Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

RAMANI MPYA YA UKRAINE BAADA YA URUSI KUIMEGA. HAYO MAJIMBO 3 YENYE RANGI YA BENDERA YALIKUWA SEHEMU YA UKRAINE

ASILIMIA 15 YA ARDHI YA UKRAINE IMETWALIWA NA URUSI

IMG_20221001_091446_589.jpg
 
Una compare huo ufedhuli na Energy unajua ni transactions ngapi zinafanyika kwenye energy?? Wewe kweli ni kilaza Pro Max
Hivi japani inayoizidi Russia uchumi Ina hiyo energy unayoisema. Kwan matajiri wa Dunia kama Elon na Jeffo Wana hizo energy unazozisema.. maendleo ya Sasa ni akili sio resources ulizo nazo
 
Mi naona Russia kavuka malengo juu ya SMO yake Ukrain kwa sababu kila alichokihitaji amekipata bila kujali vikwazo (Denazification,Demilitarisation na accupation of DON BASS) ambapo kachukua Luhansk na Donetsk + mikoa miwili ya ziada Kherson na Zaporonhye ambayo haikua katika malengo yake ya kwanza
 
Taahira ndio ataita Russia Superpower wa mchongo. Huyo ni real super Power akiheshimiwa na NATO , EU na KILA mwenye uelewa . Ni vijana wa hip-hop tu ndio akili zao changa . Hawawezi kusoma kitabu cha kurasa sita. Wao ni vopichapicha tu kuangalia
kuwa great millitary power hakutoshi kuwa superpower, superpower inabidi uwe kinara kwenye nyanja zote kijeshi, kisiasa na kiuchumi na uwe na uwezo wa kuproject hizo powers kwenda huko duniani, nchi yenye uchumi km wa south korea inaanzaje kuwa superpower!!!!
 
Hao watatembezewa kipigo mpaka wasahau hiyo referendum.., sijui warusi wa buza aibu wataificha wapi

Na uzuri ni kwamba ni Leo hii tu,hiyo mikoa minne imeshatambulika rasmi kwa mujibu wa fashsti Putin kuwa mikoa ya urusi..,

Sasa swali linakuja hapa..,je hiyo mikoa itaendelea kupelekewa moto au haitapelekewa moto..,sisi tuko hapa jamvini kurekodi chochote kitakachofuata

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
kwanza donetsk yenye pamoja na zapo wanakalia nusu tu, baada ya miezi nane ya mapigano
 
.

Ni kweli kama unaelewa suala la geopolitics watu wanaweza kusema wewe ni mjukuu wa sheakh yahaya, maana watu wenye elimu hii huwa wanaweza kutabiri kile kinachokuja Kwa kuchambua mazingira husika,

Ila kwenye huu mgogoro kitu ambacho nimekivulia kofia ni utulivu, ukimya, uvumilivu na akili inayotumika kuwajibu maadui wa urusi, Mimi baada ya Ukraine kuanza kufanya counter offence nikajua mrusi atakuja kujibu Kwa nguvu Sana na nadhani hata west walitarajia hili wakaanza kuwaaambia raia wao waondoke Ukraine Ila jibu la urusi sasa 😂😂😂😂😂 akaja na referendum yaani kavuruga kila kitu ambacho west walikuwa wamejiandaa nacho, nikaona marekani mbio UN nikaona hapa mtu kashikwa sehemu nyeti.
Ujue nini bro, kuna nyakati unakaa chini unawaza hivi ni kweli Collective west ni mazuzu kiasi hiki? Ile "think tank" iliyopo nyuma ya viongozi wao kweli wamekaa wameona best options za kufanya ni haya wanayo yatekeleza hivi leo? Ni kweli hizo ndio products za vyuo bora duniani kama wanavyo tuaminisha? Unabaki na wasi wasi mtupu.

Sasa kuna mzee mmoja hivi ni baadhi ya lulu ambazo hazipewi nafasi wala airtime kwa majority. Ukiwasikiliza nini wanazungumza kuna baadhi ya mambo labda huenda unaweza kukubaliana na mimi.

Chukulia mfano clip below,



Huyo mzee anaitwa John J. Mearsheimer, ni Distinguished Service Professor of Political Science hapo University of Chicago. CV yake tu unajua unazungumza na nani! Nimege moja tu kwenye title yake "Distinguished Professor"

Hawa Distinguished Professors ni wale traditionally researchers who can demonstrate outstanding research outputs, Distinguished Professor ni academic title given to some top tenured professors in a university, school, or department n.k so hapo you know the Man habahatishi juu ya kile anachokizungumza.

Kaanza kufundisha politics years ago hata mie binafsi nahisi sijazaliwa, toka 1982. His Bio iko hapa It's almost 40yrs to date. You can figure out how many regimes zimepita machoni mwake all over the worlds.

Someone like him anapokwambia US na West wanaiangamiza Ukraine ujue anaona mbali kwa kulinganisha kule tulikotoka. Ila hapa team flani wamekazana tu "dikteta" "fashist" "andunje" en so so so so sooo.

In that video kuna maneno kama haya utamskia anayasema, kwamba "The West is leading Ukraine down the primrose path and the end result is that Ukraine is going to get wrecked […] What we're doing is in fact encouraging that outcome." Akikazana kuwataka west wa'maintain neutrality ya Ukraine. Hayo akiyazungumza back in 2015 na ndio hiki tunakishuhudia leo.

It's my honor to have the same views like him, Hizi chaos zote zinazotengenezwa na collective west ni kutoka kwa hawa ma'clowns na Masters wao nyuma ya Pazia.

Na hata ile "think tank" behind hizi Clowns 🤡 ipo mlengwa wa maslahi ya wale walio nyuma ya pazia sio kwa ajili ya Raia na ulimwengu kwa ujumla.

Vitu kama ile terrorist act on NS-1, unaiona wazi kabisa inafanywa not for the good of the most people (Raia wa kawaida) bali for the few, very few who are benefitting most nazo zikiwa ni Corporation zinazofanya biashara kushibisha demand iliyotengenezwa through their own arranged crisis.
 
Naona mimba yako inaanza kukua Sasa maana nayajua maneno yako,mara tu mimba yako ikifikisha miezi 3 unakuwa na shida sana[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Daaah,umepoteza kabisa utulivu wa akili!Hebu relax,kutukana hakukuongozei chochote!
Tujikite kwenye mjadala!Mengine hayo mnayoleta humu,ni kutukosea wasomaji!Kama vipi mfate PM ukamtukane huko!
 
kwanza donetsk yenye pamoja na zapo wanakalia nusu tu, baada ya miezi nane ya mapigano
Ndo maana tunasema huyu fashsti anayejiita Putin alilazimisha tu hiyo kura baada ya kipigo kuwa kikali huko field,

Mpaka Sasa vijana wa zelensiky hawajapoa.., wanaendeleza mkong'oto,hiyo kura Ina maana gani Sasa [emoji848]

Kuna mambo ukiyafikiria hata hayaingii akilini,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom