Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Unapokuja kujadiliana na mimi uwe na taarifa. Ngoja nikupatie madaraka aliyonayo mtawala wa UK kutoka kwenye katiba ya UK. Tatizo hamsomi mihemko ndiyo imejaa sana.King James ni Kiongozi WA serikali ? We pimbi ? ,
Wachambia wima wanakuambia Russia atoboi 😀😀😀Wenye akili sasa wanaona umuhimu wa Kutumia njia ya Amani na kwamba hakuna namna yoyote ile UKRAINE atatoboa.
Wale wajinga wajinga wa Kutoka NAKURU, KERICHO, KIBELA nk waache kelele zao, Pia kuna Chizi mmoja sijui anaitwa T Armata sijui nani aache ujinga.
Watu wameona wazi URUSI anafanya mazoezi tu lkn inakoendea ataingia Full na hapo ndio msala huo.View attachment 2376516
Pumzi ishakata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]karata alobaki nayo Babu yetu ni kutishia nuclear tu[emoji23]
[emoji3][emoji3]The end of Ukraine as a state, nation and country is at the corner...a self destruction strategy....pitty Ukraine...it will be erased from the map and history ...once upon a time there was a country by the name of Ukraine .
Umenikumbusha mbali sana na msemo maarufu wa enzi za Jambo Forum wa "Kumkoma Nyani giladi".Unajua hawa vijana, kama wangeacha tu kukurupuka na kusoma comments kwa utulivu wangegundua matatu kuhusu Mag3!
Humu JF, ID yangu ni ile ile na sijawahi kutumia nyingine kwa sababu siamini nina cha kuogopa kama nasema ukweli, katika hilo sina unafiki!
- Mag3 ni mtu anayechukia utawala wa kiimla haijalishi mhusika ni mweusi, mwekundu au mweupe!
- Mag3 ni mtu anayeunga mkono utawala wa sheria unaozingatia na kuheshimu Katiba ya nchi.
- Mag3, hana unafiki...koleo ataliita kwa jina lake na nyani giledi atamkoma bila ya kumtazama uso.
Ni wachache sana humu wanaoijua historia ya Jamii Forums baada ya mtangulizi wake Jambo Forums kupewa msukosuko na serikali ya CCM.
Kwa bahati mbaya kuna kundi limekuja kuivamia JF kwa lengo la kuidhoofisha na sasa kauli mbiu ya nguvu ya hoja imebadilishwa kuwa hoja za nguvu.
Udikteta haujawahi kufanikiwa popote pale na kama walivyoondoka Hitler, Sadam, Emporer Bokasa, Idi Amin Dada na wengineo, hivyo hivyo ataondoka Putin.
Balaa hili super power wa mchongoHuyu mwamba anapelekewa moto balaa haamini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leteni mjadala hapa tujadiliane. Sasa hivi mnajificha kweli. Issue za Jambo Forum miaka ya 2006 kipindi hicho nasoma PHD(National Research University Higher School of Economics) Urusi utaniambia nini wewe.Umenikumbusha mbali sana na msemo maarufu wa enzi za Jambo Forum wa "Kumkoma Nyani giladi".
Hawa walioikurupukia JF ya sasa hivi ndiyo wameivuruga sana,nimewaambia kama wanataka kukujua upeo wako kwenye mijadala wawe wanaingia JAMII INTELLIGENCE FORUM,tatizo unakuta huwa wanazurura hapa hapa tena kwenye hii Thread na wakimaliza wanarudi kwenye Forums za mipasho huko
Watu walivyokuwa wanashangilia zile sherehe za anexetion ungedhani labda hayo majimbo yasingerushiwa hata jiwe [emoji12]Warusi wana hali mbaya,upepo umegeuka wao ndo wako kwenye defensive, Ukraine kwenye offensive. Kweli kuimba kupokezana [emoji23][emoji23][emoji23]