King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,350
- 6,098
Hakuna ushahidi wa urusi kumaliza silaha kwenye ghala lake kingine yote unayosema FSB wanajua na tena wanayajua Mengi zaidi na kingine ni kinachompa nguvu urusi Ni uwezo wa kupalinda nyumbani kwake pawe salama napia kuyalinda maslahi yake kwa uwezo mkubwa mfano Ni Syria mpaka leo bomba la gesi kutoka Qatar kwenda ulaya kwa kupitia Syria imeshindikana kabisa.Putin anakibarua kigumu sana mbele yake, alipotoka kuna mwanga anakokwenda kuna giza nene.
Ukraine anapewa msaada wa silaha, Russia inaendelea kupunguza silaha zake ghalani.
Huko mbele NATO wataingia vitani na Russia, Nadhani kwa sasa inamlazimu Putin kutotumia silaha za kisasa kwa sababu huko mbele zitahitajika kwa wingi kupambana na NATO.
Pamoja na Russia kwa sasa kuchanganya matumizi ya silaha za kizamani na kisasa naona shida iko kwa wanajeshi wake wanamuangusha sana Putin.
Labda kama kwa sasa anatumia mgambo ili baadae atumie wanajeshi kamili kupambana na NATO.
Hayo majimbo 4 ya Ukraine ambayo Russia wamejimilikisha sioni umiliki wake ukidumu, sioni Ukraine akimaliza vita bila kuyakomboa hayo majimbo.
Na Ukraine atafanikisha kujiunga NATO, ambapo NATO watamuongezea nguvu kuyakomboa hayo majimbo na hapo ndio vita ya Russia na Nato itaanza rasmi.
Nakingine hayo maeneo aliyochukua urusi,hayatokuja kurudi mikononi mwa Ukraine kamwe sababu tumeona hadi kwa crimea haikuweza kurudi tokea 2014, urusi ni father of nuclear weapons na anauwezo wa kuvimaliza vita kwanjia hiyo lakin hawana roho ya kishetani na kinyama ya kuua raia wengi ndani ya Ukraine wasio na hatia hivyo best option Ni special military operation ambaya inagharama kubwa lakini matokeo ni mazuri sababu haya maeneo ambayo amechukua na atakayo chukua siku za mbele hatakuja kuyarejesha kwa Ukraine.