Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sawa kwani Amin angefanya hivi na huku nyuma Kuna vitisho vyake ,je wafikili wanakagera wasinge ufyata, may be unaambiwa msipokubali nawafuta ,huna bunduki Wala kifaru ,hata MAFUNZO ya kuvitumia huna nani asingeufyata
Mikoa ni watu kama wenyewe wa meridhia kujiunga kwanini wewe usioni ni sawa? Democrancy is the rule of the pple for the pple.....hiyo ndo pure democracy 96% wameunga mkono wewe ni nani ukatae?
 
Huu ndio wakati wa kumchakaza vizuri huyu dikiteta Putin.., ngoja tuvute subra,
1664291850396.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Sawa kwani Amin angefanya hivi na huku nyuma Kuna vitisho vyake ,je wafikili wanakagera wasinge ufyata, may be unaambiwa msipokubali nawafuta ,huna bunduki Wala kifaru ,hata MAFUNZO ya kuvitumia huna nani asingeufyata
Mikoa ni watu kama wenyewe wa meridhia kujiunga kwanini wewe usioni ni sawa? Democrancy is the rule of the pple for the pple.....hiyo ndo pure democracy 96% wameunga mkono wewe ni nani ukatae?
 
Magaidi ya Ukreini yamendelea kuua raia na watoto wadogo

Among Dead after Ukraine Shells Refugee Convoy – LPR

The Ukrainian army has attacked a refugee convoy in the eastern region of Kharkov, killing over 30 people, according to the Lugansk People’s Republic’s envoy to Russia.

Rodion Miroshnik wrote on his Telegram channel that those killed in the artillery bombardment included children, and claimed that the Ukrainian army knew exactly who they were shooting at, as they had allegedly used drones to track down the refugee vehicle convoy and were “intentionally aiming at civilians.”

He added that emergency services are unable to access the bodies, as shelling from Kiev’s forces continues. The republic’s health ministry stated that seven other people were injured, including two children who lost their parents in the shelling.

Subscribe to RT
IMG_20220930_182055_431.jpg
 


Rice harvesting has started in Crimea.

This is the first harvest in eight years.

Elite seed material was provided by the Krasnodar Rice Center.

Already this year the republic will be provided with its own grain for next year's harvest.

About how rice is harvested in the Crimea - in our video.
 
My best "Part" of Today Putin's Speech [emoji4]

[emoji188] “You cannot feed people with the money you print. It will not warm your homes” — Putin

[emoji188] “It will never be the way it used to be (for the west) the collapse of western hegemony is irreversible” - Putin

[emoji188] [emoji635][emoji298] Putin: “I want the Kyiv authorities and their real masters in the West to hear me, so that everyone remembers this: people in Donetsk, Luhansk, Zaporozhye and Kherson become our citizens. Forever and ever".

[emoji188]Putin: The West denies moral standards, religion, family. Do we really want Russia to have “parent number one, two, three” instead of “mom and dad” and that perversions that lead to degradation and extinction are imposed on children in schools, supposedly there are some genders, except for women and men? For us, this is unacceptable.

Zaidi kukazia tu V Putin anajua tupo nyuma ake, when he said "we have many like-minded people all over the world, and we see their support. A liberation movement against unipolar hegemony is developing all over the world. Today we are fighting to make dictatorship and despotism forever a thing of the past. A policy built on the exclusivity of someone and the suppression of other cultures and peoples is criminal. We must turn this shameful page. The collapse of Western hegemony that has begun is irreversible. It won't be like before.

[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]


Hayo ni baadhi katika yaliyonivutia leo kwenye Speech ya Putin hasa paragraph mbili za mwisho.

We are with you... [emoji635]

And indeed, we the likeminded are here to strongly stand behind our field marshal Vladimir Putin.

Long live Vladimir Putin.
 
Sawa kwani Amin angefanya hivi na huku nyuma Kuna vitisho vyake ,je wafikili wanakagera wasinge ufyata, may be unaambiwa msipokubali nawafuta ,huna bunduki Wala kifaru ,hata MAFUNZO ya kuvitumia huna nani asingeufyata
Pro Russia wanajitoa ufahamu tu..,kura inafanyika kwa mtutu wa bunduki,ni kura gani hiyo.., hata hivyo naona dikiteta Putin kazidi kujipalia makaa kichwani pake,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Sishangai hata kidogo vipofu wanapoamua kuongozana, but wait a minute, remember that story of the antelope who danced herself lame before the main dance? Muda si mrefu dansi itafunguliwa rasmi watu wajimwage uwanjani kusakata rumba...masikini antelope!
Ha ha haaaa! Tunajua ambacho US wanaweza kufanya. Lakini, kwa sasa, US amelikoroga. Wananchi wa EU wameisha jua mbaya wao nani. Hii ni hatari sana kwa US kuendeleza harakati zake. Tusubiri tuone nani ni 'swala' kati ya EU, US, Ukraine ama Mag3. H ah ha haaa! (Nisamehe Mwalimu wangu kwa uwasilishaji huu wa hoja)
 
Pro Russia wanajitoa ufahamu tu..,kura inafanyika kwa mtutu wa bunduki,ni kura gani hiyo.., hata hivyo naona dikiteta Putin kazidi kujipalia makaa kichwani pake,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
WENDA ni kweli mkuu, unaambiwa hutaki nawafuteni, pembeni wamuona mama,baba,watoto utashindwaje kutii? WENDA yapo tusiyo yajua mkuu,
 
Kenya ije Tz, Ichukue Arusha, Manyara, Klm na Tanga iseme ni mali ya Kenya halafu raia wa hiyo mikoa washangilie na kufurahia. Ukraine itulie, iendelee na mpango wa kujiunga NATO, raia wa hayo maeneo si wazalendo kwa Ukraine bali kwa Urusi, kuyapigania hayo maeneo yawe yake ni kutolitendea haki jeshi la Ukraine.
Ni kawaida .Kabla ya 1964 hapakuwa na Tanzania. Zbar walijiunga huku kwa usalama wao wakiogopa waarabu kurudi kuichukua . Sherekea tu usihofu . State formation ni ongoing process. Juzi tu hatukua na South Sudan , Eritrea nk so relax. UN ni chombo cha mabeberu ni NATO hao usijali sana . Kuna mipango ya kuwaachia NATO UN yao
 
Back
Top Bottom