Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ficha upumbavu,kama Russia Haumii kutokana na Hilo Bomba kubutuliwa analialia nini?

Ulaya watatafuta alternative tu,gesi haipo Russia pekee
Marekani anashangilia Sasa kwa kuwa amepata soko la uhakika kwa ges yake.., unategemea ulaya wafe kutokana na kukosa gesi ya urusi??

Utasubiri sana

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Shida yako inaonekana kiwango chako cha elimu ni kidogo kama siyo, basi uelewa wako ni hafifu sana hasa kwenye haya mambo ya demand and supply.

USA ni ya kwanza kuzalisha gesi duniani lakini bado demand ni kubwa kiasi kwamba hata wanachokizalisha hakikidhi supply ya ndani na nje leo producer kama huyo ndo aje kureplace demand ya gesi kwa bara zima la ulaya tena msimu wa baridi ambapo demand inakuwa kubwa zaidi.

●Fact: "As a result, gas production in USA was up by around 4% in the second quarter of 2022 compared with the same period in 2021 but it was not enough to meet strong domestic and foreign demand and rebuild depleted inventories" Reuters 18 Sept 2022

Pia unajua kama gesi haisafirishwi kiholela kama yanavyosafirishwa mafuta kwenye meli, gharama za kuandaa usafarishaji wa gesi mpaka imufikie consumer basi hiyo gharama ya kununulia hiyo gesi siyo himilivu ndo maana unaona ulaya bado inamtegemea Urusi mpaka leo kwasababu ya cheaper prices due to presence of nord stream pipes from Russia to West Europe which reduce cost of transportation from the producer to consumer.

●Fact: Gas is very expensive to ship overseas because it must be cooled to minus 260 degrees, condensing it to what is called liquefied natural gas, or L.N.G., to be shipped in giant tankers. The importing country then has to turn the liquid back into gas so it can be transported by pipelines

KUHUSU RUSSIA KULALAMIKA

Russia halalamiki kwa kutouza gesi ulaya baada ya pipes hizo kuvuja bali analalamika miundo mbinu yake kuharibiwa na anataka ajue aliehusika na uharibifu huo ili amjibu sawa sawa na alichokifanya. Maana hata kabla ya hiyo hitilafu ya nord streams kutokea, tayari Russia ilikuwa ishapunguza kiwango cha kupeleka gesi ulaya kutoka 40% mpaka 20% hadi EU wakaanza kulia lia na kusema Russia inatumia gesi kama silaha dhidi yetu.

●Fact: On 5 sept, The EU Commission chief on Monday accused Russian President Vladimir Putin of using energy as "a weapon" by cutting the supply and manipulating the markets.

Swali: sasa nani anae lilia kati ya EU na Urusi juu ya kupungua kwa usambazwaji wa gesi kutoka urusi kwenda Ulaya magharibi.

Naomba niishie hapo nisiende sana nje ya uwezo wako wa akili nikakuchanganya bure kijana wa Biden rainbow [emoji304]
 
Wewe ni kenge ,umeshindwa kujibu hoja unaanfika utopolo Tu hapa hiyo economy unaishika vipi bila kuwa na modern technology ,huo ushawishi geopolitics na national security unazimudu vipi bila kuwa na scientific brains + modern technologies and resources ?
Ambazo wewe mmakua unazo Urusi hawana!!?? Hii nchi Ina watu wa hovyo sana.
 
Conspiracy theories hizo,

Russia imeanza miaka ya 1990 au labda unamaanisha Ussr ?....ila tambua Ussr ilikuwa upande wa waarabu kwenye mizozo yao yote na Israel.
Jiji la Moscow pekee linamiaka zaidi ya 800.
Russia ndo successor state wa USSR, Russia Empire, Grand duke of Moscow etc....Mikataba yote ya nyuma imerithiwa na Russia ya sasa..ndo maana hata kiti cha kudumu kwenye baraza la Umoja wa mataifa kinakaliwa na Urusi..wakati formally ilukua ni USSR...

Isitoshe hata ndani ya USSR, Russiana walikua more than 80%....
 
Ndugu zangu Pro- Russia “HOMOPHOBICS” leo tunasherehekea majimbo 4 tuliyojimegea Ukraine leo nitakua Samaki Samaki nikiwa na chupa kubwa ya Vodka nikisherehekea ushindi huu mnene.

Ombi langu kwa Putin Operation iendelee
1664528736911.png
 
Unaanzaje kuipotezea Dollars na wakati products zote kubwa zinazalishwa na mwenye dollars na products izo ni÷
1. Pepsi cola & Coca Cola beverages
2. Android
3. Appstore
4. iPhone
5. Human, animals & Plants vaccine
6. Wikipedia
7. WhatsApp
8. Facebook ( Meta)
9. Instagram
10. Tesla motors
11. Amazon products
12. Gmail account
13. Google products zote
14. Visa & Master card
15. ATM machine
16. Starlink internet connection
17. YouTube

Izo ni baadhi ya products ambazo Fanya ufanyavyo uwezi kuacha kuvitumia na apo ukiona umetumia ujue tayari ushaichangia dollars kupanda thamani

Una compare huo ufedhuli na Energy unajua ni transactions ngapi zinafanyika kwenye energy?? Wewe kweli ni kilaza Pro Max
 
Duh una kichwa kigumu aisee kuelewa,
Nimesema usituletee ulichokariri huko darasani miaka ya tisini uko pengine
Elezea kitu kwa uelewa na uhalisia wa mazingira ya Sasa, dunia Kila siku inabadilika mbinu mpya na maarifa yanaongezeka,
Ndo
Mnaleta mifano ya Vita vya miaka ya 70, alafu mnata muhalalishe na vita vya kisasa

Na hili ndo maana tuna vijana wengi wasomi was kukariri,hawawezi kuleta mabadiliko kwenye mazingira ya jamii yao
Be updated
Usigandishe akili kwenye vitu ulivyokariri zamani uko

Kubali mimi ni ni Kilaza Pro-Max
 
Aisee! Watu wengi sana wameichangia hii mada. Ni dhahiri Putin anajuta kuanzisha Ile vita. Anataka kurecruit vijana,lakini vijana hawataki kwenda Frontline. Kwa nini wachukue magobole waende Frontline, wakati wanajua Putin anazo silaha nyingi za kutumia dhidi ya Ukraine? Wamarekani wanamwambia Putin asithubutu kutumia silaha kali. Medvedev amesema hayo maneno ya Anthony Blinken watalazimika kuyachukulia kama vitisho tu. Wao watafuta njia nzuri ya kuimaliza hii vita. Na ingekuwa bora kama Joe Biden angeshauriwa kuwapa nafasi Warusi waimalize hii vita.
Too many soldiers on both sides of the conflict have died already.
 
Alisikika mshauri wa mgambo wa kijiji akiongea kwa jazba wkt anakunyer.
 
Aisee! Watu wengi sana wameichangia hii mada. Ni dhahiri Putin anajuta kuanzisha Ile vita. Anataka kurecruit vijana,lakini vijana hawataki kwenda Frontline. Kwa nini wachukue magobole waende Frontline, wakati wanajua Putin anazo silaha nyingi za kutumia dhidi ya Ukraine? Wamarekani wanamwambia Putin asithubutu kutumia silaha kali. Medvedev amesema hayo maneno ya Anthony Blinken watalazimika kuyachukulia kama vitisho tu. Wao watafuta njia nzuri ya kuimaliza hii vita. Na ingekuwa bora kama Joe Biden angeshauriwa kuwapa nafasi Warusi waimalize hii vita.
Too many soldiers on both sides of the conflict have died already.
Warusi wa buza wanakwambia operation inaenda vizuri kama ilivyopangwa[emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Sema mama..... sema mamaa !!!

She says: "The UK will never ignore the sovereign will of those people and we will never accept the regions of Donetsk, Luhansk, Kherson and Zaporizhzhia as anything other than Ukrainian territory.

"Putin cannot be allowed to alter international borders using brute force. We will ensure he loses this illegal war."

BIDEN na yeye Adadavua

"The United States, I want to be very clear about this, will never, never, never recognise Russia's claims on Ukraine sovereign territory," Biden says.

The US will also impose new sanctions on Russia as a result of the annexation.
 
Ukiona manyoya ujue kaliwa.

[emoji636][emoji289] The BBC will cease radio broadcasts in 10 languages, including Indonesian, Persian, Hindi, Arabic, Bengali, Chinese, Uzbek, Kyrgyz, Urdu, and Tamil, and cut 382 jobs as part of the savings plan.
HAWA wakibanwa wanakosa ushawushi duniani. Fedha ya kinyonyaji ndio inaendesha majeshi na mavyombo yao ya propaganda . Heshima kwako PUTIN
 
Back
Top Bottom