Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Itakuwa ndio vile vifaru wamepeleka juzi na wanajeshi wa mobilization 20,000.Huyu jamaa anapigana kama sio super power vile
Niliwaambia hawa Pro Russia kwamba Putin ni mwimbaji wa taarabu tu na mikwara mbuzi. Alisema atakayegusa kuishambulia mikoa iliyotwaliwa na Russia basi atakuwa ameishambulia Russia na atajibu kwa mapigo makali hasa.

Tunashuhudia mji wa Lyman leo kukombolewa hali ya kuwa upo kwenye mkoa wa Donetsk ambao jana Putin ametangaza kuwa sehemu ya Russia.

Huko Crimea mashambulizi yanaendelea kama kawaida hadi mzee wa watu anapagawa hajui pakushika. Hii vita Russia kaingizwa cha kike.
 
Pause and breathe. Don’t let yourself suffocate under the weight of the collective stress the world is piling on you.

Muse over the fact that the power to allow anything in and out of your healthy mind lies not in the hands of whatever is taking control over you, but within yourself.

Have a good one dude!
 
Dw wanasema majeshi 5k wa RUSSIA wamezungukwa huko

Ila muda utaongea

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kumbe vita bado inaendelea?

Maana mzee Putin jana alituhakikishia kwamba baada ya jana kusaini rasmi kuyajumuisha mikoa minne ya Ukraine atakayethubutu kuishambulia ni sawa na kuishambulia Russia.

Lakini bado tunashuhudia mji wa Lyman ukikombolewa ambao upo ndani ya mkoa wa Donetsk na huko Crimea kipigo kinaendelea vifaru vya Russia vimeteketezwa.
 
.

Ni kweli kama unaelewa suala la geopolitics watu wanaweza kusema wewe ni mjukuu wa sheakh yahaya, maana watu wenye elimu hii huwa wanaweza kutabiri kile kinachokuja Kwa kuchambua mazingira husika,

Ila kwenye huu mgogoro kitu ambacho nimekivulia kofia ni utulivu, ukimya, uvumilivu na akili inayotumika kuwajibu maadui wa urusi, Mimi baada ya Ukraine kuanza kufanya counter offence nikajua mrusi atakuja kujibu Kwa nguvu Sana na nadhani hata west walitarajia hili wakaanza kuwaaambia raia wao waondoke Ukraine Ila jibu la urusi sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akaja na referendum yaani kavuruga kila kitu ambacho west walikuwa wamejiandaa nacho, nikaona marekani mbio UN nikaona hapa mtu kashikwa sehemu nyeti
Inachekesha na kuhuzunisha sana, kuona Russia inatumia nguvu yake na ushawishi wake kuchukua majimbo manne ya Ukraine halafu USA na ukubwa wake inakimbilia UN kutafuta huruma ya mataifa dhidi ya nguvu ya Urusi kuchukua majimbo manne ya Ukraine.

Kinachonifurahisha zaidi, Hotuba moja ya putin huwa inasababisha mikiki mikiki mingi kweli duniani utadhani ni hotuba ya malaika wa anga.

Kila baada ya hotuba ya putin utasikia haya yakifukuta duniani.
☆Ruble yazidi kupanda dhidi ya dollars na Euro
★Hisa za Uchumi zapanda Moscow
☆Hisa za masoko Ulaya zashuka
☆Viongozi wa ulaya na marekani wapaniki
☆Waziri mkuu wa nchi za EU atangaza kujiuzulu
☆Raia wataka serikali ijiuzulu
☆Raia ulaya waandamana.
☆Inflation yaongezeka Ulaya.
☆UN wakaa kikao kujadili maamuzi ya Urus
☆Zelensky aomba apokelewe NATO haraka
☆NATO wakana kutohusika kwenye mgogoro wa Russia-Ukraine
☆Rais/Makamu wa rais wa USA akosea hutuba badala ya South korea asema North korea.
☆EU waitisha kikao cha dharula kujadili mwenendo wa anguko la uchumi.
☆Mitandao imefurika kujadili hotuba ya putin
☆KIMOYO MOYO, MATAIFA MENGI DUNIANI YAFURAHIA HOTUBA YA PUTIN

IN SUMMARY: PUTIN NDO KIONGOZI MWENYE USHAWISHI MKUBWA DUNIANI AMBAE HOTUBA YAKE LAZIMA ITIKISE HALI YA DUNIA HASA KIUCHUMI NA KISIASA.

VIVA VVP, VIVA RUSSIA [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Inachekesha na kuhuzunisha sana, kuona Russia inatumia nguvu yake na ushawishi wake kuchukua majimbo manne ya Ukraine halafu USA na ukubwa wake inakimbilia UN kutafuta huruma ya mataifa dhidi ya nguvu ya Urusi kuchukua majimbo manne ya Ukraine.

Kinachonifurahisha zaidi, Hotuba moja ya putin huwa inasababisha mikiki mikiki mingi kweli duniani utadhani ni hotuba ya malaika wa anga.

Kila baada ya hotuba ya putin utasikia haya yakifukuta duniani.
☆Ruble yazidi kupanda dhidi ya dollars na Euro
★Hisa za Uchumi zapanda Moscow
☆Hisa za masoko Ulaya zashuka
☆Viongozi wa ulaya na marekani wapaniki
☆Waziri mkuu wa nchi za EU atangaza kujiuzulu
☆Raia wataka serikali ijiuzulu
☆Raia ulaya waandamana.
☆Inflation yaongezeka Ulaya.
☆UN wakaa kikao kujadili maamuzi ya Urus
☆Zelensky aomba apokelewe NATO haraka
☆NATO wakana kutohusika kwenye mgogoro wa Russia-Ukraine
☆Rais/Makamu wa rais wa USA akosea hutuba badala ya South korea asema North korea.
☆EU waitisha kikao cha dharula kujadili mwenendo wa anguko la uchumi.
☆Mitandao imefurika kujadili hotuba ya putin
☆KIMOYO MOYO, MATAIFA MENGI DUNIANI YAFURAHIA HOTUBA YA PUTIN

IN SUMMARY: PUTIN NDO KIONGOZI MWENYE USHAWISHI MKUBWA DUNIANI AMBAE HOTUBA YAKE LAZIMA ITIKISE HALI YA DUNIA HASA KIUCHUMI NA KISIASA.

VIVA VVP, VIVA RUSSIA [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Screenshot_20221001-185842_Twitter.jpg
 
Jana nilitembelea Instagram Page iitwayo Ukraine Defence nikaona video moja ambayo wanajeshi wa Ukraine wanasali kwa kurudia Zaburi ya 91: 14-16. Nikajaribu kuwaza hivi wanajeshi wa Rusia wanamwomba Mungu kweli? Kama wanamwomba, wanamwomba ili awasaidie kuachieve nini? Ni vigumu sana Rusia kushinda vita dhidi ya Waukraine ambao wanapigana kwa ari huku wakimlilia Mungu machozi.
 
Aisee hii kitu bado inanipa shida Sana Yani waungwana, mfano leo Kenya,au Rwanda n.k ijimilikishe baadhi ya mikoa ya Tanzania hii imakaaje wakuu,? Binfsi Sina upande wowote kwenye vita hii ,lakin mbona Sio sawa ,aisee Mungu akaingilie Kati,haiko sawa jamani
No kweli uko tayari kueleweshwa?

Na uko tayari kuelewa?

Je hauna misimamo Yako kwamba unaona kua Ukraine imeonewa?
Au hujui chochote juu ya mzizo huu?

Ukijibu maswali hayo najitolea kukuelimisha Bure kabisa,nawe utaona kua Russia ana haki ya aliyoyafanya.
 
Angalau waliazima kwenye makumbusho. Masikini huyu. Kweli hawana silaha halisi kuwapa hao vijana wanaolazimishwa?View attachment 2372768
Vitu kama hivi,au michango kama hii ndio inawapunguzia heshima na kuendelea kudharaulika nyinyi Pro NATO.
Kuna propaganda lkn hii ni prpaganda ya kijinga kabisa
Mnapotoshana nyinyi kwa nyinyi.
Haiwasaidii kitu.
 
Hiyo kipisi iliyobaki. Hao raia wengine si wamekubaliana na mnyang'anyi.

"Putin alinukuliwa akisema kuwa wakazi wa maeneo ya Donetsk, Luhansk, Kherson na Zaporizhzhia wameichagua Urusi licha ya Serikali ya Ukraine kupinga maamuzi hayo."
Akawaita kwenye meza ya mazungumzo wakakubali kuiacha hio mikoa
Naamini jamaa watagoma hawataenda sasa hapo inamegwa sehem nyengine naamini

Mwisho hatakama UKRAINE haruhusiwi jiunga na NATO kwausalama wa RUSSIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kumbe vita bado inaendelea?

Maana mzee Putin jana alituhakikishia kwamba baada ya jana kusaini rasmi kuyajumuisha mikoa minne ya Ukraine atakayethubutu kuishambulia ni sawa na kuishambulia Russia.

Lakini bado tunashuhudia mji wa Lyman ukikombolewa ambao upo ndani ya mkoa wa Donetsk na huko Crimea kipigo kinaendelea vifaru vya Russia vimeteketezwa.
Sijui kipi watakifanya

Ila mchakato bado nasikia mpaka ishu iende bungeni

Sina hakika lkn

Ila tuupe muda nafasi pia hakuna vita ni SVO tuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Putin told Ukraine to halt attacks, Ukraine attacked harder. Now, Iskander-M's coming in from Russia​

01 OCTOBER 2022
Putin Speech Told Ukraine to Halt Attacks; Ukraine Attacked Harder - Now, Iskander-M's Coming in from Russia

In his landmark speech at yesterday's ceremony to accept four formerly Ukrainian regions into Russia, President Vladimir Putin told Ukraine to Cease-Fire and return to the negotiating table. He pointed out that the four territories are "now Russian citizens, FOREVER." Instead of stopping its attacks, Ukraine attacked worse.
Russia told Ukraine not to attack the areas that had the Referendums, after the referendums were completed, or the Hammer would be dropped. People are now being killed across the referendum areas by Ukraine shelling. Donetsk today,. Across city is being hit. What is Russia going to do now?



Apparently, what Russia is going to do now is answered: trainloads of Russian Iskander-M hypersonic missiles are now entering the Kherson Region. Video below shows one such trainload.

Iskander-M
This is a Variant for the Russian Armed Forces Iskander missile forces, with two 9M723 quasi-ballistic missiles with published range 415 km, rumored 500 km. Speed Mach 6–7, flight altitude up to 6–50 km, nuclear capable stealth missile, controlled at all stages, not ballistic flight path.
Immediately after the launch and upon approach to the target, the missile performs intensive maneuvering to evade anti-ballistic missiles. The missile constantly maneuvers during flight as well.
These missiles are REAL power. This is very heavy military weaponry; not some rinky-dink token of power. Ukraine is bringing this upon itself.
 

Attachments

  • DonetskCiviliansKilledInUkraineArtilleryStrike-10-01-2022.mp4
    23.1 MB
  • Iskander-ms-Trained-to-Kherson-10-01-2022.mp4
    1.9 MB
Niliingia humu nikidhani watetezi wa dikteta Putin ni watu wanaofuatilia matukio kwa mapana yake, kumbe hawana hata tofauti na hawa vibozo wa kwetu ambao huvua bongo zao na kuziacha kabatini watu wanapokuwa kwenye mijadala mizito.

Kuna kitu kinaitwa kukurupuka na uzuri wa Marekani, taifa la wahamiaji, ni kwamba hawakurupuki hovyo hata pale papara zinapozidi. Watatoa onyo halafu watakaa kimya kama vile hawapo lakini ikifika siku ya siku hutajua umepigwa na nini kutoka wapi.

Juzi tu nimeaga ili mpate nafasi ya kutafakari kitu gani kilifuatia after the antelope danced herself lame before the main dance! Kwa mbali namkumbuka Sadam wa Iraq akibweka utadhani dunia nzima ingeungua moto kama wa kuthubutu angetokea!

Kama kawaida historia haina aibu; itajirudia na safari hii Sadam hayupo tena lakini yupo pacha wake, Vladimir Putin. Huko USA rafiki yake Putin, Donald Trump ana chezeshwa huku mizizi yote ikikatwa taratibu na mwisho wa siku ni anguko la kishindo, puuu!

Lakini Trump ni wa kwao, wanaweza kumsetiri kwa namna wanayoijua lakini huyu limbukeni ha ha haaa! Tusubiri yale yale yalompata Sadam Hussein aliyeapa kuligeuza jangwa la Iraq kuwa bahari la moto kuwateketeza hao big brother wa dunia!

Eti Russia ilimpiga Hitler single-handed! Kasomeni tena historia.
Mkuu hawa watu ukiwaelewa hawatakuumiza kichwa, hawafuatilii chochote wao putin akiongea inatosha wanabeba hvyohvyo
 
Back
Top Bottom