Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Guterres, with his statement on referendums, violated the article of the UN Charter on the impartiality of actions and ignored the principle of equal rights and self-determination of peoples, the Permanent Mission of Russia said. Diplomats called the words of Guterres the sole interpretation of the charter and said that administrative functions do not give the UN Secretary General the right to make political statements on behalf of the entire organization. They noted that on the issue of Ukraine, Guterres demonstrates the same selective approach as the countries of the West, and puts himself on a par with them.

UN ipo kwa ajili ya mataifa dhaifu tu kwa superpowers kama imelowa na maji ya mvua
 
Naomba kuweka taarifa sahihi, watu wameshindwa kuelewa vizuri taarifa za nchi zinazosema raia wake waondoke Urusi, haijamaniisha kuna hali ya hatari inaenda kutokea Russia bali wamewataka wananchi wao wenye DUAL CITIZENSHIP waondoke Urusi kwani kuna uwezekana wakajumuishwa kwenye partial mobilization.

Sheria nyingi za dual citizenship zinakataza raia kuingia kwenye vyombo vya ulinzi na usalama maana kuna hatarisha uwezekano wa wewe kugeuzwa kuwa DOUBLE AGENT kwa Taifa litakalokuingiza kwnye vyombo vyao vya ulinzi na usalama.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
JamiiForums-888684520.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Gift kwa jinsi unavyotetea hoja zako..ni kama hujui kabisa ulimwengu huu unavokwenda, unatumia hisia zaidi....na ndo maana wadau kibao wamekushauri kidogo uende ukasomesoke kidogo mambo ya Geopolitics, utawala n.k..
Duniani kote ni kama watu tunaviziana tu..hivi unajua mfano why nchi zina majeshi ya kulinda mipaka??Hao Kenya unaowatolea mfano..hivi kwenye mipaka yetu unafikiri hakuna majeshi ns ulinzi..na unafikiri ni kwa nini??Kama ni hivo unavofikiri kwamba dunia ni amani na tawala zimeridhika si tungevunjulia mbali majeshi yetu yote ulimwenguni sababu kila mtu ana mpaka wake....??

USA unajua anakambi ngapi za jeshi nje ya nyumbani kwake, na unajua ni kwa nini??

Unajua kwa nini viwanda vya silaha duniani kote vinaendelea kutengeneza silaha tena za maangamizi, ndege vita, vifaru, kemikali za sumu??

Unajua kwamba hata mipaka hii unayoisema wewe tuliyonayo (Afrika mfano)...haikuwepo miaka 100 iliyopita???.Na tunauhakika gani kama itakuwepo miaka 200 ijayo???

Unajua hata kwa nini UN ilianzishwa na kwa nini ipo??

Unajua kwa nini kila nchi inavyombo vya ujasusi kwa ajili ya kulinda maslahi yake kwanza na si ya nchi nyingine??

Unajua hata why USA ilipigana VIETNAM, IRAQ, LIBYA, YUGOSLAVIA, SOMALIA, AFGHANISTAN??

Unajua why hata USA iliwapiga na NUCLEAR JAPAN??

Unajua hata kulikua na skendo ya USA kuwapeleleza viongozi wakubwa duniani akiwamo Angela Markel...(2018)..???

In short huo UTAKATIFU NA USTAARABU UNAOTAKA KUUONYESHA WEWE HAUPO...NA HAUTAKUWEPO....
NI KILA MTU KUWA NA UWEZO WA KULINDA MASLAHI YAKE NA KUFANYA WENZAKE WAMUHESHIMU NA KUMKUBALI....KILA MTU ANAHAKI YA KUJILINDA HATA KAMA NI KWA EXPENSE YA WENGINE...

Kama USA anavyopambana kuweka maslahi yake sawa, ndivyo, TURKEY anapambana, ndivyo CHINA anapambana, Ndivyo Russia anapambana n.k...Na kwa sasa mpambano Uko Ukraine pale..ngoja tusubiri mshindi
Nirudie tu kusema mmesoma Mambo mengi sana kwa kukariri, bila kuyaelewa mkuu,
Ndo maana maana mnalazimisha kutumia fikra za kizamani kutatua matatizo ya kisasa,
Na matokea yake mnataka kutumia nguvu nyingi kutatua matatizo kama Putin
Dunia ya Sasa hivi watu wanatumia akili na teknologia zaidi kupigana Tena kimya kimya
Hizo Kodi na roho za watu wake anazoteketeza bure zinaisaidiaje uchumi wa Russia,
Angetumia hizo kuimarisha uchumi wake na kuimarisha mifumo ya ulinzi ndani ya nchi yake
Ok akiamua kutumia njia ya ubabe wa kijinga atapigana na mataifa mangapi jirani?
Nafikiri unatumia ushabiki zaidi
 
Conspiracy theories hizo,

Russia imeanza miaka ya 1990 au labda unamaanisha Ussr ?....ila tambua Ussr ilikuwa upande wa waarabu kwenye mizozo yao yote na Israel.
Natamani sana kukufundisha ngoja nianze na hiki kipande. Kisome vizuri na kisha uje. Kwani Russia iliingia kwenye Permanent UN security Council na siyo Ukraine wala Belarus!?

The Summit of Alma-Ata also issued a statement on 21 December 1991, supporting Russia's claim to be recognized as the successor state of the Soviet Union for the purposes of membership of the United Nations. On 25 December 1991, Russian President Yeltsin informed UN Secretary-General Javier Pérez de Cuéllar that the Soviet Union had been dissolved and that Russia would, as its successor state, continue the Soviet Union's membership in the United Nations. The document confirmed the credentials of the representatives of the Soviet Union as representatives of Russia and requested that the name "Soviet Union" be changed to "Russian Federation" in all records and entries. This was a move designed to allow Russia to retain the Soviet Union's permanent Security Council seat, which would not have been possible if the former republics were all reckoned as equal successors of the Soviet Union, or if the Soviet Union was regarded as having no successor state for the purpose of continuing the same UN membership (see Russia and the United Nations). The Secretary-General circulated the request, and there being no objection from any Member State, the Russian Federation took the Soviet Union's UN seat. On 31 January 1992, Russian Federation President Yeltsin personally took part in a Security Council meeting as representative of Russia, the first Security Council meeting in which Russia occupied the permanent Security Council seat originally granted to the Soviet Union by the UN Charter.
 
Conspiracy theories hizo,

Russia imeanza miaka ya 1990 au labda unamaanisha Ussr ?....ila tambua Ussr ilikuwa upande wa waarabu kwenye mizozo yao yote na Israel.
Records na Rights zote za USSR Ziliwekwa chini ya Russia Federation.

Hivi unajua kabla ya Kuvunjika kwa USSR referendum ilifanyika na raia walipiga kura kuwa USSR isvunjike.

Mwaka 1991 kulifanyika kika na kupitishwa kuwa katiba ibadilishwe badala ya USSR iwe USS (United Sovereign States) Lakini kwa tamaa za viongozi watatu walitangaza kujiondoa na haikuwa matakwa ya wananchi. So mpaka leo kuvujika kwa USSR yalikuwa ni matakwa ya watu watatu tu.

Hakina legal document ya kuvunjika kwa USSR.

Tamaa za madaraka za Yeltsin zilipelekea kuvunjika kwa USSR.
 
Conspiracy theories hizo,

Russia imeanza miaka ya 1990 au labda unamaanisha Ussr ?....ila tambua Ussr ilikuwa upande wa waarabu kwenye mizozo yao yote na Israel.
Nakupatia document:-
Isome kisha uje hapa tujadili.
Kisha nitaelezea Uhusiano wa Israel, Iran na Russia.
 

Attachments

[emoji298][emoji298][emoji298]Ministry of Defense: Called as part of the mobilization, after coordination, they will begin to carry out tasks of control and defense of the liberated territories[emoji298][emoji298][emoji298]
Na walivyo hawana technical details ya matumizi ya bunduki na vifaaa vya kijeshi watakufa sana.
 
Nirudie tu kusema mmesoma Mambo mengi sana kwa kukariri, bila kuyaelewa mkuu,
Ndo maana maana mnalazimisha kutumia fikra za kizamani kutatua matatizo ya kisasa,
Na matokea yake mnataka kutumia nguvu nyingi kutatua matatizo kama Putin
Dunia ya Sasa hivi watu wanatumia akili na teknologia zaidi kupigana Tena kimya kimya
Hizo Kodi na roho za watu wake anazoteketeza bure zinaisaidiaje uchumi wa Russia,
Angetumia hizo kuimarisha uchumi wake na kuimarisha mifumo ya ulinzi ndani ya nchi yake
Ok akiamua kutumia njia ya ubabe wa kijinga atapigana na mataifa mangapi jirani?
Nafikiri unatumia ushabiki zaidi
Wewe mzee hebu leta njia zako za kisasa!? Hicho unachokiwaza ni mtoto wa chekechea ndio atawaza. Narudia kusema wewe bado ni mjinga. Nenda shule kasome masuala:-
1. Geopolitics
2. Economics
3. National security

Issue zako za Sayansi Kimu hazifui dafu kwenye modern world. You are stupid.
 
Kama unategemea ama ulidhania dola itaanguka kwa hii miezi sita ya SMO pole sana MKUU
Ila nikwamba haya mataifa yanayotumia pesa zao zandani kufanyia biashara yatasababisha anguko la dola ila sio kama miaka miwili tatu au kumi
Mataifa yanaposhirikiana kuachana na dola yanapotezea dola nguvu yake na tunajua kama unajua

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kitaalamu inaitwaje. Si ulisema Mir itaanza kutumiwa na mataifa ya Ulaya, leo hii unaikimbia system yako pendwa
IMG_20220930_102738.jpg
 
Kama unategemea ama ulidhania dola itaanguka kwa hii miezi sita ya SMO pole sana MKUU
Ila nikwamba haya mataifa yanayotumia pesa zao zandani kufanyia biashara yatasababisha anguko la dola ila sio kama miaka miwili tatu au kumi
Mataifa yanaposhirikiana kuachana na dola yanapotezea dola nguvu yake na tunajua kama unajua

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaanzaje kuipotezea Dollars na wakati products zote kubwa zinazalishwa na mwenye dollars na products izo ni÷
1. Pepsi cola & Coca Cola beverages
2. Android
3. Appstore
4. iPhone
5. Human, animals & Plants vaccine
6. Wikipedia
7. WhatsApp
8. Facebook ( Meta)
9. Instagram
10. Tesla motors
11. Amazon products
12. Gmail account
13. Google products zote
14. Visa & Master card
15. ATM machine
16. Starlink internet connection
17. YouTube

Izo ni baadhi ya products ambazo Fanya ufanyavyo uwezi kuacha kuvitumia na apo ukiona umetumia ujue tayari ushaichangia dollars kupanda thamani
 
Nirudie tu kusema mmesoma Mambo mengi sana kwa kukariri, bila kuyaelewa mkuu,
Ndo maana maana mnalazimisha kutumia fikra za kizamani kutatua matatizo ya kisasa,
Na matokea yake mnataka kutumia nguvu nyingi kutatua matatizo kama Putin
Dunia ya Sasa hivi watu wanatumia akili na teknologia zaidi kupigana Tena kimya kimya
Hizo Kodi na roho za watu wake anazoteketeza bure zinaisaidiaje uchumi wa Russia,
Angetumia hizo kuimarisha uchumi wake na kuimarisha mifumo ya ulinzi ndani ya nchi yake
Ok akiamua kutumia njia ya ubabe wa kijinga atapigana na mataifa mangapi jirani?
Nafikiri unatumia ushabiki zaidi
Pro Russia wanaamini sana katika matumizi ya nguvu kuliko akili
JamiiForums-241123780.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Unaanzaje kuipotezea Dollars na wakati products zote kubwa zinazalishwa na mwenye dollars na products izo ni÷
1. Pepsi cola & Coca Cola beverages
2. Android
3. Appstore
4. iPhone
5. Human, animals & Plants vaccine
6. Wikipedia
7. WhatsApp
8. Facebook ( Meta)
9. Instagram
10. Tesla motors
11. Amazon products
12. Gmail account
13. Google products zote
14. Visa & Master card
15. ATM machine
16. Starlink internet connection
17. YouTube

Izo ni baadhi ya products ambazo Fanya ufanyavyo uwezi kuacha kuvitumia na apo ukiona umetumia ujue tayari ushaichangia dollars kupanda thamani
Wewe jamaa bado kabisa. Hivi vitu vyote ulivyoorodhesha havina hata mika 20 kwenye ulimwengu huu.

Mzee fungua macho, vitu unavyoongelea ni vidogo mno katika ulimwengu wa future. Hapa tunaongelea Energy mzee.

Unajua energy wewe. Watu hawataki petrodollar. Na hii inaenda kutokea.

USA alifanikiwa kuiingiza dunia katika petrodollar kwa sababu yeye alikuwa producer mkubwa wa oil.

Lakini mzee sasa hivi OPEC and OPEC+ zinapata nguvu sana sana.

Marekani amekuwa akiwaua wale wanaotaka kuondoa petrodollar.

Jambo la pili.
Manufacturing industry sasa hivi imehama kutoka USA, china ndiye anayeongoza katika sector hii. USA yupo kwenye pressure kubwa mno.

Kuinuka kwa BRCS na organization kadha wa kadha kunaendelea kuidhofisha USA.

Mzee wewe unaangalia current situation, watu wenye vision wanaiona dunia kwenye miaka 10 ijayo.
Unipolar is dead.
 
Wewe mzee hebu leta njia zako za kisasa!? Hicho unachokiwaza ni mtoto wa chekechea ndio atawaza. Narudia kusema wewe bado ni mjinga. Nenda shule kasome masuala:-
1. Geopolitics
2. Economics
3. National security

Issue zako za Sayansi Kimu hazifui dafu kwenye modern world. You are stupid.
Wewe ni kenge ,umeshindwa kujibu hoja unaanfika utopolo Tu hapa hiyo economy unaishika vipi bila kuwa na modern technology ,huo ushawishi geopolitics na national security unazimudu vipi bila kuwa na scientific brains + modern technologies and resources ?
 
Unaanzaje kuipotezea Dollars na wakati products zote kubwa zinazalishwa na mwenye dollars na products izo ni÷
1. Pepsi cola & Coca Cola beverages
2. Android
3. Appstore
4. iPhone
5. Human, animals & Plants vaccine
6. Wikipedia
7. WhatsApp
8. Facebook ( Meta)
9. Instagram
10. Tesla motors
11. Amazon products
12. Gmail account
13. Google products zote
14. Visa & Master card
15. ATM machine
16. Starlink internet connection
17. YouTube

Izo ni baadhi ya products ambazo Fanya ufanyavyo uwezi kuacha kuvitumia na apo ukiona umetumia ujue tayari ushaichangia dollars kupanda thamani
Pitia hapa
1664524140026.png
 
Back
Top Bottom