Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Dini iko wapi hapo
Kanusha alioleta jamaa kama sio kweli kwaushahidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Dini iko wapi hapo
Umeenda mbali huko Unguja, njoo hata Dsm, Tanga, UsukumaniSwali dogo tu nikuulize,miji ya Mombasa na Unguja ina mashoga wengi sana na miji hii kwa 95% inakaliwa na watu wa Dini moja.Unataka kuniambia hiyo miji na yenyewe ni Pro West?
Proved hua nakuamini sana, unakwama wapi? Urusi keshatoa tamko lake mapema kabisa juu ya Finlanda kama ikijiunga na NATO.Mbona Finland haivamiwi au imewekwa kwanza kiporo ?
Proved hua nakuamini sana ,unakwama wapi?
Urusi keshatoa tamko lake mapema kabisa juu ya Finlanda kama ikijiunga na NATO.
Alissma atajibu Inavyostahi kama itajiunga na NATO.
Sasa haijajiunga,tusubiri ikijiunga tuone Urusi itafanya Nini.
Bro Urusi sio china kutishia bila kuchukua hatua .
Urusi hua haitishii,Urusi hutoa tamko na Kisha hutekeleza.
Nikufahamishe jambo dogo TU.
Urusi ilishawahi kuziangusha ndege tatu zikiwa na askari au raia wa USA kwa nyakati tofauti baada ya kuzipa onyo.
Tusubiri Finlandi wajiunge.
Kila mgonjwa anatibiwa kutokana na maradhi yake MKUUPutin alipoivamia Ukraine ilikuwa imejiunga na NATO?
Kama mimiHii nyundo ni kubwa sana kwake.... Kuna watu wamekimbia ID zao kwelikweli....
Mzee unataka pumba zako zipite bila kupingwa? Hebu jiheshimu sometimes.Acha kukurupuka soma kwa makini uelewe, sio kuwaza ujinga always
Ni huzuni kwa kweliRussia wa kukimbia pambano kweli? [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Huu ugonjwa inasemekana unamsumbua sana bwana mkubwa..,ni ugonjwa hambao unamfanya anapata choo kwa tabu sana.., yahani choo chake kinakuwa kigumu..,bado madaktari wanaagaika Ili kupata suluhisho,
Alafu kuna watu wanasema Putin anajifanyia mambo[emoji635][emoji298]The Constitutional Court of the Russian Federation approved documents on the admission of the DPR, LPR, Kherson and Zaporozhye regions to Russia.
Tomorrow, the decision to accept new regions as part of Russia is to be approved at a meeting of the State Duma.
Usukumani ipi hioUmeenda mbali huko Unguja, njoo hata Dsm, Tanga, Usukumani
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Duh! Patamu Sana hapa..,ndio maana zelensiky anapata ujasir wa kutamka kwamba atawafurusha asikari wa super pawer wa mchongo huko Donbass ndani ya wiki 1Kwa kuwakumbusha tu
Lend Lease imeanza rasmi jana
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kuna member humu alisema Putin anamitazamo ya kizamani ya akina Napoleone Bonaparte, kuendesha vita za kuvamia nchi zingine na kumega maeneo yao. Naunga mkono hoja. Mitazamo hiyo ilishapitwa na wakati.Hahaaa sema kweli mkuu
Bullcrap , unaandika uongo WA kipuuz Sana , Neo Nazis gani wanaoongozwa na Myahudi ( an eternal enemy of Nazis ) ,kuhusu homosexuality hebu ingia mtandaoni ufuatilie kuhusu msimamo WA hao Neo Nazis kuhusu homosexuality .Ungekua unaelewa mana ya Neo nazi usingeuliza hili swali
Manazi mambo leo wamebakia na misingi yao mikuu ya kuua ua watu wasiokua na hatia kama wanavyofanya kina elensky
Ila kuua mashoga waliisha acha wanawaona mashoga kama watu wamaana sana ndio maana elensky akawatambua punde baada ya SVO
Sent using Jamii Forums mobile app