kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,389
- 4,935
West ni wahuni sana, tulitegemea wangeingia vitani kumfukuza mvamizi badala yake wametuma silaha uchwara. Ni trakibani miezi 8 Russia bado yupo Ukraine, kwanini wasimfukuze?
Hivi kweli angevamiwa uingereza, marekani, ufaransa na ujerumani wangekubali kutuma silaha tu bila kuingia mazima vitani? Mbona Ukraine wanatolewa kafara?
Kwa msaada wa silaha unaweza kupigana kwa mda mrefu na ukashinda? Je wataendelea kupata misaada mpaka lini? Is it sustainable?
Biden tuma jeshi lako lenye nguvu Ukraine, tunataka kuona ukubwa wenu.