Kwa Putin hamna mashoga?.
Nimependa sana hivyo vyanzo vyako vya habari[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2139414
Nini kinaendelea Ukraine?wanajeshi wa Russia ni kama wamesusa au?
Wanarusha wanavyotaka wao, Sio yanatokea huko kwa ujumla.Wamagharibi hawataki tupate taarifa wasizozitaka, wanatuchujia mkuu
Hata kwangu imenigomea
π€£Nimependa sana hivyo vyanzo vyako vya habari[emoji23][emoji23][emoji23]
Anachokifanya ni upumbavu mana Raia wake ndo wanateseka ilo la kuonekana jasiri na dunia wakati Raia wake wanakufa na jeshi lake linateketea ni Upumbavu huolak
lkn tuseme ukweli, kwa ubishi ule na kujiamini kule, angekuwa na silaha nzuri kama urusi, mrusi angekalishwa chini asubuhi kabisa. imagine nchi imepigwa vile, jamaa anaomba msaada wa ndege za kivita na vifaa ili aendelee kupigana naye. huo ujasiri ni wa hali ya juu sana. pili, urusi kama akijua, hatakiwi kabisa kumuua huyu jamaa kwasababu kwa ujasiri alioonyesha amekaa mioyoni mwa watu wengi wa dunia, akimuua tu atachukiwa na dunia nzima kwa historia ya karne nyingi zijazo. jamaa amejenga historia kubwa mno yaani.
acha ubish mzee unaagalia chamel ip? leo rusia anagawa chakula na kama hujui uchambuz kutoka.kwA watu wazoef wanalaum ukraon kufanywa kichaka cha mapambamoHicho chakula wanachokigawa si ndicho kile kilicho expire [emoji23],nachojua wao wana njaa sana wapelekee wali na mandondo ya nazi wakale washibe wapate nguvu ya kushusha makombora kwenye majengo na makazi ya watu. Anyway ngoja niende kwa BBC nikajisomee na nitakuja kukujibu tena hapa.
Huyu ni mwanaume itoshe tu kusema hivyo. Hv hawa transgender sio mashoga au wanahesabiwa kama wanawake kweli?Mwanamziki Zi Faamelu ambaye mwanzo alikuwa mwanaume kabla ya kubadilisha maumbile na kuwa mwanamke, amezuiliwa kuondoka nchini Ukraine kwa sababu bado anatumbulika kama mwanaume katika vyeti vyake, hivyo anatakiwa kubaki Ukraine na kupigania taifa lake. https://t.co/rHXXchTUH0View attachment 2139642
πππMimi ninahisi hii vita tayari imeshakuwa ya Dunia maana tayari humu JF wako ambao wameshaanza kutoleana Matamko Makali hata kutukanana. Kuna mmoja kamtisha mwenzake nikahisi anaweza kubonyeza kidude cha nuclear
shida kweli, nmejaribu hadi search engine ya kichina baidu wapi, kuna site inaitwa rumble sijui ipo km youtube ndo wamehamishia kule channel zao za youtube,Wamagharibi hawataki tupate taarifa wasizozitaka, wanatuchujia mkuu
Hata kwangu imenigomea
Kiruu huyu kwanza ni fala kabisa ianzishe ugomvi kutegemea majiraniZelensky amelalamikia kuwa Israel imemtosa katika kipindi hiki kizito mbali ya kuwa wana mahusiano mazuri sana na nchi hiyo
View attachment 2139676
Aisee kumbe kuwa mwanamke ni bahati kubwa kwa sasa huko Ukraine.Huyu ni mwanaume itoshe tu kusema hivyo. Hv hawa transgender sio mashoga au wanahesabiwa kama wanawake kweli?
unajua walichofanya warusi ww2 walipovamiwa na hitler? warusi wasingejitoa vile huenda leo kusingekuwa na urusi hii iliopo leo, Acha kazi ipigweAnachokifanya ni upumbavu mana Raia wake ndo wanateseka ilo la kuonekana jasiri na dunia wakati Raia wake wanakufa na jeshi lake linateketea ni Upumbavu huo
Ulijua ni Uzarendo? Yani uache kuondoka na familia yako Ubaki unapigana vita ambayo huielewi.Aisee kumbe kuwa mwanamke ni bahati kubwa kwa sasa huko Ukraine.
Kwa namna huyo jamaa (aliyejibadili) anavyolalamika ni ishara kuwa hao raia wa kiume wengi wao wanalazimishwa tu na serikali yao kubaki nchini na kupambana na majeshi ya Russia, sio stori za uzalendo kwa ujumla wao kama inavyodaiwa.
View attachment 2139709