Msianze kulia lia. Tunaposema mobilization.
View attachment 2372175
Kuna hawa vijana wa NATO humu JF wanaoshabikia hovyo suala la hii vita uko ukraine...lakini kuna vichwa kama rais wa finland yule mzee.Sauli Niinisto...alishasem kwa muktaadha ulivyo pale ukraine "Russia has gone all In" na ni swahiba mkubwa sana wa putin na jinsi anavyomfahamu putin hajawahi na hatowez kurudi nyuma.
Na ndio maan nchi za west wanahimiza raia wao waoondoke urusi...sababu wanajua there is no way vile US wanaendelea kumpa kiburi cha silaha zelinsky alafu mrusi akubali kushindwa...hivyo kwa namna yoyote ile Vita Kamili lazima vipiganwe ata kama itakuwa ni all west members against putin yeye hatojali.
Ngoma bado mbichi hii...kwa proNATO wa humu JF wanaodhani putin atakubali kushindwa kirahisi kama wadhaniavyo wao...i feel Sorry for them!!!
Na kuna watu wanaamin kwamba hii vita ilikuwa haina faida kwa Russia...Nawahurumia hawajui wanalosema, MAANA WOTE TUPO TZ HAPA ILA TUNAFUATILIA TU HII SITUATION YA UKO UKRAINE KWA UKARIBU KUPITIA INTERNET, SOCIAL MEDIA, NA VYOMBO VYA HABARI(Japo vingi/vikubwa/Maarufu ni vya West hivyo hutoa takwimu ambazo si halisi katika hii vita ya uko Ukraine). LAKINI KATIKA HALI YA KAWAIDA NI NANI AMBAYE ATAKUBALI KUPELEKA MAJESHI YAKE VITANI NA RESOURCES ZAKE PIA NA KUKUBALI HADI APEWE VIKWAZO VYA KIUCHUMI KWA TAIFA LAKE...ILIHALI ANALOFANYA HALINA MANUFAA NAYE???....hivyo nasisitiza ni bora mtu aseme tu hajui hii vita ina maana gani kwa russia kuliko kunena asiyoyajua nyuma ya pazia.
Wapo waliosema kuwa mbon Russia ina wanajeshi 900,000 na walioenda vitani kule ukraine ni wachache(almost 150,000) tokea vita ilipoanza FEB na hivi sasa anatumia partial Mobilization ambayo pia sio active recruited army....kiukweli Vita ni mbinu, Amini NAWAAMBIA WATUMISHI HEWA WA NATO HUMU HII VITA NDO IMEANZA NA WAKATI HUOHUO BAADHI YA NATO MEMBERS WAMESHAGOMA KUTOA TENA SILAHA ZA KIVITA KWA UKRAINE KAMA SEHEMU YA MSAADA, WATCH-ON!!!
Kwa PROFILE HII ya putin ni mtu ambaye amehudumu katika masuala ga kiusalama kwa muda mrefu anzia jeshini, KGB( Kama Jasusi), Kamati kuu ya ulinzi wa nchi(Russia National Security Council) tokea enzi za SovietUnion hadi kuwa Rais wa russia katika vipindi viwili tofauti hivyo anafahamu vyema siasa za Magharibi.
Ngoja tuone huu mtanange utafikia wapi...