Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


⚡⚡⚡The boundaries of the Zaporozhye region are defined on the day of formation and the day of admission to the Russian Federation - an agreement

Zaporozhye region - as an administrative unit on the territory of the Ukrainian SSR, was separated on January 10, 1939 from the southeastern part of the Dnipropetrovsk region with the administrative center in the city of Zaporozhye
It remains to free a quarter of the area temporarily occupied by the terrorists⚡⚡⚡
 
African problems are not european problems.
 
Uongo
Kwan hukuona Elensky anavyopitisha ushoga na usagaji mwanzoni mwa SVO
Acha PUT IN awashughulikie

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mjinga Universal principles of human rights hazizuii wala kumbagua ,wala kumprosecute mtu basing on his sexual orientation, whether ni Transgender ,gay ,lesbian , bisexual au straight , ni maamuz ya mtu , who are you to dictate someone's wishes ambazo hazikuhusu?

The right to self determination that's what it means someone is free to do anything as long as it doesn't harm other person .

Ignorance inakusumbua wewe na wenzako. IGNORANCE ni tatizo
 
Ukimtoa kansela wao nadhani huyu mwanamke ataingia kwenye historia ya Ujerumani ya kuwa kiongozi mjinga aliyeuza uchumi wa nchi yao.

NATO kazi yake ilishaisha USSR ilipovunjika. Kazi iliyobaki ni kuulinda ukubwa wa US na kuidhibiti Ulaya. Kwa bahati mbaya Ujerumani imeangukia pabaya sana kwa viongozi walionao kwa sasa: Bomba la kusafirisha gesi limelipuliwa. Gesi ambayo aliyokuwa anaipata kidogo sana. Na aliyelipua ipo wazi ni US.

Haitoshi US anampora wawekezaji kwa sababu nishati ya gesi si yenye kutosheleza Ujerumani imepelekea gharama yake kuwa kubwa na licha ya kuwa kubwa lakini si yenye uwezo wa kuendesha mitambo mikubwa kiufanisi kwenye shughuli za uzalishaji.

Hili kwa US imekuwa ni fursa!Anawahamisha wawekezaji kutoka Ujerumani na anawapatia bei nafuu ya nishati ya gesi na matokeo yake makampuni makubwa yanaondoka Ujerumani na yameshaanza kuondoka. Na kibaya zaidi kura zilizoendeshwa kwenye vituo vya runinga kukusanya maoni ya raia ya kwamba ni nani aliyelipua bomba la usafirishaji wa gesi? Raia wa Ujerumani kwa takribani 90% wamejibu ni US.

Ajabu viongozi kama Christine hotuba zake zinawagharimu Ujerumani na mara nyengine zimekuwa zikitofautiana na za kansela wake. Nimegundua kwenye changamoto kubwa kama hizi zinazowakumba Ulaya kwa sasa nimejifunza ukiwa na viongozi wanawake jiandaeni kutoa matamko ya ujinga na maamuzi kuwa ya kijinga zaidi. Tofauti na wanaume wanazungumza na kurudi nyuma ijapokuwa nao maamuzi yao ni ya kijinga ila ya wanawake ni ya kijinga zaidi ukimtoa kansela wa Ujerumani mwana mama aliyepita; pekee ndiye mwenye akili.
 
Swali dogo tu nikuulize,miji ya Mombasa na Unguja ina mashoga wengi sana na miji hii kwa 95% inakaliwa na watu wa Dini moja.Unataka kuniambia hiyo miji na yenyewe ni Pro West?
Kweli huko kote yapo Ila hayajahalalishwa ni kosa kisheria na kiimani.
Tatizo linaanzia pale West wanapohalalisha na kupigia promo na kulazimisha wengine kushiriki upumbavu wao
 
Kuna watu wanalazimishwa na serikali za West kuwa mashoga?!
Wakikataa kuwa mashoga wanafanywa nini? Adhabu/Hukumu ya mtu kukataa kuwa shoga huko US au Ulaya ni ipi?
Kweli huko kote yapo Ila hayajahalalishwa ni kosa kisheria na kiimani.
Tatizo linaanzia pale West wanapohalalisha na kupigia promo na kulazimisha wengine kushiriki upumbavu wao
 
Zana za Ukraine zilizotekwa na Urusi mwanzoni wakati Vita inaanza zimeanza kurudi


Hapa chini ni Lori linalotumika kutengeneza Daraja la muda kuvukia MiTo,mifereji mikubwa,nk. Limelipuliwa huko Lyman.


Helicopter ya Urusi Ka-52 imetunguliwa huko Zaporizhzhia


Moja ya kifaru cha kisasa cha Urusi T-80BV kimekamatwa na Ukraine baada ya wanajeshi wa Urusi kukimbia na kukitelekeza


Kifaru kingine cha Urusi kimekamatwa huko Kherson


Drone ya Urusi imeanguka,itakua imepigwa na shambulio la kieletroniki (EW)

 
Baada ya Lyman kukombolewa,kituo kinachofuata ni Kreminna. Mji huo Kwasasa unapigwa Makombora na mizinga mizigo na Ukraine.

The Battle of Kreminna is underway.

Ukrainian artillery units are shelling Russian positions in the town heavily.

Ukrainian forces have advanced as far as the P-66 highway and are attacking from the north as well as the west.

 
Unafahamu Kabaka Mwanga II wa Buganda inadaiwa alikuwa shoga na alifanya mauaji ya waongofu wa Kikristo takribani 40 karne 19 katika ufalme wake na sababu mojawapo inayotajwa ni wao kupinga vitendo vyake vya ushoga??
Kweli huko kote yapo Ila hayajahalalishwa ni kosa kisheria na kiimani.
Tatizo linaanzia pale West wanapohalalisha na kupigia promo na kulazimisha wengine kushiriki upumbavu wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…