Urusi anayo sababu ya msingi sana kuivamia Ukraine,
Moja ni kulinda raia wa east Ukraine,ambao ki asili ni Warusi,
Pili ni kulinda mipaka yake dhidi ya NATO
Kwani NATO walishaanza kuijenga Ukraine kijeshi ili kuja kuivamia Urusi mbeleni..
Sasa unasemaje pale USA peke yake ilipoisingizia Iraq kua Ina silaha za maangamizi wakati Haina?
USA Iko mbali Sana na Iraq kimipaka lakini iliona kitisho Cha WMD wakati majirani wa Iraq akina Syria,Iran,Sound Arabia,Yemen na Israel hawakuona?
Je Iraq na silaha zake za WMD wangeishambulia USA kwa silaha hizo? Na kuwaacha majirani zake?
Sasa USA iliivamia Iraq na hawakukuta silaha hizo.
Je iliwahi kukemea hiyo vita?