Live Sherehe inaendelea
Kwani unafikiri ni kazi sana kwa Urusi,kumuua , Zelensky?Wamuue Zelensky wamalize Vita kama ni rahisi.
Prove him wrong by deploying NATO forces in Ukraine.Anajivunia nyuklia tu, ila wa kawaida mno, hujaona hapo Ukraine kunavyomtoa jasho ?
Ha ha haa.🇷🇺💪Hafanyi haya kwa kupenda ila kabanwa mbavu na ameona huko mbeleni hali itazidi kuwa ngumu kwake.
Hivyo anajaribu kutafuta njia nzuri ya kujinasua na lawama iwapo Ukraine watagoma kuzungumza (ila lawama za mauaji na uharibifu hawezi kuzikwepa)
.....japo kachelewa ila ni vyema Vita viishe Sasa.
Russia anajiamini sana WHY.? ANA DAWA YAO ANAWAVUTA BARIDI LIKIANZA ANAWADAKA KM PANZIHa ha haa.[emoji635][emoji123]
NATO ingizeni majeshi jamani,mbona maneno mengi.
Kama kabanwa mbavu si ndo vizuri kwenu kuingiza jeshi kuuuuubwa la NATO chini ya kiranja Mkuu USA Kisha kumpa Russia pigo moja kubwa na kummaliza mazima.
Hawawezi kupeleka kwa haraka, italeta taharuki, ndio maana wanaenda taratibu; wakienda kwa haraka vita ya dunia inaweza kutokea, ambapo kila nchi mshirika atakuwa karibu na mwenzakeHa ha haa.🇷🇺💪
NATO ingizeni majeshi jamani,mbona maneno mengi.
Kama kabanwa mbavu si ndo vizuri kwenu kuingiza jeshi kuuuuubwa la NATO chini ya kiranja Mkuu USA Kisha kumpa Russia pigo moja kubwa na kummaliza mazima.
Haya ma toy bana,Hatari. Mtu asogeze pua sasa
View attachment 2373704
Iskander launchers reportedly being transported to Kherson region
Vita ya Dunia si ndo safi!Hawawezi kepeleka kwa haraka, italeta taharuki, ndio maana wanaenda taratibu; wakienda kwa haraka vita ya dunia inaweza kutokea, ambapo kila nchi mshirika atakuwa karibu na mwenzake
Wanadhani Ussr ilikuwa ni Russia tu wakati hata Ukraine ilishiriki kupigana na Hitler.Eti Russia ilimpiga Hitler single-handed! Kasomeni tena historia.
Ulimwengu wa sasa umestaarabika ukiringanisha na zile nyakati za WWI & II; kwa sasa kila kitu kinaenda taratibu ili kuwepo na sababu ya pamoja ya kuvamiaVita ya Dunia si ndo safi!
Ili kummaliza Mrusi.
NATO ni jeshi kubwa hapa chini ya jua .
NATO ni nchi zaidi ya 29 wanasubiri Nini kukipiga kinnchi kimoja kimasikini Cha Urusi?
Why NATO wakati ni Vita ya Ukraine pekee? Isitoshe Ukraine bado anatoa upinzani mkali sana kwa huyo supa pawa wa kuchora.....yaani kajimegea hivyo vijimbo baada ya miezi 7 tena hazibiti vyote kwa asilimia 100 .Ha ha haa.🇷🇺💪
NATO ingizeni majeshi jamani,mbona maneno mengi.
Kama kabanwa mbavu si ndo vizuri kwenu kuingiza jeshi kuuuuubwa la NATO chini ya kiranja Mkuu USA Kisha kumpa Russia pigo moja kubwa na kummaliza mazima.
Kama walizingirwa ,waliwezaje kuondoka Sasa?Urusi yenyewe imekiri kuwa wameondoka Lyman baada ya kuzingirwa
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Pole sana,unakumbuka shuka kumekucha.Niliingia humu nikidhani watetezi wa dikteta Putin ni watu wanaofuatilia matukio kwa mapana yake, kumbe hawana hata tofauti na hawa vibozo wa kwetu ambao huvua bongo zao na kuziacha kabatini watu wanapokuwa kwenye mijadala mizito.
Kuna kitu kinaitwa kukurupuka na uzuri wa Marekani, taifa la wahamiaji, ni kwamba hawakurupuki hovyo hata pale papara zinapozidi. Watatoa onyo halafu watakaa kimya kama vile hawapo lakini ikifika siku ya siku hutajua umepigwa na nini kutoka wapi.
Juzi tu nimeaga ili mpate nafasi ya kutafakari kitu gani kilifuatia after the antelope danced herself lame before the main dance! Kwa mbali namkumbuka Sadam wa Iraq akibweka utadhani dunia nzima ingeungua moto kama wa kuthubutu angetokea!
Kama kawaida historia haina aibu; itajirudia na safari hii Sadam hayupo tena lakini yupo pacha wake, Vladimir Putin. Huko USA rafiki yake Putin, Donald Trump ana chezeshwa huku mizizi yote ikikatwa taratibu na mwisho wa siku ni anguko la kishindo, puuu!
Lakini Trump ni wa kwao, wanaweza kumsetiri kwa namna wanayoijua lakini huyu limbukeni ha ha haaa! Tusubiri yale yale yalompata Sadam Hussein aliyeapa kuligeuza jangwa la Iraq kuwa bahari la moto kuwateketeza hao big brother wa dunia!
Eti Russia ilimpiga Hitler single-handed! Kasomeni tena historia.
Urusi anayo sababu ya msingi sana kuivamia Ukraine,Ulimwengu wa sasa umestaarabika ukiringanisha na zile nyakati za WWI & II; kwa sasa kila kitu kinaenda taratibu ili kuwepo na sababu ya pamoja ya kuvamia
Nikuulize swali. Kabla ya USSR kulikuwa na nchi iitwayo Ukraine!? Je Ukraine imezaliwa mwaka gani!?Wanadhani Ussr ilikuwa ni Russia tu wakati hata Ukraine ilishiriki kupigana na Hitler.
Hata msaada wa US kwa Ussr kupitia lend lease program hawaufahamu kabisa.
Isitoshe theluthi moja ya silaha za milipuko zilizotumiwa na Ussr kwenye Vita hivyo ilipatiwa na Marekani.