Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Aisee hii kitu bado inanipa shida Sana Yani waungwana, mfano leo Kenya,au Rwanda n.k ijimilikishe baadhi ya mikoa ya Tanzania hii imakaaje wakuu,? Binfsi Sina upande wowote kwenye vita hii ,lakin mbona Sio sawa ,aisee Mungu akaingilie Kati,haiko sawa jamani
Bonyeza *102# kupata maelezo zaidi.
 
IMG_20220930_171754_186.jpg

⚔⚔⚔The President spoke about "great historical Russia." Big historical Russia looks like this. ⚔⚔⚔
 
IMG_20220930_172159_839.jpg


Truss to Hold Emergency OBR Meeting after Failing to Shore Up Markets

UK prime minister Liz Truss will hold emergency talks with the office for Budget Responsibility, the independent fiscal watchdog, after failing to quell market panic in wake of the news of new radical economic plans.

Following last week’s controversial announcement of tax cuts and deregulation, one government insider was quoted by the Guardian as describing the meeting as “trying to read the manual after you’ve broken the thing”.
 
Aisee hii kitu bado inanipa shida Sana Yani waungwana, mfano leo Kenya,au Rwanda n.k ijimilikishe baadhi ya mikoa ya Tanzania hii imakaaje wakuu,? Binfsi Sina upande wowote kwenye vita hii ,lakin mbona Sio sawa ,aisee Mungu akaingilie Kati,haiko sawa jamani
Kenya ije Tz, Ichukue Arusha, Manyara, Klm na Tanga iseme ni mali ya Kenya halafu raia wa hiyo mikoa washangilie na kufurahia. Ukraine itulie, iendelee na mpango wa kujiunga NATO, raia wa hayo maeneo si wazalendo kwa Ukraine bali kwa Urusi, kuyapigania hayo maeneo yawe yake ni kutolitendea haki jeshi la Ukraine.
 
Pro Nato mkuje kwa wingiiiiii tuwape shukrani kwa kufanikisha kutusindikiza toka mwanzo wa SMO mpka leo hii tukijinyakulia mikoa yetu minne ..tunashukuru sana kwa michamgo yenu[emoji41][emoji41]

Pro NATO wamekimbilia wapi asee maana HIMARS zimeyeyuka na Upepo
 
Aisee hii kitu bado inanipa shida Sana Yani waungwana, mfano leo Kenya,au Rwanda n.k ijimilikishe baadhi ya mikoa ya Tanzania hii imakaaje wakuu,? Binfsi Sina upande wowote kwenye vita hii ,lakin mbona Sio sawa ,aisee Mungu akaingilie Kati,haiko sawa jamani

Ulishawai kuona uchungu wakati serbia inatenganishwa na kosovo??
 
Back
Top Bottom