Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Fanya kunitembelea Zaporizhzhia mkuu...... Tunakula Bata la mpaka kuku wanaona donge.....πͺπͺπͺπͺπͺHuku Kherson jamhuri ya Russia sherehe zinaendelea tumerudi kwenye nchi Mama
Hii nyundo ni kubwa sana kwake.... Kuna watu wamekimbia ID zao kwelikweli....Uko makini Kwa maana unamtukana mtu Kwa namna ambayo huwezi kupigwa ban!It's quite a shame!Niko jukwaani miaka mingi tu ila sijawahi kupigwa ban!
Hivi hizo lugha za kushushiana Hadi/heshima Tena Kwa mtu usiyemjua zinawasaidia nini?Mimi nashindwa kuelewa kabisa!
Nways umechagua njia hiyo basi sawa,ila kama utadumu na ID hii Kwa miaka mingi ijayo,huenda mbeleni ukakumbana na kivuli chako kikakuwinda!
Kuna watu Sasa hawatumii ID zao za miaka 5 au zaidi nyuma sababu huko nyuma waliharibu sana na Sasa wamekomaa kifikra na wanaona walikuwa wanafanya utoto!
Wewe ni zezeta, nimesema vita haijaisha ndio maana Urusi anaongeza wanajeshi sasa wewe unapinga nini na unachosema ni nini?Umeshajiuliza haya maswali
1)Urusi imeongeza Mikoa minne ya Ukraine kwenye Federation inatakiwa ilindwe na nani !!??
2)Waliopo kwenye operation waache OP walinde Mikoa!!??
3)Hiyo Mikoa awali Ukraine ilikuwa na wanajeshi wangapi, Kambi ngapi wakiilinda !!??
Ukinijibu hayo utajua Kwa Nini Urusi ameongeza wanajeshi Kwa kazi mbalimbali sio Moja ya OP... ILA UKIKAZA FUVU pia ni sawa .... Utakuwa ndio uwezo wako umeishia Hapo. Asante.
Ni kama alifikiri kuwa eti atachukua sehem yoote hadi Dsm...kuanzia Bukoba alianza hizi mbwembwe ATI anao huo uwezo ambao Leo hii anafikiri Hivyo Putin...Ila muda ulimuishia and everything came to the end....... Hitler pia alipitia njia hii ya Putin.....yaliyomkuta nadhani unajua hakuna hata kumbukumbu ya kaburi......this man (Putin)has the same same end.Fanya kunitembelea Zaporizhzhia mkuu...... Tunakula Bata la mpaka kuku wanaona donge.....[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
hii kali.@Tsh
Poa bibie,..ila Mimi nshakwambia hicho unachotaka staki Kwa Sasa,Mimi ni ndume,
Sasa humu inaonyesha wewe ni mchicha mwiba, nusu mboga na sisi mashababi tunaweza tukachokonoa Hilo dafu.
Ndio maana tunaisapoti Urusi ili kila jinsia ibakie kwenye misingi yake na watu kama ninyi useless tuwazike
Endelea kuwasapoti Gaykraine wenzio shubaamiti
Ndio umtukane member mwenzako wa humu. Nadhani uungwana ni kitu change thamani sana. Ninachoamini ktk jukwaa kama hili huwezi kukutana na mtu anayetukana.Baada ya kuona nawanyima nafasi ya kutawala jukwaa,sio?
Tangu mwanzo mlidhani huu Uzi ni Kwa ajili ya pro Russia..,Sasa mnapata stress kuona Kuna mchanganyiko..,mnatamani tu kuona yanayowapendeza
Mtu akileta mawazo tofauti mnamuona ana stress..,ana Sonoma..,ni mtukanaji.., vumilieni kusikia na kuona msivyovipenda. ,Hii ndio jamiiforum, jukwaa huru [emoji122]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nilishawaambia kwamba matusi ni kosa linaloweza kupelekea mtu akapigwa ban hapa jukwaani.., kama wewe umeona matusi lakini moderators hawajaona huo ni mtazamo wako tu,Ndio umtukane member mwenzako wa humu. Nadhani uungwana ni kitu change thamani sana. Ninachoamini ktk jukwaa kama hili huwezi kukutana na mtu anayetukana.
Tunawakumbusha sana pro Russia kuhusu hili lakini wanaweka pamba masikioni.., udhalim haujawai kushinda popote pale.., udhalim unaweza kuonekana kushinda kwa sehemu tu, lakini anguko lake lazima litimie.., this is nature,Ni kama alifikiri kuwa eti atachukua sehem yoote hadi Dsm...kuanzia Bukoba alianza hizi mbwembwe ATI anao huo uwezo ambao Leo hii anafikiri Hivyo Putin...Ila muda ulimuishia and everything came to the end....... Hitler pia alipitia njia hii ya Putin.....yaliyomkuta nadhani unajua hakuna hata kumbukumbu ya kaburi......this man (Putin)has the same same end.
Sasa wewe unataka capability gani zaidi ya hicho inachokifanya??Ni taifa gani duniani hapa lingeweza kuhimili hiyo vuta nikuvute na mataifa yote makubwa duniani, na ikaendelea tu....Ni mataifa mangapi duniani hapa yanaweza kunyakuwa ardhi ya mwingine tena Barani Ulaya...na likasurvive tu licha ya kelele zote..??Msome na kumsikiliza nguli wa historia na Geopolitics Professor Stephen Kotkin. Anaijua Russia ndani nje, ameandika kitabu cha volume 3 cha Joseph Stalin, ni vigumu kupata kitabu kingine bora kama hicho cha stalin na USSR.
"Russia's problem has always been not this sense of self or identity but the fact that its capabilities have never matched its aspirations. Itβs always in a struggle to live up to these aspirations, but it canβt"- Stephen Kotkin
Uhuru huku unatwaliwa maeneo yako zaid ya 15% wewe buana kuwa serousJavelin,manpad, HIMARS, na silaha nyinginezo zinafanya Ukraine mpaka Sasa inasimama kama taifa huru..,kwa jeuri kubwa kabsa Ukraine inatuma maombi ya kujiunga NATO mbele ya macho ya fashisti Putin..,hii ni dharau kubwa sana kwa super pawer wa mchongo [emoji12]View attachment 2373801
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mpaka Sasa huo ni ushindi mkubwa dhidi ya fashisti aliyedhamilia kuuangusha utawala wa zelensiky ndani ya saa 72 [emoji12]Uhuru huku unatwaliwa maeneo yako zaid ya 15% wewe buana kuwa serous
Kipi? Cha wewe kuacha ushoga[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] basi endelea kupumuliwaPoa bibie,..ila Mimi nshakwambia hicho unachotaka staki Kwa Sasa,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Taifa huru wakati limepakatwa na EU, USA?Javelin,manpad, HIMARS, na silaha nyinginezo zinafanya Ukraine mpaka Sasa inasimama kama taifa huru..,kwa jeuri kubwa kabsa Ukraine inatuma maombi ya kujiunga NATO mbele ya macho ya fashisti Putin..,hii ni dharau kubwa sana kwa super pawer wa mchongo [emoji12]View attachment 2373801
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Udhalimu umeshinda maeneo mengi duniani ikiwemo Panama, Iraq, Serbia- Bosnia na Libya.Tunawakumbusha sana pro Russia kuhusu hili lakini wanaweka pamba masikioni.., udhalim haujawai kushinda popote pale.., udhalim unaweza kuonekana kushinda kwa sehemu tu, lakini anguko lake lazima litimie.., this is nature,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app