Tulisema humu huyu jamaa ni kichwa hasa watu wakawa wanabisha.
Tazama alivokua anaendesha SMO yake, maboya yakawa yanadhani nia yake ni Ukraine yote
Tazama alivofukuza majeshi ya Ukraine huko mbali halafu akawithdraw, maboya wakadhani kazidiwa,.kumbe jamaa anarudisha nguvu zote kulinda majimbo anayotaka.
Tazama alivotangaza mobilization na referendums kwa pamoja, west wakabaki wameduwaa.
Leo anatangaza ceasefire na kufungua nafasi ya majadiliano na Ukraine.
West wamebaki mvurugano, ni kama vile hawajui cha kufanya