Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Jamaa analiwa kiboga hadharani alafu mazombi wake wanashinda humu jukwaani wakilaani ushoga,
1663765317045.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Yetu macho..,Mimi ninachojiiza ni kwamba; pro Russia wataficha wapi sura zao kuanzia kesho.., maana ni wazi hayo maeneo anayoyashikilia yataendelea kupelekewa moto tu [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Subiri mabunge yote ya Russia yaridhie tukio la leo ndipo utakapo leta hoja yako hii.
 
Medvedev:
We have a celebration.
They have:
Heavy drugs.
Dementia.
Cynicism.

Zelensky wants to quickly join NATO.
Great idea.
Just begging the North Atlantic Alliance to hasten the start of a third world war.
Obviously the guy is tripping.

Biden announced the non-recognition of the annexation of new territories to Russia.
It's strange that he remembered us. However, it's a shame.
We could find a good place to open an American consulate in the new regions of the Russian Federation.

Stoltenberg: if Ukraine stops fighting, it will disappear as a state. What a cynical boy - after all, if he does not stop, then a significant part of Ukrainians will disappear.

 
Propaganda au conspiracy ya US ku print pesa kulisha watu wake ni ya kitoto sana ya akili ndogo, inasikitisha Putin kujidanganya na kwadanganya wafuasi wake kwa namna hii. Unaweza kutajiwa zaid ya bidhaa 1000 na huduma mbalimbali na nyingine muhimu sana zinazotoka US kwenda duniani kote ila ni nadra sana kupata bidhaa au huduma muhimu zaidi ya mafuta inayotoka Urusi kwenda duniani kote. Kama US imekuwa superpower kwa ku printi tu pesa basi Putin naye ajaribu kufanya hivyo.
Duuuh,hata hujaelewa alichokisema!
 
▪️Russian Foreign Ministry: We consider the fact that the UN Secretary General has become an instrument of propaganda and pressure on member states to be unacceptable. The UN Secretary General's attacks on the right of the peoples of the DPR, LPR, Kherson and Zaporozhye regions to self-determination are an example of blatant double standards

▪️The UN Secretary General's statement on referendums was not designed to insult Russia. It was simply the duty of his role as Secretary General, Antonio Guterres' office replied
 
NGUVU ZENU HAZITOSHI KUITISHIA RUSSIA.

Raisi wa russia Vladimir Putin ametema cheche dhidi ya jumuia ya NATO kwa kuiambia kuwa nguvu zao za kijeshi ya jumuia hiyo bado haijitoshelezi kuitishia russia. Raisi huyo aliendelea kusema kwamba, russia itapeleka wanajeshi elfu themanini na tano(85,000) kwenye mstari wa mbele vitani kukabiliana na vikosi vya Ukraine.

Putin amesema pia kuwa jumuia hiyo ya nato imeona kuwa vita ndio suluisho la migogoro duniani badala ya mazungumzo. Pia Putin ameionya Ukraine kuacha kushambulia maeneo yaliyopo ndani ya russia yakiwemo majimbo manne yaliyojiunga na russia.

Credi: Kilimanjaro news

NATO ni dhaifu mbele ya Russia ukweli mchungu
 
Kitu kimoja pro NATO/USA mnasahau katika kumjadili Putin ni kuwa jamaa ni KGB gulu, mbaya Zaidi uKGB kaufanyia huko huko Ulaya/Ujerumani...

Leo amewambia live NATO kuwa bado hawajafikia kiwango cha kupambana na Urusi Kijeshi.

[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani wajiongeze ongeze labda huko mbeleni wanaweza kukaribia ndio wafikirie kuingia ulingoni na Urusi..

Ndio maana mipango mingi ya Urusi hakuna anaejua kifuatacho baada kingine..

Mfano Sasa wote mmeduwaa na kura hii lakini hakuna anaejua kifuatacho.

Mkilizingatia hilo hamtapa shida kumjadili.
 
Kwa speech ya Leo Ya mzee Wetu Putin huyu mwamba ni genius west wanakazi sana ya kupambana na hiki kichwa.

PUTIN ni Rais wa Millenium huyu mwamba ni fire [emoji91] [emoji91][emoji91]
Tulisema humu huyu jamaa ni kichwa hasa watu wakawa wanabisha.

Tazama alivokua anaendesha SMO yake, maboya yakawa yanadhani nia yake ni Ukraine yote

Tazama alivofukuza majeshi ya Ukraine huko mbali halafu akawithdraw, maboya wakadhani kazidiwa,.kumbe jamaa anarudisha nguvu zote kulinda majimbo anayotaka.

Tazama alivotangaza mobilization na referendums kwa pamoja, west wakabaki wameduwaa.

Leo anatangaza ceasefire na kufungua nafasi ya majadiliano na Ukraine.

West wamebaki mvurugano, ni kama vile hawajui cha kufanya
 
Back
Top Bottom