Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Uko makini Kwa maana unamtukana mtu Kwa namna ambayo huwezi kupigwa ban!It's quite a shame!Niko jukwaani miaka mingi tu ila sijawahi kupigwa ban!
Hivi hizo lugha za kushushiana Hadi/heshima Tena Kwa mtu usiyemjua zinawasaidia nini?Mimi nashindwa kuelewa kabisa!
Nways umechagua njia hiyo basi sawa,ila kama utadumu na ID hii Kwa miaka mingi ijayo,huenda mbeleni ukakumbana na kivuli chako kikakuwinda!
Kuna watu Sasa hawatumii ID zao za miaka 5 au zaidi nyuma sababu huko nyuma waliharibu sana na Sasa wamekomaa kifikra na wanaona walikuwa wanafanya utoto!
Hii nyundo ni kubwa sana kwake.... Kuna watu wamekimbia ID zao kwelikweli....
 
Umeshajiuliza haya maswali
1)Urusi imeongeza Mikoa minne ya Ukraine kwenye Federation inatakiwa ilindwe na nani !!??
2)Waliopo kwenye operation waache OP walinde Mikoa!!??
3)Hiyo Mikoa awali Ukraine ilikuwa na wanajeshi wangapi, Kambi ngapi wakiilinda !!??
Ukinijibu hayo utajua Kwa Nini Urusi ameongeza wanajeshi Kwa kazi mbalimbali sio Moja ya OP... ILA UKIKAZA FUVU pia ni sawa .... Utakuwa ndio uwezo wako umeishia Hapo. Asante.
Wewe ni zezeta, nimesema vita haijaisha ndio maana Urusi anaongeza wanajeshi sasa wewe unapinga nini na unachosema ni nini?
 
Fanya kunitembelea Zaporizhzhia mkuu...... Tunakula Bata la mpaka kuku wanaona donge.....[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Ni kama alifikiri kuwa eti atachukua sehem yoote hadi Dsm...kuanzia Bukoba alianza hizi mbwembwe ATI anao huo uwezo ambao Leo hii anafikiri Hivyo Putin...Ila muda ulimuishia and everything came to the end....... Hitler pia alipitia njia hii ya Putin.....yaliyomkuta nadhani unajua hakuna hata kumbukumbu ya kaburi......this man (Putin)has the same same end.
 
Mimi ni ndume,
Sasa humu inaonyesha wewe ni mchicha mwiba, nusu mboga na sisi mashababi tunaweza tukachokonoa Hilo dafu.

Ndio maana tunaisapoti Urusi ili kila jinsia ibakie kwenye misingi yake na watu kama ninyi useless tuwazike

Endelea kuwasapoti Gaykraine wenzio shubaamiti
Poa bibie,..ila Mimi nshakwambia hicho unachotaka staki Kwa Sasa,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Baada ya kuona nawanyima nafasi ya kutawala jukwaa,sio?

Tangu mwanzo mlidhani huu Uzi ni Kwa ajili ya pro Russia..,Sasa mnapata stress kuona Kuna mchanganyiko..,mnatamani tu kuona yanayowapendeza

Mtu akileta mawazo tofauti mnamuona ana stress..,ana Sonoma..,ni mtukanaji.., vumilieni kusikia na kuona msivyovipenda. ,Hii ndio jamiiforum, jukwaa huru [emoji122]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ndio umtukane member mwenzako wa humu. Nadhani uungwana ni kitu change thamani sana. Ninachoamini ktk jukwaa kama hili huwezi kukutana na mtu anayetukana.
 
EU Approves Emergency Measures to Curb Rocketing Energy Prices

Mandatory power savings, a cap on excess market revenues and a levy to capture surplus corporate profits will all be rolled out across the bloc as inflation hits double digits.

The plan includes a mandatory 5% target during peak hours and a voluntary 10% reduction in overall electricity demand as well as a cap on the excess revenue made by power plants not using gas to produce electricity - money the collected by the government.

In response the Czech minister for industry and trade Jozef Sikela told euronews, "We are in an energy war with Russia. The winter is coming. We need to act now. Now means now".
 
Ndio umtukane member mwenzako wa humu. Nadhani uungwana ni kitu change thamani sana. Ninachoamini ktk jukwaa kama hili huwezi kukutana na mtu anayetukana.
Nilishawaambia kwamba matusi ni kosa linaloweza kupelekea mtu akapigwa ban hapa jukwaani.., kama wewe umeona matusi lakini moderators hawajaona huo ni mtazamo wako tu,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Javelin,manpad, HIMARS, na silaha nyinginezo zinafanya Ukraine mpaka Sasa inasimama kama taifa huru..,kwa jeuri kubwa kabsa Ukraine inatuma maombi ya kujiunga NATO mbele ya macho ya fashisti Putin..,hii ni dharau kubwa sana kwa super pawer wa mchongo [emoji12]
1664104083099.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ni kama alifikiri kuwa eti atachukua sehem yoote hadi Dsm...kuanzia Bukoba alianza hizi mbwembwe ATI anao huo uwezo ambao Leo hii anafikiri Hivyo Putin...Ila muda ulimuishia and everything came to the end....... Hitler pia alipitia njia hii ya Putin.....yaliyomkuta nadhani unajua hakuna hata kumbukumbu ya kaburi......this man (Putin)has the same same end.
Tunawakumbusha sana pro Russia kuhusu hili lakini wanaweka pamba masikioni.., udhalim haujawai kushinda popote pale.., udhalim unaweza kuonekana kushinda kwa sehemu tu, lakini anguko lake lazima litimie.., this is nature,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Msome na kumsikiliza nguli wa historia na Geopolitics Professor Stephen Kotkin. Anaijua Russia ndani nje, ameandika kitabu cha volume 3 cha Joseph Stalin, ni vigumu kupata kitabu kingine bora kama hicho cha stalin na USSR.

"Russia's problem has always been not this sense of self or identity but the fact that its capabilities have never matched its aspirations. It’s always in a struggle to live up to these aspirations, but it can’t"- Stephen Kotkin
Sasa wewe unataka capability gani zaidi ya hicho inachokifanya??Ni taifa gani duniani hapa lingeweza kuhimili hiyo vuta nikuvute na mataifa yote makubwa duniani, na ikaendelea tu....Ni mataifa mangapi duniani hapa yanaweza kunyakuwa ardhi ya mwingine tena Barani Ulaya...na likasurvive tu licha ya kelele zote..??

Mnyonge mnyongeni, lkn haki yake mpeni...Russia anauwezo ambayo mataifa machache duniani yanao...
 
IMG_20221001_144416_979.jpg

🛢The OPEC+ Alliance decided to hold a meeting of the ministerial monitoring committee and all heads of the alliance on October 5 in an offline format in Vienna.

OPEC+ members have already started discussing an additional production cut for November, and it is "likely". As reported by Reuters, the Russian delegation at this meeting may propose to the alliance to reduce oil production by about 1 million barrels per day.

According to other sources, OPEC+ members themselves are "focused on reducing" from 500 thousand to 1 million barrels per day.
 
Javelin,manpad, HIMARS, na silaha nyinginezo zinafanya Ukraine mpaka Sasa inasimama kama taifa huru..,kwa jeuri kubwa kabsa Ukraine inatuma maombi ya kujiunga NATO mbele ya macho ya fashisti Putin..,hii ni dharau kubwa sana kwa super pawer wa mchongo [emoji12]View attachment 2373801

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Uhuru huku unatwaliwa maeneo yako zaid ya 15% wewe buana kuwa serous
 
Javelin,manpad, HIMARS, na silaha nyinginezo zinafanya Ukraine mpaka Sasa inasimama kama taifa huru..,kwa jeuri kubwa kabsa Ukraine inatuma maombi ya kujiunga NATO mbele ya macho ya fashisti Putin..,hii ni dharau kubwa sana kwa super pawer wa mchongo [emoji12]View attachment 2373801

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Taifa huru wakati limepakatwa na EU, USA?

Kupapalika kwa maharage ndio kuiva kwake.

Hawezi kukubaliwa Nato Wala EU kwa sababu Ukraine ni liability kwao.
 
Tunawakumbusha sana pro Russia kuhusu hili lakini wanaweka pamba masikioni.., udhalim haujawai kushinda popote pale.., udhalim unaweza kuonekana kushinda kwa sehemu tu, lakini anguko lake lazima litimie.., this is nature,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Udhalimu umeshinda maeneo mengi duniani ikiwemo Panama, Iraq, Serbia- Bosnia na Libya.

Hivyo haishangazi ukishinda Ukraine pia.
 
Back
Top Bottom