Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,333
- 50,241
Mbona Finland haivamiwi au imewekwa kwanza kiporo ?Pili ni kulinda mipaka yake dhidi ya NATO
Kwani NATO walishaanza kuijenga Ukraine kij
Mbona Finland haivamiwi au imewekwa kwanza kiporo ?Pili ni kulinda mipaka yake dhidi ya NATO
Kwani NATO walishaanza kuijenga Ukraine kij
Usiwe mvivu kufuatilia habari.😀Ivi izi taarifa za urusi kupigwa mnazitoa wapi maana channel kubwa dunian hazipost kbsa hii taarifa zenu huenda n za zaman
Katika mpira mtu akipaki basi wao wanahesabu GOLI.Usiwe mvivu kufuatilia habari.[emoji3]View attachment 2374332
Kupaki basi maana yake unalinda hawa wamekimbia ili wasizungukwe. Ni ushindi kwa Ukraine kurejesha mji.Katika mpira mtu akipaki basi wao wanahesabu GOLI.
Endeleeni kujifarijiKupaki basi maana yake unalinda hawa wamekimbia ili wasizungukwe. Ni ushindi kwa Ukraine kurejesha mji.
mpaka weweRussia hamna kitu nimeona kama mambo yenyewe ndio yanaenda hivi
Inachekesha na kuhuzunisha sana, kuona Russia inatumia nguvu yake na ushawishi wake kuchukua majimbo manne ya Ukraine halafu USA na ukubwa wake inakimbilia UN kutafuta huruma ya mataifa dhidi ya nguvu ya Urusi kuchukua majimbo manne ya Ukraine.
Kinachonifurahisha zaidi, Hotuba moja ya putin huwa inasababisha mikiki mikiki mingi kweli duniani utadhani ni hotuba ya malaika wa anga.
Kila baada ya hotuba ya putin utasikia haya yakifukuta duniani.
☆Ruble yazidi kupanda dhidi ya dollars na Euro
★Hisa za Uchumi zapanda Moscow
☆Hisa za masoko Ulaya zashuka
☆Viongozi wa ulaya na marekani wapaniki
☆Waziri mkuu wa nchi za EU atangaza kujiuzulu
☆Raia wataka serikali ijiuzulu
☆Raia ulaya waandamana.
☆Inflation yaongezeka Ulaya.
☆UN wakaa kikao kujadili maamuzi ya Urus
☆Zelensky aomba apokelewe NATO haraka
☆NATO wakana kutohusika kwenye mgogoro wa Russia-Ukraine
☆Rais/Makamu wa rais wa USA akosea hutuba badala ya South korea asema North korea.
☆EU waitisha kikao cha dharula kujadili mwenendo wa anguko la uchumi.
☆Mitandao imefurika kujadili hotuba ya putin
☆KIMOYO MOYO, MATAIFA MENGI DUNIANI YAFURAHIA HOTUBA YA PUTIN
IN SUMMARY: PUTIN NDO KIONGOZI MWENYE USHAWISHI MKUBWA DUNIANI AMBAE HOTUBA YAKE LAZIMA ITIKISE HALI YA DUNIA HASA KIUCHUMI NA KISIASA.
VIVA VVP, VIVA RUSSIA [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Super pawer wa kuchora tu yule [emoji16]Russia hamna kitu nimeona kama mambo yenyewe ndio yanaenda hivi
Putin ataumiza moyo wako...[emoji3]haya pumzika sasa tushakusikia
Mkuu tumeleta habari tu hakuna anaejifariji kama unaumia pole sana😂Endeleeni kujifariji
Sijaumia mkuu, hiyo ni habari nzuri kwenu ndo maana nikawaambia endeleeni kujifariji. maana sisi upande wetu tuko leave kwanza kutokana na heka heka za annexation ceremony.Mkuu tumeleta habari tu hakuna anaejifariji kama unaumia pole sana[emoji23]
Nakumbuka vizuri sana Mkuu,acha tuupe muda utatuonyesha kama hiki ulichokisema kitakuwa sahihi.Kama kweli walipewa full support wataweza kuhold hayo majimbo kinyume cha hapo kuna mtihani mkubwa sana kwa Russia kuyakalia hayo maeneo.Mkuu unakumbuka mwanzoni tulikuwa na hoja kuwa Putin kuivamia Ukraine na kuua wanajeshi ni jambo moja, ataweza ishi na raia wasio mtaka? kama umefuatilia huo uchaguzi, mwitikio wa raia na namna walivyowapokea warusi utagundua hata urusi kufanikiwa kuyateka hayo majimbo kuna uwezekano raia wanahusika. Hakuna upinzani wa kuridhisha kutoka kwa raia na wana hadi bendera za Urusi boss. Wale kuna uwezekano hata waliwasaidia majeshi ya adui.
Kukimbia ni kutoka uwanjani. Mlisema HAWA aidha wafe au watekwe hawana nafasi ya kutoka salama labda mtueleze walitokaji HAWA majogooKupaki basi maana yake unalinda hawa wamekimbia ili wasizungukwe. Ni ushindi kwa Ukraine kurejesha mji.
Putin ataumiza moyo wako...[emoji3]
Safari hii US baby 🇺🇸🇺🇸 + NATO (muungano wa nchi dhaifu 30)+ EU (muungano wa nchi dhaifu 44) wameingia choo cha kike...Russia [emoji635] has occupied four region of Ukraine [emoji1255]
America [emoji631] has occupied four region Guantanamo bay Cuba [emoji1083] and 3 regions northern Syria [emoji1238]
Israel [emoji1134] has occupied 70% of Palestine land [emoji1193] and Goran height Syria
UK [emoji636] has occupied Faulkland island Argentina [emoji1033]
Who is going to teach who about the land grabbing?
Who is going to teach who about International law?