Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

IMG_20221002_153248_329.jpg
 
Kama miji hiyo unakiri ina mashoga na si Pro West kwanini basi watu hapa wanaosimama na Ukraine mnakimbilia kuwahusisha na kutetea ushoga? Kumbe basi swala la ushoga lipo sehemu zote Duniania na Russia ikiwemo.Nikadhani Putin kwake ni 100% hakuna mashoga.
Alie muhusisha pro west na ushoga nimie ama umekosea dada angu !!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nchi zetu hizi ngozi nyeusi sawa. Naunga mkono binafsi sio suala zuri. Lipigwe vita Hapo juu nimenukuu kakipande kwenye koment yako
Inamaana huko kwengine sawa tu au vp MKUU

Poleni sanaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Namaanisha tu save vya kwetu. Huko kwingine hata upige kelele vipu hawatokusikia.
Isitoshe kila nchi ina matatizo yake, ww unadhani kelele unazopiga hapa wanakusikia?

Tudili na vya nyumbani. Tulinde vya kwetu. Vya nje waachie wenyewe na mambo yao
 
Heads of Kherson and Zaporozhye regions will be called governors

Citizens of Ukraine and stateless persons living in the DPR, LPR, Kherson and Zaporozhye regions are recognized as citizens of Russia.

The elections of the parliaments of the DPR, LPR, Zaporozhye and Kherson regions will be held on a single voting day in September 2023.
 
Ni mtazamo mkuu sijakulenga wewe
Aaah sawa
Basi kama mtazamo naomba nikujibu MKUU
Hakuna nahaitakuja kutokea uhalali wae ama ke kuingiliwa kinyume na maumbile yake hakuna

Hata ikatokea mie na yule na yule anafanya haitakiwi eti kua sababu yakukifanya hicho kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
⚡⚡⚡Naryshkin proves to be indirect already available: it indicates the involvement of the West in the explosions at the Nord Stream, the SVR continues to collect facts.

Novak: The Russian Federation is confident that the countries that have previously expressed negativity towards them, and these are the United States, Poland and Ukraine, are interested in deactivating the North Streams⚡⚡⚡
 
Namaanisha tu save vya kwetu. Huko kwingine hata upige kelele vipu hawatokusikia.
Isitoshe kila nchi ina matatizo yake, ww unadhani kelele unazopiga hapa wanakusikia?

Tudili na vya nyumbani. Tulinde vya kwetu. Vya nje waachie wenyewe na mambo yao
Aaah hapa sasa nimekuelewa

Ila unadhani rahisi hivyo wakat leo hii tu tunapigia kelele RUSSIA na UKRAINE

Hilo jambo halitakuja kutokea mpka kiama MKUU



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeishia hapo "urusi anafanya operesheni wkt ukraine wako vitani"
Excuse my language who said hiyo sio vita?
Kwanza ukraine ndio yupo nyumbani, anavamiwa. Ungetaka wakae wa relax tu?

To me nchi yoyote duniani ina haki ya kupigania eneo lake pale linapo vamiwa.. na anae kuvamia hata kama ni nyumbani kwako ni kwamba ana tafuta vita. And hiko ndio kinachotokea.

Special OP zinakuwa carried out na sf units mara nyingi. Huwa hazitangazwi mpaka baadae sana hali ikitulia.
Hii ni convetional war
Dah !

Warusi wenyewe wanaiita Operation,Mimi na wewe ni nani hata tuwapinge.ni wao ndio wanaojua vigezo vya kuiita op.

Lkn Ukraine kwao wao sio op Bali ni vita kamili,hivi Mimi ndivyo Ninavyoona.

Labda nimezaliwa juzi,au sijui kiingeleza.
Hivi Operation Dessert Storm haikutangazwa?

Je Marekani haikuenda kwenye operation Desert storm na msululu wa nchi nyingi sana na WA majeshi mengi TU Ambayo sio SF units?

Je wanajeshi wa Marekani wote walioenda kwenye Op Desert storm walikua ni SF units?
 
Kama mwenzie ndo kaanza kumtukana unataka afanyeje mkuu.

Amwachie mungu,sio?

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hizi lugha za matusi hazipendezi mkuu , wakati mwingine inabidi tuzikemee mapema

Ofcoz idadi ni kubwa ya member wanaotumia lugha chafu,
Hii inapelekee watu wenye hekima maarifa na heshima zao kudharau forum.

Hivyo kukosa michango yao ya maana
Tunabaki na hao wanalazimisha hoja kwa matusi

Hivyo naomba ushirikiano kuwakemee watu wa aina hiyo
Tusikubali forum iharibiwe na wachache wenye matatizo yao
 
Russia [emoji635] has occupied four region of Ukraine [emoji1255]

America [emoji631] has occupied four region Guantanamo bay Cuba [emoji1083] and 3 regions northern Syria [emoji1238]

Israel [emoji1134] has occupied 70% of Palestine land [emoji1193] and Goran height Syria

UK [emoji636] has occupied Faulkland island Argentina [emoji1033]

Who is going to teach who about the land grabbing?

Who is going to teach who about International law?
Dini na chuki zakusumbua

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
What's the point of this,

Nachoweza kusema Russia arudi nyuma ajitafakari, napenda kuwasilisha quote kutoka kwa famous Germany philosopher inasema "Battle not with monsters, lest ye become a monster, and if you gaze into the abyss, the abyss gazes also into you.” hichi ndicho kilichomkumba mrusi na marais wengi waliotoa serikali onevu madarakani, baada ya kutoa uovu wao ndio wanakaimu nafasi hio ya uovu. Russia anafanya unyama aliofanyiwa na Ujerumani ya kinazi, kama kulipua hospitali, mashule, makazi ya watu kama sio kitu.
Inasikitisha saana

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom