LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Hao wasijifanye wajanja walibadili jinsia ili iwej? Ww Me unatoa zakari zako na kuweka za KE ili upakuliwe hata Mungu ameweka pazia kati yao
hahahaa ila watawaachia tu maana ndugu zao wawest wanawapenda hao watu pamoja na mashoga
 
Watu wameterekeza sale za kijeshi, watakuwa kwenye kundi la Raia



And here are more shots and types of abandoned APU equipment.

These are 40 units of heavy equipment (tanks and armored vehicles) and 60 units of light equipment - these are trucks, special vehicles and even Grad installations.

For all this, there were about 10 tons of spare parts.
 
Urusi inapiga makombora katika miji iliyotangaza kusitisha mapigano Ukraine
Uokoaji wa raia kutoka katika mji wa Mariupol umeahirishwa, kulingana na baraza la jiji laMariupol. Linasema Upande wa Urusi haujatekeleza usitishaji mapigano wa muda kama ilivyokubaliwa.

Linasema wakazi wanapaswa kutawanyika na kutafuta mahala pa kujificha na kwamba taarifa zaidi zitatolewa karibuni.

Dakika chache zilizopita meya wa mji huo aliiambia BBC kuwamji wa Mariupo ulikuwa ukipigwa makombora, na kuna ripoti kwamba mapigano yanaendela karibu na mwisho wa barabara ya kuwaokolea watu.

Meya Serhiy Orlov ameiambia BBC kuna ufyatuaji wa makombora unaoendelea katika Mariupol, na kwenye barabara ya uokoaji iliyokubaliwa, karibu na mji wa Orikhiv.

"Sio salama kwenda kwa barabara kwasababu ya haya mapigano," anasema.

Serikali ya Ukraine tayari inazungumza na maafisa wa Urusi kuhusu ukiukaji wa usitishaji mapigano, anasema na majadiliano yanaendelea.
My take: Mda wa kutoka raia umeisha waliokaidi ni maadunia kama waasi wanaomlinda muasi mkuu Zelensky
Hii njia ndio mana Russia wanawapelekea moto, Jamaa wamewachukua Raia kama Kinga, sasa tuwaombee tu, maana kifwatacho itv.
 
Kuwa mwanajeshi sio kitu rahisi kama tunavyozania, Ni jambo la kujitoa no matter i kitu kibaya sana, Ni kuwa makini mno
kuwa mwanajeshi kwe nchi km urusi au marekan ni shida maana hawa watu miaka yote wako busy likiisha hili linaanza lile, km marekan wao wanapiganaga toka ww2, korean war,vietnam,iraq,afghan,iraq tena..watu wanakufa tu, kimsingi kuwa taifa kubwa kwe karne zilizopita kulihitaji gharama kubwa sana na uharibifu mkubwa duniani,
 
The Ukrainian soldiers at this base were abandoned by the command of the Armed Forces of Ukraine, the Russian military told us, showing in what chaos and haste the military fled.

Evidence is scattered everywhere: the soldiers fled in civilian vehicles, the removed and abandoned military uniform of the Armed Forces of Ukraine is everywhere; even documents and personal belongings were thrown.

The Russian military has information that the soldiers have fled to their homes, villages and cities, having lost faith in their leadership in Kyiv.
IMG_20220305_154029_389.jpg
IMG_20220305_154029_537.jpg
IMG_20220305_154029_326.jpg
 
Ukraine na Urusi wanapigana ila wakiua askari wetu😁😁😁😁 wanapost kuwa tumewaua ila tukiwapiga wanalalamika eti Urusi anashambulia
propaganda muhimu mida km hii, wanakufa warusi tu huko..................
 
The Ukrainian soldiers at this base were abandoned by the command of the Armed Forces of Ukraine, the Russian military told us, showing in what chaos and haste the military fled.

Evidence is scattered everywhere: the soldiers fled in civilian vehicles, the removed and abandoned military uniform of the Armed Forces of Ukraine is everywhere; even documents and personal belongings were thrown.

The Russian military has information that the soldiers have fled to their homes, villages and cities, having lost faith in their leadership in Kyiv.View attachment 2139781View attachment 2139782View attachment 2139783
sasa km wanajeshi wamekimbia nani wanapigana huko?
 
Russian-speaking users attacked the White House's Instagram account.

They leave comments under the posts with the text of the Russian anthem, emoji with our flag, or simply write about love for their native country.

This has been going on for three days now.
SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
Back
Top Bottom