Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hafanyi haya kwa kupenda ila kabanwa mbavu na ameona huko mbeleni hali itazidi kuwa ngumu kwake.

Hivyo anajaribu kutafuta njia nzuri ya kujinasua na lawama iwapo Ukraine watagoma kuzungumza (ila lawama za mauaji na uharibifu hawezi kuzikwepa)

.....japo kachelewa ila ni vyema Vita viishe Sasa.
Nchi "iliyobanwa" mbavu inachukuaje 15% ya nchi "iliyombana" mbavu?
 
Naona mimba yako inaanza kukua Sasa maana nayajua maneno yako,mara tu mimba yako ikifikisha miezi 3 unakuwa na shida sana[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
hii thread imekuzidi uwezo, endelea kuedit na kutuma picha nyingine ujifariji ila jua 15% ya eneo lenu liko Russia kwa sasa
 
What's the point of this,

Nachoweza kusema Russia arudi nyuma ajitafakari, napenda kuwasilisha quote kutoka kwa famous Germany philosopher inasema "Battle not with monsters, lest ye become a monster, and if you gaze into the abyss, the abyss gazes also into you.” hichi ndicho kilichomkumba mrusi na marais wengi waliotoa serikali onevu madarakani, baada ya kutoa uovu wao ndio wanakaimu nafasi hio ya uovu. Russia anafanya unyama aliofanyiwa na Ujerumani ya kinazi, kama kulipua hospitali, mashule, makazi ya watu kama sio kitu.
Definitely you're misinformed on what is going on in Ukraine as well as Donbas areas, which have just accepted to be under Russia umbrella. That is what I have to say regarding your framed comment.

Samahani kwa ubovu wa kizungu changu
 
Kwa Sasa urusi kaona mambo yanakuwa magumu ..,Sasa anayapiga masterbation maeneo ya Ukraine..,hiki anachofanya urusi hakina tofauti na mtu anayefanya masterbation huku akijiona amekidhi haja yake

Unasema imechukua asilimia 15, huku hayo maeneo yakiendelea kupelekewa moto ,hii Ina maana gani?

Si ni masterbation hii?[emoji848][emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
What's the point of this,

Nachoweza kusema Russia arudi nyuma ajitafakari, napenda kuwasilisha quote kutoka kwa famous Germany philosopher inasema "Battle not with monsters, lest ye become a monster, and if you gaze into the abyss, the abyss gazes also into you.” hichi ndicho kilichomkumba mrusi na marais wengi waliotoa serikali onevu madarakani, baada ya kutoa uovu wao ndio wanakaimu nafasi hio ya uovu. Russia anafanya unyama aliofanyiwa na Ujerumani ya kinazi, kama kulipua hospitali, mashule, makazi ya watu kama sio kitu.
Keep dreaming
 
IMG_20221001_081128_313.jpg


Picture on German TV, understandable without translation.

Who blew up the pipe?

By Zloy Proof
 
Ifike muda Pro NATO muelewe kwamba NATO kwa Russia ni dhaifu haina uwezo wa kupambana na Mrussi. Intel nzima ya NATO imepeleka silaha bado wamepewa tech mpaka satellite zimewasaidia lakn bado wameondoka na 15% ya eneo lenu tena lenye mali kibao.

Propaganda zinawamaliza nyie watu mnakumbuka kipindi cha ghost of kyiv? Badae tukaambiwa hakukua na hicho kitu. Juzi wamekiri HIMARS zilikua Useless.

Pro NATO mimi na swali inakuaje Russia kuondoka na 15% ya ardhi kama alikua anazidiwa field?? hana chakula?? Mara kaishiwa askari??

Pro-NATO [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
🇺[emoji1232]🇿[emoji635]27 members of the US Congress called for "immediate" action to sanction Algeria for involvement in Russian arms purchases.

In a letter to Anthony Blinken, mention is made of Algiers' $7 billion purchase last year that "has made Algeria the third largest recipient of Russian arms in the world."

This lawsuit is based on the Countering America's Adversaries Through Sanctions Act (CAATSA).

Congresswoman Lisa McClain, who is leading this lawsuit, said that "Algeria's growing relationship with Russia represents a threat to all nations of the world."

[emoji115][emoji115][emoji115]This is about what Putin was speaking today,that USA takes only hostages,they don't care about sovereignty of other nations

This speech today was much tougher than 2007 in Munich,it was open declaration of war to the West political elites and their colonial behaviour...

[emoji115]There was no diplomacy when Putin was speaking today,he strictly and openly said that the colonialism must stop and the self-imposed order of the West political elites..."Interesting times ahead"...
 
Wajitafakari na wakae kwa kutulia vinginevyo itabaki stori kulikua na nchi inaitwa Uikrane.Na wale wenzangu na mie bendera fuata upepo chumi zao zimeparaganyika na kiranja wao masoko anawategemea wao wamejikuta wanaseleleka wote.
Mbadala wa gesi hawana na hawatopata itasababisha wachapane makonde wenyewe kwa wenyewe.
Putin akili kubwa,anamchapa Uikrane huku Ulaya inatumbukia kwenye shimo reeeeefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom