Ninachojua kwa sasa majeshi ya Ukraine yanasonga mbele huko Kherson,pengine tafsri ya kushinda vita itakuwa imebadirika kama aliyeshinda vita kwa sasa yupo kwenye kujihami zaidi na majeshi yake kuachia maeneo kwa kisingizio cha 'tactical withdrawal'@Pietro
Yoda
Nyamizi
Jackal
HIMARS
britanicca
RUSSIA dude kuuubwa sana tuliwaambia na tutawaambia sana
RUSSIA kashashinda hii OP halaf hawa wapuuzi wakapigane vita na RUSSIA musahau
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiukweli kungechimbikaFunny Thought 🤣
Nasikia Kim kapitisha Ballistics kwenye anga la Japan, nao South Korea na US's warplanes wanafanyaa bombing exercise kama majibu ya kitendo hicho.
View attachment 2376921
Kwenye map ukiitazama North Korea na sehem Japan ilipo unaona wazi kabisa Kim hana hata ile nukta ya uoga. Hilo ballistic limetoka North Korea hapo kulia limevuka sea of japan na Japan yenyewe likaenda dondoka upande wa pili kwenye Pacific Ocean.
Sasa...
"Vipi kama viongozi wa BRICS wangekua ni Patrushev awe kule Brazil, Medvedev upande wa Russia, Kadyrov wamkabidhi India, Kim mashavu asimame hapo China kama mbadala wa Xi Jinping na Mimi hapa niende South tukiwashe dhidi ya hawa mapimbi wa collectives "small culture" 🤣🤣🤣...
Ase tungeshuhudia mengi mno ya kizazi hiki...
Nawaza tu 👣👣👣
Mpaka sasa bado nukes tu ndio hajatumia tayari ameshatumia jeshi lake lote, mpaka anafanya mobilization ya askari wapya ujue tayari maji ya shingo, putin Ali dharau Ukraine sasa kuwacha hawezi ni either ashindwe au ashindeTotal war URUSI hawezi peleka Askari kiasi hiko mbele, wako more adavanced na makombora ya masafa ya kati na Mbali.
Alisikika mshauri wa mgambo wa kijiji akiongea kwa hasira akiwa anakunyer.Mpaka sasa bado nukes tu ndio hajatumia tayari ameshatumia jeshi lake lote, mpaka anafanya mobilization ya askari wapya ujue tayari maji ya shingo, putin Ali dharau Ukraine sasa kuwacha hawezi ni either ashindwe au ashinde
Dada ni kweli na Mimi nimesikia kutoka Aljazeera, Sky News na BBC kwamba Ukraine majeshi yake yanasonga mbele...But vyombo hivi ni very selective kuhusu news za crisis..wao wameamua makusudi kujikita kwenye kinachoitwa sucesses za Ukraine...very biased reporting...in journalism inaitwa opinionated reporting...Vita hii Sasa imeingia another level after referendums za maeneo ya Ukraine na baada ya maombi ya maeneo hayokujiunga na RF kuwa ratified na taasisi au vyombo husika vya RF...what we know now is that RF is amassing thousands and thousands of soldiers and armour ready for the 'final onslaught'...Let us wait and see..This coming weekend will reveal something on Ukraine's future and its very existence as a country, nation and state...Ninachojua kwa sasa majeshi ya Ukraine yanasonga mbele huko Kherson,pengine tafsri ya kushinda vita itakuwa imebadirika kama aliyeshinda vita kwa sasa yupo kwenye kujihami zaidi na majeshi yake kuachia maeneo kwa kisingizio cha 'tactical withdrawal'
Watazidi kuuwawa kama kumbikumbi Hawa asikari wa super pawer wa mchongo..,Sasa hivi wanakufa Hadi askari 300 kwa siku 1[emoji848]Wanajeshi wavamizi wa Urusi waliofariki Ukraine mpaka sasa wamezidi elfu 60.[emoji848]
Recent updates as of 3.10[emoji116]
View attachment 2376950
Mbona Al Jazeera ni chombo kinachoaminiwa na Pro Russia wengi hapa,sikujua kama nacho kwa sasa kinaonekana kiko biased.Natunza hii comment baada ya week moja nitakuja kukumbusha tena.Dada ni kweli na Mimi nimesikia kutoka Aljazeera, Sky News na BBC kwamba Ukraine majeshi yake yanasonga mbele...But vyombo hivi ni very selective kuhusu news za crisis..wao wameamua makusudi kujikita kwenye kinachoitwa sucesses za Ukraine...very biased reporting...in journalism inaitwa opinionated reporting...Vita hii Sasa imeingia another after referendums za maeneo ya Ukraine na baada ya maombi ya maeneo hayokujiunga na RF kuwa ratified na taasisi au vyombo husika vya RF...what we know now is that RF is amassing thousands and thousands of soldiers and armour ready for the 'final onslaught'...Let us wait and see..This coming weekend will reveal something on Ukraine's future and its very existence as a country, nation and state...
wa cuba wenzake washakimbia uzi, kabakia yeye - kipondo kinaendelea kule jamaa hana taarifa.Punguza kimbelembele utakuja kubakwa pimbi wewe
Aljazeera haijawahi kuwa objective na haitakuja kuwa objective...comment yangu uitunze tu, mpendwa...Mbona Al Jazeera ni chombo kinachoaminiwa na Pro Russia wengi hapa,sikujua kama nacho kwa sasa kinaonekana kiko biased.Natunza hii comment baada ya week moja nitakuja kukumbusha tena.
Namna hii, hapa rohoo yangu nyeupeeee.. PUT IN fanya mambo