Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Pamoja kuwa urusi imelizingira jiji la liman lakin wanajeshi wa ukraine wameshindwa kuingia jiji hapo muda mfupi uliopita jeshi la urusi lili komboa road inayotoka liman hadi torsokey
Source; halimashauri ya kichwa chako [emoji1787][emoji2][emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
THIS IS ART
1664553891067.png

🇷🇺
New map of Russia
 
1664554461683.png

Stoltenberg, in his statement, so far got off with general words about NATO support for Kyiv, as well as:

NATO does not recognize the occupied territories as part of the Russian Federation, these are the lands of Ukraine
NATO is not part of the conflict, but we support Ukraine in its self-defense
The annexation of territories is not a manifestation of strength - it is a manifestation of weakness
 
Shida yako inaonekana kiwango chako cha elimu ni kidogo kama siyo, basi uelewa wako ni hafifu sana hasa kwenye haya mambo ya demand and supply.

USA ni ya kwanza kuzalisha gesi duniani lakini bado demand ni kubwa kiasi kwamba hata wanachokizalisha hakikidhi supply ya ndani na nje leo producer kama huyo ndo aje kureplace demand ya gesi kwa bara zima la ulaya tena msimu wa baridi ambapo demand inakuwa kubwa zaidi.

●Fact: "As a result, gas production in USA was up by around 4% in the second quarter of 2022 compared with the same period in 2021 but it was not enough to meet strong domestic and foreign demand and rebuild depleted inventories" Reuters 18 Sept 2022

Pia unajua kama gesi haisafirishwi kiholela kama yanavyosafirishwa mafuta kwenye meli, gharama za kuandaa usafarishaji wa gesi mpaka imufikie consumer basi hiyo gharama ya kununulia hiyo gesi siyo himilivu ndo maana unaona ulaya bado inamtegemea Urusi mpaka leo kwasababu ya cheaper prices due to presence of nord stream pipes from Russia to West Europe which reduce cost of transportation from the producer to consumer.

●Fact: Gas is very expensive to ship overseas because it must be cooled to minus 260 degrees, condensing it to what is called liquefied natural gas, or L.N.G., to be shipped in giant tankers. The importing country then has to turn the liquid back into gas so it can be transported by pipelines

KUHUSU RUSSIA KULALAMIKA

Russia halalamiki kwa kutouza gesi ulaya baada ya pipes hizo kuvuja bali analalamika miundo mbinu yake kuharibiwa na anataka ajue aliehusika na uharibifu huo ili amjibu sawa sawa na alichokifanya. Maana hata kabla ya hiyo hitilafu ya nord streams kutokea, tayari Russia ilikuwa ishapunguza kiwango cha kupeleka gesi ulaya kutoka 40% mpaka 20% hadi EU wakaanza kulia lia na kusema Russia inatumia gesi kama silaha dhidi yetu.

●Fact: On 5 sept, The EU Commission chief on Monday accused Russian President Vladimir Putin of using energy as "a weapon" by cutting the supply and manipulating the markets.

Swali: sasa nani anae lilia kati ya EU na Urusi juu ya kupungua kwa usambazwaji wa gesi kutoka urusi kwenda Ulaya magharibi.

Naomba niishie hapo nisiende sana nje ya uwezo wako wa akili nikakuchanganya bure kijana wa Biden rainbow [emoji304]
Huyu [emoji304] asipo elewa hapa basi aisee.
 
Wala musihangaike kuwashambulia hao wahuni waliojificha ndani ya kiwanda, ziba njia hata nzi asipate kutoka.
Baadae hao mashoga watatoka wenyewe.


Hii ndio siku niliozidi kuifahamu akili kubwa ya putin.

Leo hii uingereza inaongozwa na kilaza liz truss
wakadai watakuja kuwakomboa ila bado pro nato hawajazindka tuu kuwa nani mbabe
 
Nimeshajibu , ila inaonyesha hausomi uelewe Bali unakimbilia kujibu kabla kuelewa
Umezoea kucopy na kupaste bila kufikiria
Nimesema upumbavu ni kutaka kuhalalisha makosa kwa makosa mengine yaliyokwisha fanyika
Usipoelewa basi tena
Yaliyokwishafanyika au yanayoendelea kufanyika hivi ninyi LBGTQ fahamu zimewatoka?

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom