Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Bado tu bro ....Mnatiana mioyo....!!??Kwa mara ya kwanza US anaenda mpa Ukraine ATACMS, hivyo daraja la Kerch lililo Crimea lijiandae
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Bado tu bro ....Mnatiana mioyo....!!??Kwa mara ya kwanza US anaenda mpa Ukraine ATACMS, hivyo daraja la Kerch lililo Crimea lijiandae
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kumbuka toka operation imeanza hakuna kiongozi yoyote wa Ukraine wa ngazi ya juu alieguswa, sio kwamba Urusi ameshindwa ama haijui wako wapi...Kwa mara ya kwanza US anaenda mpa Ukraine ATACMS, hivyo daraja la Kerch lililo Crimea lijiandae
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wenzako wanabega tu, we endelea kujidanganya na HIMARSNdio kwanza vita inaanza, maana kwa sasa maeneo yashumbuliwa ni ya Ukraine, na mengine ni ya wahuni waliofanya uhuni
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Warusi wa buza wako busy kushangilia upumbavu wakati wenzao wamezungukwa huko,wauwawa kama kumbikumbi [emoji16][emoji16]Layman warusi watakuja kuokota mifupa aisee wasipo surrender itakuwa balaaView attachment 2372836
Jamaa wamezama kwenye kiinimacho anachofanya Putin..,hawana habari huko field wanapelekewa moto hatariLayman warusi watakuja kuokota mifupa aisee wasipo surrender itakuwa balaaView attachment 2372836
Wanapelekewa moto balaa hawawezi kutoka washazungukwa pale LaymanJamaa wamezama kwenye kiinimacho anachofanya Putin..,hawana habari huko field wanapelekewa moto hatari
[emoji16][emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Walifikiri referendum itazima Moto wa zelensiky, kumbe ndo kwanza wanachochea motoEndeleeni kushangilia referendum tunawachapa kama kawaidaView attachment 2372842
Kwahiyo sasa hivi limeamka na mikoa 4 imeenda!?Akili za [emoji2380] bwana...Amechelewa sana. 2014 ukraine ilikuwa imelala , jeshi lilikuwa weak vibaya, mpaka crimea ikaenda. Sasa wameamshwa wenyewe.
Itakuwa rais baada ya vita hii ukraine wakajisahau tena wakalala
Lakin kama wataendelea kuimarisha jeahi lao sahau.
Inaendaje wakati bado inapelekewa moto[emoji16]Kwahiyo sasa hivi limeamka na mikoa 4 imeenda!?Akili za [emoji2380] bwana...