Final Boss
JF-Expert Member
- May 5, 2022
- 1,296
- 15,984
Inasikitisha mno, lakini kuna kingine chashangaza sana. Haya mataifa ya Europe viongozi wao wana nini? Mbona adui yao ni 'rafiki" yao na bahati mbaya sijui niseme nzuri huwa hajifichi anajiweka wazi na wao wanafanya kuhamisha lawama kwa asiehusika? Nini tatizo haswa?Ukimtoa kansela wao nadhani huyu mwanamke ataingia kwenye historia ya Ujerumani ya kuwa kiongozi mjinga aliyeuza uchumi wa nchi yao.
NATO kazi yake ilishaisha USSR ilipovunjika. Kazi iliyobaki ni kuulinda ukubwa wa US na kuidhibiti Ulaya. Kwa bahati mbaya Ujerumani imeangukia pabaya sana kwa viongozi walionao kwa sasa: Bomba la kusafirisha gesi limelipuliwa. Gesi ambayo aliyokuwa anaipata kidogo sana. Na aliyelipua ipo wazi ni US.
Haitoshi US anampora wawekezaji kwa sababu nishati ya gesi si yenye kutosheleza Ujerumani imepelekea gharama yake kuwa kubwa na licha ya kuwa kubwa lakini si yenye uwezo wa kuendesha mitambo mikubwa kiufanisi kwenye shughuli za uzalishaji.
Hili kwa US imekuwa ni fursa!Anawahamisha wawekezaji kutoka Ujerumani na anawapatia bei nafuu ya nishati ya gesi na matokeo yake makampuni makubwa yanaondoka Ujerumani na yameshaanza kuondoka. Na kibaya zaidi kura zilizoendeshwa kwenye vituo vya runinga kukusanya maoni ya raia ya kwamba ni nani aliyelipua bomba la usafirishaji wa gesi? Raia wa Ujerumani kwa takribani 90% wamejibu ni US.
Ajabu viongozi kama Christine hotuba zake zinawagharimu Ujerumani na mara nyengine zimekuwa zikitofautiana na za kansela wake. Nimegundua kwenye changamoto kubwa kama hizi zinazowakumba Ulaya kwa sasa nimejifunza ukiwa na viongozi wanawake jiandaeni kutoa matamko ya ujinga na maamuzi kuwa ya kijinga zaidi. Tofauti na wanaume wanazungumza na kurudi nyuma ijapokuwa nao maamuzi yao ni ya kijinga ila ya wanawake ni ya kijinga zaidi ukimtoa kansela wa Ujerumani mwana mama aliyepita; pekee ndiye mwenye akili.
Inasikitisha sana aisee [emoji848][emoji848]Mabaki baada ya msafara wa wanajeshi wa Urusi waliokua wanatoroka mji wa Lyman kupigwa Makombora na Ukraine,maiti zatapakaa barabarani.
Hii ni kazi nzuri sana inayofanywa na askari shupavu wa Ukraine,Zana za Ukraine zilizotekwa na Urusi mwanzoni wakati Vita inaanza zimeanza kurudi
Hapa chini ni Lori linalotumika kutengeneza Daraja la muda kuvukia MiTo,mifereji mikubwa,nk. Limelipuliwa huko Lyman.
Helicopter ya Urusi Ka-52 imetunguliwa huko Zaporizhzhia
Moja ya kifaru cha kisasa cha Urusi T-80BV kimekamatwa na Ukraine baada ya wanajeshi wa Urusi kukimbia na kukitelekeza
Kifaru kingine cha Urusi kimekamatwa huko Kherson
Drone ya Urusi imeanguka,itakua imepigwa na shambulio la kieletroniki (EW)
Hiyo haihalalishi waganda kuukubali ushoga.Unafahamu Kabaka Mwanga II wa Buganda inadaiwa alikuwa shoga na alifanya mauaji ya waongofu wa Kikristo takribani 40 karne 19 katika ufalme wake na sababu mojawapo inayotajwa ni wao kupinga vitendo vyake vya ushoga??
Wanakunyima misaada.Kuna watu wanalazimishwa na serikali za West kuwa mashoga?!
Wakikataa kuwa mashoga wanafanywa nini? Adhabu/Hukumu ya mtu kukataa kuwa shoga huko US au Ulaya ni ipi?
Hujui au Unajitoa ufahami?Kwa hiyo West ndio wamewalazimisha South Africa, Msumbuji, DR Congo, Botswana, Seychelles na Ivory Coast kuruhusu ushoga??!
Inasikitisha mno, lakini kuna kingine chashangaza sana. Haya mataifa ya Europe viongozi wao wana nini? Mbona adui yao ni 'rafiki" yao na bahati mbaya sijui niseme nzuri huwa hajifichi anajiweka wazi na wao wanafanya kuhamisha lawama kwa asiehusika? Nini tatizo haswa?
Mfano kwe hii clip nyingine ni State Secretary Blinken, msikilize vizuri [emoji101][emoji101][emoji101]
View attachment 2375174
Kwamba "Itβs a tremendous opportunity to once and for all remove the dependence on Russian energy" zaidi anaenda mbali anasema hiyo itakuwa ni fursa kwa US companies katika kufanya biashara.
Yet bado wanawekwa bussy kupigana proxy war with Russia, Kweli?
Vile US alivyo na roho mbaya hajali kama Germany itakuwa out of competition kwenye soko kutokana na cost kubwa za uzalishaji wao wanalenga faida gani wao kama wao wanaipata.
Namnukuu tena Kissinger, "It's dangerous to be US's enemy but to be her friend is fatal".
Hivyo ndio United Shit States anavyo monopolise everything wajinga wasio elewa mambo yanaendaje wanaona kama kila kitu kinazaliwa na kubarikiwa kwa hao demons [emoji84][emoji84][emoji84] na bila wao hakuna kinachofanyika.
Ukijadili bila matusi unapungukiwa ninWanakunyima misaada.
Mbaya zaidi wameshapachika ktk vinchi vyetu hivi viongozi waoga, tegemezi na ombaomba. Hawana njia yakujikwamua na umasikini zaidi ya kuomba. Na wamebrain wash raia nyumbu km wewe kazi inakuwa raisi tu.
Magufuli was always right.
Tusi lipo wapi hapo mkuu
Ukikataa ushoga hukumu yake ni kunyimwa misaada na kutengwa na Dunia ya mahayawani wanaojiita wastaarabu.Kuna watu wanalazimishwa na serikali za West kuwa mashoga?!
Wakikataa kuwa mashoga wanafanywa nini? Adhabu/Hukumu ya mtu kukataa kuwa shoga huko US au Ulaya ni ipi?
Sio kwamba ni 9 mwamba?βββ12 countries supported Ukraine's membership in NATO. π¨πΏ Czech Republic. πͺπͺ Estonia. π±π» Latvia. π±πΉ Lithuania. π²π° North Macedonia. π²πͺ Montenegro. π΅π± Poland. π¬π΄ Romania. πΈπ° Slovakia.
Know the roosters by sightβββ
Zimetajwa hizo kwa sababuSio kwamba ni 9 mwamba?
Viongozi vibaraka hao mkuu wanatekeleza majukum yao π€£π€£π€£. Halafu nimesema 9 nahisi uliyemnukuu kachanganya kidogo kusema 12. Naona source zingine zinasema ni 9 hata ukizihesabu apo kwako naona zipo 9 washenzi hao.Zimetajwa hizo kwa sababu
1. Ni slavic wenzao inakuwaje wanawasaidia Anglo-Saxaphon. Anglo Saxophone lengo lao ni kuwamaliza Salvic.
2. Estonia, Latvia and Lithuania walikuwa sehemu ya Russia Empire kabla ya Usoviet.