Ujue nini bro, kuna nyakati unakaa chini unawaza hivi ni kweli Collective west ni mazuzu kiasi hiki? Ile "think tank" iliyopo nyuma ya viongozi wao kweli wamekaa wameona best options za kufanya ni haya wanayo yatekeleza hivi leo? Ni kweli hizo ndio products za vyuo bora duniani kama wanavyo tuaminisha? Unabaki na wasi wasi mtupu.
Sasa kuna mzee mmoja hivi ni baadhi ya lulu ambazo hazipewi nafasi wala airtime kwa majority. Ukiwasikiliza nini wanazungumza kuna baadhi ya mambo labda huenda unaweza kukubaliana na mimi.
Chukulia mfano clip below,
View attachment 2373563
Huyo mzee anaitwa John J. Mearsheimer, ni Distinguished Service Professor of Political Science hapo University of Chicago. CV yake tu unajua unazungumza na nani! Nimege moja tu kwenye title yake "Distinguished Professor"
Hawa Distinguished Professors ni wale traditionally researchers who can demonstrate outstanding research outputs, Distinguished Professor ni academic title given to some top tenured professors in a university, school, or department n.k so hapo you know the Man habahatishi juu ya kile anachokizungumza.
Kaanza kufundisha politics years ago hata mie binafsi nahisi sijazaliwa, toka 1982. His
Bio iko hapa It's almost 40yrs to date. You can figure out how many regimes zimepita machoni mwake all over the worlds.
Someone like him anapokwambia US na West wanaiangamiza Ukraine ujue anaona mbali kwa kulinganisha kule tulikotoka. Ila hapa team flani wamekazana tu "dikteta" "fashist" "andunje" en so so so so sooo.
In that video kuna maneno kama haya utamskia anayasema, kwamba
"The West is leading Ukraine down the primrose path and the end result is that Ukraine is going to get wrecked […] What we're doing is in fact encouraging that outcome." Akikazana kuwataka west wa'maintain neutrality ya Ukraine. Hayo akiyazungumza back in 2015 na ndio hiki tunakishuhudia leo.
It's my honor to have the same views like him, Hizi chaos zote zinazotengenezwa na collective west ni kutoka kwa hawa ma'clowns na Masters wao nyuma ya Pazia.
Na hata ile "think tank" behind hizi Clowns [emoji1782] ipo mlengwa wa maslahi ya wale walio nyuma ya pazia sio kwa ajili ya Raia na ulimwengu kwa ujumla.
Vitu kama ile terrorist act on NS-1, unaiona wazi kabisa inafanywa not for the good of the most people (Raia wa kawaida) bali for the few, very few who are benefitting most nazo zikiwa ni Corporation zinazofanya biashara kushibisha demand iliyotengenezwa through their own arranged crisis.