser to Ukraine's minister of internal affairs, posted a video on Twitter reportedly showing Russian soldiers handling firearms which appear to have rusted due to age.
Yaani kuna watu wanatiririka wewe huku JF wanasema Mrusi kesho amachukua majimbo ya US haaaa
 
⚡⚡⚡David Arakhamia confirmed the information that the 18 HIMARS allocated in the latest US aid package will only go to Ukraine when they are produced, within a period of 6 months to two years⚡⚡⚡
US kwenye ubora wao,habari za kiintelegensia gawasemi zote ziko hapo Poland wakati mrussi yuko busy na pipe zake za gesi huyo us ameshapitisha Hamass kwa kiswahili cha tandale
 
Urusi ingekuwa na akili kubwa na utulivu, asingeanzisha hii Vita isiyokuwa na kichwa Wala miguu.
Ina maana atapigana majirani zake wote I'll kujilinda,
Hivi kila nchi ikiamua kupangia jirani yake marafiki itakuwaje,
Anateketeza Kodi na resources za nchi yake kwenye Vita ya kipumbavu.
Hawa viongozi wa kijamaa na kikomunist hawapaswi kuendelea kuongoza kwenye ulimwengu huu was kisasa uliostaarabika.
Kutumia nguvu nyingi kutatua matatizo ni ishara ya akili ndogo.

Alafu nyie mnaoshabikia maamuzi ya Putin sijui mnatumia akili gani ?
Jaribu kutumia akili.

Sio kila kitu ambacho ww unaona hakifai na basi na mwenzako atakiona kwa mkutadha wa mtazamo wako

Mfano mm ninaona Ushoga ni kitendo cha kipumbavu na cha kijinga na huu ni mtazamo wa waafrika wengi ,lakini upande wa nchi za magharibi wao wanaita haki za binadamu na wanatumia nguvu kubwa na mabilion ya$ kuutangaza.

Ww kusema vita isiyo kuwa na kicha wala miguu huo ni mtazamo wako na viongozi wa nchi za magharibi kwa sababu vita hiyo iko kinyume na maslahi yao ila kwa Upande we Urusi inajua haslahi yake na ndio maana ilivianzisha.

Alafu kitu kingine una uelewa mdogo sana kwenye siasa za mataifa makubwa na hilo limedhihirishwa na uliyo yaandika.
 
IMG_20220929_204038_702.jpg

🇬🇧An extract from Queen Elizabeth II's death certificate has been revealed by the National Records of Scotland, stating that the cause of her death was "old age."

🔎The document also notes that the Queen died at 3.10 p.m. local time (14:10 GMT) on September 8.
 
Urusi ingekuwa na akili kubwa na utulivu, asingeanzisha hii Vita isiyokuwa na kichwa Wala miguu.
Ina maana atapigana majirani zake wote I'll kujilinda,
Hivi kila nchi ikiamua kupangia jirani yake marafiki itakuwaje,
Anateketeza Kodi na resources za nchi yake kwenye Vita ya kipumbavu.
Hawa viongozi wa kijamaa na kikomunist hawapaswi kuendelea kuongoza kwenye ulimwengu huu was kisasa uliostaarabika.
Kutumia nguvu nyingi kutatua matatizo ni ishara ya akili ndogo.

Alafu nyie mnaoshabikia maamuzi ya Putin sijui mnatumia akili gani ?
kaa kwa kutulia, unaonekana ni mgeni hapa jukwaani.
 
Hapa tunaomba Putin pooooo
Maana hali sio hali na pipe zinalipuliwa chini ya bahari sijui nani anafanya haya ingawa European wanasema ni Mrusi

Wasioijua hii vita wanadandia tu ila hali halisi mrusi ni mbabe kwa ardhi yake na alichonacho
Barafu ikianza huku tutatumia kuni tu hakuna namna maana Germany wameanza [emoji1]
Sio ya kucheka ila tuna safari ndefu na ngumu
poleni sana ndugu zetu huko mlipo, binafsi kuna mtu alikuwa anataka nije huko ila kutokana na hii S.M.O kanieleza hali halisi ya huko gharama zilivyopanda na anafikiria kurudi huku kwa sasa.
 
Hizi habari za ajabu. Kuhusu askari mpya kupewa bunduki zenye kutu. Askari kutumwa mbele kwenye mapigano hata bila mafundisho ya wiki moja??

newsweek.com

Mobilized Russians Sent to War After Two Days of Training: Rights Group​

Russian State Media Figures Rail Against Army’s Mobilization Failures
A human rights group says that Russian men drafted to fight in Ukraine are being forced to the front lines with little to no preparation.
Perviy Otdel said on Telegram Wednesday that Russian authorities are illegally rushing conscripts to war zones in Ukraine without training exercises or medical examinations. The report is the latest in a string of alleged disarray that's followed Russian President Vladimir Putin's order last week to begin calling up reservists in a bid to shore up his invasion of Ukraine.

Russia's Mobilized Troops Being Given Old, Rusty Guns: Ukrainian Official​

Russia's mobilized soldiers have been given old and "rusty" weapons as they gear up to bolster the invasion of Ukraine, according to an official.
Anton Gerashchenko, adviser to Ukraine's minister of internal affairs, posted a video on Twitter reportedly showing Russian soldiers handling firearms which appear to have rusted due to age.
Walio leta hii habari ndio walio tuletea habari ya Urusi kubakiza chakula cha siku tatu.

Ndio walio tuambia kuwa Urusi imeajili mamuluki kutoka siyria lakini mpaka sasa ni miezi imepita hatujaona mupiganaji yeyote kutoka Siyria kwenye uwanja wa vita.
Ndio walituambia kuwa Urusi imeishiwa silaha na inaomba china lakini mpaka sasa hatujaona silaha yeyote ya kichina kwenye uwanja wa vita.

Ndio walituambia kuwa Putin ana umwa na ana karibia kufa.
 
Hizi habari za ajabu. Kuhusu askari mpya kupewa bunduki zenye kutu. Askari kutumwa mbele kwenye mapigano hata bila mafundisho ya wiki moja??

newsweek.com

Mobilized Russians Sent to War After Two Days of Training: Rights Group​

Russian State Media Figures Rail Against Army’s Mobilization Failures
A human rights group says that Russian men drafted to fight in Ukraine are being forced to the front lines with little to no preparation.
Perviy Otdel said on Telegram Wednesday that Russian authorities are illegally rushing conscripts to war zones in Ukraine without training exercises or medical examinations. The report is the latest in a string of alleged disarray that's followed Russian President Vladimir Putin's order last week to begin calling up reservists in a bid to shore up his invasion of Ukraine.

Russia's Mobilized Troops Being Given Old, Rusty Guns: Ukrainian Official​

Russia's mobilized soldiers have been given old and "rusty" weapons as they gear up to bolster the invasion of Ukraine, according to an official.
Anton Gerashchenko, adviser to Ukraine's minister of internal affairs, posted a video on Twitter reportedly showing Russian soldiers handling firearms which appear to have rusted due to age.
Muda wenu mkawamalize. Yaani badala ya kufurahi kuwa hawana mafunzo ninyi mnalalamika.

Jiongezi propaganda haziwasaidii

Hao wana mafunzo tayari jaribuni muone moto wake.
Viva Russia

Long live Putin
 
We jamaa bhana, umebakiwa na neno moja tu. Tazama... Ukrane is not the same as it was last week.

We angaika na video tu. Kama jamaa yako figganigga ameanzisha na special thread kwa ajili ya picha na video kwa kwenye matukia yaliyowagusa waRussia tu. Yale matukia yaliyowapata waUkraine haonyeshi kabisa. Amelishwa zile policy za media za magharibi. Nawe ni kama yeye.
Ukraine ina hali ngumu sana. Shauriyako.
Ni jukumu lenu kuleta za Urusi
 
Muda wenu mkawamalize. Yaani badala ya kufurahi kuwa hawana mafunzo ninyi mnalalamika.

Jiongezi propaganda haziwasaidii

Hao wana mafunzo tayari jaribuni muone moto wake.
Viva Russia

Long live Putin
Naamini una uwezo wa kusoma mwenyewe habari. Sijui kama unataka kusikia habari halisi. Ni shauri lako. Siwezi kufurahia kama nchi kama Urusi inatuma watu wake wafe - na wasioandaliwa watakufa wengi.
Habari za Warusi eti wanatumwa bila maandalizi ni nyingi. Orodha zinazorushwa na askari wapya wakiambiwa wanunue hii na hii ni nyingi. Video ziko ambamo unaweza kuona jinsi wanaambiwa wanunue wenyewe nguo za baridi (inayoanza sasa polepole), sleeping bag na mengine ...
Hivyo ndivyo jinsi ilivyo wakati wa vita...
 
Hapa tunaomba Putin pooooo
Maana hali sio hali na pipe zinalipuliwa chini ya bahari sijui nani anafanya haya ingawa European wanasema ni Mrusi

Wasioijua hii vita wanadandia tu ila hali halisi mrusi ni mbabe kwa ardhi yake na alichonacho
Barafu ikianza huku tutatumia kuni tu hakuna namna maana Germany wameanza [emoji1]
Sio ya kucheka ila tuna safari ndefu na ngumu
Waliolipua yawezekana ni Warusi ili wasilipishwe kwa kukiuka mkataba, japo ni ngumu wao kufanya maana gharama za kurekebisha ni ghali sana

Yawezekana ni CIA maana wao hawana cha kupoteza, hawataathirika na chochote, ila Urusi ataathirika kiuchumi, EU itaathirika pia

Yawezekana ni Ukraine maana wanaona Gesi ndo inampa kiburi Putin, lakini swali linakuja, wametoa wapi huo uwezo?
 
Nani anaathirika kiuchumi kutokana na kubomoa bomba ambako hakuna gesi inayosafirishwa? Maana tangu wiki hakuna m³ iliyopita??
Labda ile ya kuepukana na kulipishwa kwa kuvunja mikataba . . ?
 
Back
Top Bottom