hahahaa ila watawaachia tu maana ndugu zao wawest wanawapenda hao watu pamoja na mashogaHao wasijifanye wajanja walibadili jinsia ili iwej? Ww Me unatoa zakari zako na kuweka za KE ili upakuliwe hata Mungu ameweka pazia kati yao
Ukraine na Urusi wanapigana ila wakiua askari wetu😁😁😁😁 wanapost kuwa tumewaua ila tukiwapiga wanalalamika eti Urusi anashambuliahii ceasefire inatumika kwa pande husika kuregroup
Na bado anaji isolate hata akiwa na watu wake wa karibu,unaikumbuka ile picha wamekaa kwa meza ndefu yeye yuko peke yake wenzie wamebanana upande wa pili wa meza.wamarekan wanadai eti putin tabia yake imechagizwa na kule kuji-isolate kwa karibu 2yrs kwajili ya covid-19, wana utani
Hii njia ndio mana Russia wanawapelekea moto, Jamaa wamewachukua Raia kama Kinga, sasa tuwaombee tu, maana kifwatacho itv.Urusi inapiga makombora katika miji iliyotangaza kusitisha mapigano Ukraine
Uokoaji wa raia kutoka katika mji wa Mariupol umeahirishwa, kulingana na baraza la jiji laMariupol. Linasema Upande wa Urusi haujatekeleza usitishaji mapigano wa muda kama ilivyokubaliwa.
Linasema wakazi wanapaswa kutawanyika na kutafuta mahala pa kujificha na kwamba taarifa zaidi zitatolewa karibuni.
Dakika chache zilizopita meya wa mji huo aliiambia BBC kuwamji wa Mariupo ulikuwa ukipigwa makombora, na kuna ripoti kwamba mapigano yanaendela karibu na mwisho wa barabara ya kuwaokolea watu.
Meya Serhiy Orlov ameiambia BBC kuna ufyatuaji wa makombora unaoendelea katika Mariupol, na kwenye barabara ya uokoaji iliyokubaliwa, karibu na mji wa Orikhiv.
"Sio salama kwenda kwa barabara kwasababu ya haya mapigano," anasema.
Serikali ya Ukraine tayari inazungumza na maafisa wa Urusi kuhusu ukiukaji wa usitishaji mapigano, anasema na majadiliano yanaendelea.
My take: Mda wa kutoka raia umeisha waliokaidi ni maadunia kama waasi wanaomlinda muasi mkuu Zelensky
Si afadhali Putin, Joe Biden Anavaa barakoa kwenye mkutano wa onlineNa bado anaji isolate hata akiwa na watu wake wa karibu,unaikumbuka ile picha wamekaa kwa meza ndefu yeye yuko peke yake wenzie wamebanana upande wa pili wa meza.
kuwa mwanajeshi kwe nchi km urusi au marekan ni shida maana hawa watu miaka yote wako busy likiisha hili linaanza lile, km marekan wao wanapiganaga toka ww2, korean war,vietnam,iraq,afghan,iraq tena..watu wanakufa tu, kimsingi kuwa taifa kubwa kwe karne zilizopita kulihitaji gharama kubwa sana na uharibifu mkubwa duniani,Kuwa mwanajeshi sio kitu rahisi kama tunavyozania, Ni jambo la kujitoa no matter i kitu kibaya sana, Ni kuwa makini mno
ara ai pii Ukraine Nyamizi SikirimimimasikiniHii njia ndio mana Russia wanawapelekea moto, Jamaa wamewachukua Raia kama Kinga, sasa tuwaombee tu, maana kifwatacho itv.
yeah, lkn si keshapika dose za sputnik. vaccine homemade hiiNa bado anaji isolate hata akiwa na watu wake wa karibu,unaikumbuka ile picha wamekaa kwa meza ndefu yeye yuko peke yake wenzie wamebanana upande wa pili wa meza.
propaganda muhimu mida km hii, wanakufa warusi tu huko..................Ukraine na Urusi wanapigana ila wakiua askari wetu😁😁😁😁 wanapost kuwa tumewaua ila tukiwapiga wanalalamika eti Urusi anashambulia
sasa km wanajeshi wamekimbia nani wanapigana huko?The Ukrainian soldiers at this base were abandoned by the command of the Armed Forces of Ukraine, the Russian military told us, showing in what chaos and haste the military fled.
Evidence is scattered everywhere: the soldiers fled in civilian vehicles, the removed and abandoned military uniform of the Armed Forces of Ukraine is everywhere; even documents and personal belongings were thrown.
The Russian military has information that the soldiers have fled to their homes, villages and cities, having lost faith in their leadership in Kyiv.View attachment 2139781View attachment 2139782View attachment 2139783
ha ha ha,ila yule nae kweli kwa umri wake ukute wakati mwingine huwa anasahau hata kama kavaa barakoaSi afadhali Putin, Joe Biden Anavaa barakoa kwenye mkutano wa online
Hatuwezi ku ara ai pii wakati mmeomba kusitisha mapigano,tunachojua mnatafuta exit point kijanja ili mkimbie msala mliouanzisha wenyewe kwa mbwembwe nyingi.ara ai pii Ukraine Nyamizi Sikirimimimasikini
Wanajeshi wamegawanyika katika makundi au vikosi, Sio wote wapo sehemu moja, Kuna sehemu wanaweka kambi na vifaa, hiyo ni sehemu mojawapo waliyoitelekeza.sasa km wanajeshi wamekimbia nani wanapigana huko?
Wababe wa vita lakini waoga hatari wa kufa kwa Coronayeah, lkn si keshapika dose za sputnik. vaccine homemade hii
biden umri ule akipata covid anaenda nayoSi afadhali Putin, Joe Biden Anavaa barakoa kwenye mkutano wa online