Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Bonyeza *102# kupata maelezo zaidi.Aisee hii kitu bado inanipa shida Sana Yani waungwana, mfano leo Kenya,au Rwanda n.k ijimilikishe baadhi ya mikoa ya Tanzania hii imakaaje wakuu,? Binfsi Sina upande wowote kwenye vita hii ,lakin mbona Sio sawa ,aisee Mungu akaingilie Kati,haiko sawa jamani
Umeniweza makuu🤣Bonyeza *102# kupata maelezo zaidi.
Angalau waliazima kwenye makumbusho. Masikini huyu. Kweli hawana silaha halisi kuwapa hao vijana wanaolazimishwa?We jamaa umewahi kupita hata mgambo? We hiyo silaha ni Gobole??
Atalegea tu, muda huwa ni kiranja mzuri.
Atalegea tu, muda huwa ni kiranja mzuri.
Kenya ije Tz, Ichukue Arusha, Manyara, Klm na Tanga iseme ni mali ya Kenya halafu raia wa hiyo mikoa washangilie na kufurahia. Ukraine itulie, iendelee na mpango wa kujiunga NATO, raia wa hayo maeneo si wazalendo kwa Ukraine bali kwa Urusi, kuyapigania hayo maeneo yawe yake ni kutolitendea haki jeshi la Ukraine.Aisee hii kitu bado inanipa shida Sana Yani waungwana, mfano leo Kenya,au Rwanda n.k ijimilikishe baadhi ya mikoa ya Tanzania hii imakaaje wakuu,? Binfsi Sina upande wowote kwenye vita hii ,lakin mbona Sio sawa ,aisee Mungu akaingilie Kati,haiko sawa jamani
Pro Nato mkuje kwa wingiiiiii tuwape shukrani kwa kufanikisha kutusindikiza toka mwanzo wa SMO mpka leo hii tukijinyakulia mikoa yetu minne ..tunashukuru sana kwa michamgo yenu[emoji41][emoji41]
Aisee hii kitu bado inanipa shida Sana Yani waungwana, mfano leo Kenya,au Rwanda n.k ijimilikishe baadhi ya mikoa ya Tanzania hii imakaaje wakuu,? Binfsi Sina upande wowote kwenye vita hii ,lakin mbona Sio sawa ,aisee Mungu akaingilie Kati,haiko sawa jamani
baridi imeanza nini? alikuwa mutu ya tisheti leo kaweka musweeta!View attachment 2372752
The first photo of Zelensky after Putin's speech and signing