Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nikikuuliza hata jinsi hiyo petrodollar ilianzaje na fall of Soviet Union vina uhusiano upi hutaweza taja .
Wewe ni muongo
Unajua Soviet Union imeanguka lini na petrodollar / Matumizi ya US dollar kwenye transactions za biashara ya mafuta zilianza lini na zilianzaje ?
Yaani petrodollar ilianza baada ya Soviet Union kuanguka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unajielewa kweli wewe ?
Soviet Union imeanguka mwaka 1991 / petrodollar / makubaliano Kati ya Saudi Arabia na United States of America Kwa Saudia Arabia kuuza mafuta interms of US dollars ilianza Chini ya utawala WA Richard Nixon mwaka 1970 huko .
Na kuna sababu zilizopelekea Hilo kutokea usifikiri lilitokea kama ajali
 
[emoji779]️Biden reportedly disappointed with OPEC+’s decision to cut oil production

According the White House, the Biden administration will release an additional 10 million barrels from the strategic oil reserve.

Subscribe to RT
Atulie... Na Waziri wa Saudia amekuwa mkali kwelikweli.... Amemuambia Mwandishi wa Reuters akaandike tu kama anavyoandika bila kusikiliza upande wa pili .. Asimuulize chochote.
 
Na Kwa taarifa yako ,Huu utawala WA sasa hivi WA Saudia Arabia usingeweza kuexist bila Hilo agano Kati ya The house of Saudi na United States , kiufupi huo ufalme usingekuwepo leo
Kuna history ndefu juu ya hili suala ,lakini kiufupi unatakiwa kujua miaka hiyo Saudi Arabia monarchy iliingia mikataba na United States Kwa wao kuuza mafuta interms of US dollars na in exchange United States kuensure usalama WA monarchy ya Saudia Arabia vitu kama kuleta silaha za kisasa , mifumo ya ulinzi ,kumodernize jeshi la Saudia NK pia kumodernize miundo mbinu ya Saudi Arabia ,ujenzi WA visima vya mafuta nk . Na imekuwa hivyo mpaka leo ,hao wazalishaji wengine hawakuwa na namna Bali kufuata system uliyokuwa established tayari Kwani mzalishaji mkubwa back in the day alikuwa Saudi Arabia so hao Wengine wakaunga tela na ikatengenezwa hiyo OPEC ambayo IPO mpaka leo .

Watu wengi hawajui kwamba hata hii Saudi Aramco ( Kampuni kubwa ya uzalishaji WA mafuta ya Saudi Arabia ) wakati huo ikijulikana kama Aramco America's iliyopo Leo ilikuwa ni branch ya Texaco ,standard oil , Exxon Mobil (haya yote ni makampuni ya uzalishaji WA mafuta ya kimarekani na ndio yaliyomiliki hisa za Aramco America's ) baadaye baada ya technology transfer kuwa wamejiridhisha imefanyika ndio ikachukuliwa na kuwekwa Chini ya serikali ya Saudia Arabia na kuitwa Saudi Aramco , Ila kuanzishwa ujenzi WA mitambo ,uendeshaji kila kitu ni mmarekani ndio alifanya na mpaka leo hii top management ya Saudi Aramco kuna wamarekani pale kibao ,kilichobadilika ni Ile kuwa Chini ya monarchy basi .So mmarekani ana mkono mrefu kwenye hii biashara ya mafuta na hii petrodollar ina history ndefu bado kuna vitu kibao vilifanyika kama ni msomaji unaeza ingia mtandaoni ukajisomea ,mi ni mvivu WA kuandika

So hata hili la kusema eti kuna siku hawa OPEC waachane na petrodollar system it's more unlikely tupende tusipende . Hii kitu si rahisi kama wengi wanavyoandika humu kimihemko ,never
 
It's not easy to fight uncle Sam when it comes to global crude oil business
 
"You report: Saudi Arabia and Russia — blah, blah, blah."

Prince Abdel-Aziz bin Salman at the OPEC+ press conference accused Reuters of lying.

"You wrote, they say, Russia is doing this and that. But in fact, when the material came out, I had not yet communicated with anyone from Russia.

Then you wrote again that Saudi Arabia and Russia, blah blah blah, are trying to negotiate a price of $100. But that's not true."

Subscribe to @Sputnik
 
Hata hao OPEC ni kujitutumua hawana lolote wanaweza Fanya ,Yaani USA na OPEC ni kama mchonga vinyago na kinyago ,mchonga kinyago hawezi tishwa na kinyago alichojitenfeneza yeye mwenyewe hata siku moja .
Mi nawaangaliaga humu nacheka Tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani hawa , eti mafuta yauzwe na kununuliwa Kwa madafu sijui rubo ,sijui yuan sujui takataka gani ,aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani hizo currencies ambazo hazina ushawishi hata kwenye nchi zao Tu , Leo hii ikitupwa USd ndani ya China au Russia na unamwambia raia yeyote achague noti ipi ya US dollar ,yuan au rubo sijui takataka gani ,nadhani jibu utakuwa nalo .
 
As if mna hata kiwanda cha kutengeza panadol , mxieew ,unajua hata wizara ya afya ya Tz inapokea kiasi gani annually kama handouts za madawa na vifaa tiba toka nje ya nchi ?
Siku zikikatwa hizo handouts si mtakufa kama nzige ? ,Hao Dada zako na mama zako wanajifungua Kwa misaada ya USAID , wengi wenu mama zenu na Dada zenu hawawezi hat kuafford gharama za pre maternal clinics na kujifungua ,bila ARV na condoms mngekuwa wapi ? , Ulishuhudia wahanga WA HIV aids back in the 80 even 90's walivyokuwa wanachakazwa na kupukutishwa kama nzige ?
Au ndio vile kuandika Tu ilimradi kufurahisha genge humu we dogo ?
 
Warusi wachapwa kwa silaha zao wenyewe[emoji848]
https://www.facebook.com/
Uzuri Biden alimwambia Yule mnywa gongo Putin ,laiti angelijua kilicho mbele yake asingesogeza pua zake pale Ukraine Ila akakaidi .
Sasa kaingiza wanajeshi wake wakala kipondo heavy na kupukutishwa kaleta Wagner wamef*rwa huko mpaka wameisha ,kaleta wafungwa wanakamdwa Tu kupukutishwa ,kaleta walevi WA ulanzi na gongo wanapakatwa Tu kila siku na mizoga Yao inaliwa na tai Kule Ukraine bado juzi Kule Lyman nasikia alileta wale elites aka special forces WA mchongo wamepakatwa na kulambishwa dudu wameisha nasikia anakimbizana na raia ,raia nao wameshtukia mchongo wanakimbilia Sweden,Poland ,Finland ,Norway ,Denmark ,Latvia ,Estonia na nchi nyingine za karibu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ,yaani Russia imeshakuwa net producer & exporter WA wakimbizi kwenda EU
Vita si porojo ,vita ni vitendo.
 
Kwa hiyo hapo unafurahia ubabe wa Marekani au sio?
Ndio, Marekani nina ndugu zangu wa kuzaliwa, Russia yuko mungumtu Putin na watwana wake wakimsujudia. Ole wako ukatae kuitikia hewala bwana, cha moto utakiona!
?Sasa hivi marekani kapata mbabe wake,
Unasumbuliwa na utoto, hujui hata unachoongea. Tofauti na wewe mimi ninayoandika siendi kuyatafuta kwenye mitandao, naandika ninayoyajua.
Kuna nchi gani iliyowekewa vikwazo kama hivyo lkn bado ikawa inaendelea na jambo lake...
Hivi unayo habari kuwa kuna nchi haiwezekani kuiwekea vikwazo hata iweje? Ilishavuka ngazi ya kuwekewa vikwazo. Uchumi wake ukianguka dunia nzima imepigwa stop.
Mnyonge mnyongeni..haki yake mpeni..Russia hata kama ni mnyonge lkn nguvu zake pia sio za kubezwa hata kidogo..hakuna nchi nyingine duniani ingeweza kuhimili kama russia alivyofanya...
Sasa unaongea; ukiwa mnyonge ni mnyonge tu hata ukipandisha bega na haki haitolewi kama pipi, hudaiwa. Kama ni mnyonge unazua ugomvi wa nini, una akili kweli?
Tuache mahaba, tuangalie ukweli hata kama unauma...KATIKA KARNE YA SASA RUSSIA ni mwiba kwa Western dominance...
Acha vichekesho, Urusi iliivamia Ukraine na sasa wanakimbizwa kama wezi hadi wanasahau vipodozi vyao. Unapokonywa rungu halafu unatandikwa nalo!
 
⚡️ Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine (October 6, 2022)

The Armed Forces of the Russian Federation continue the special military operation.

💥 Up to 3 battalion tactical groups made an unsuccessful attempt to resume their offensive towards Pershotravnevoye, Kislovka and Berestovoye at Kupyansk direction.

◽️ Decisive action of Russian forces has resulted in repelling all the attacks.

◽️ Up to 120 servicemen of the Armed Forces of Ukraine (AFU), 5 tanks, 12 armoured combat vehicles and 14 motor vehicles have been eliminated.

◽️ Kiev regime's military units have conducted no active operations at Krasny Liman direction.

💥 2 Ukrainian sabotage and reconnaissance groups have been eliminated by Russian artillery fire near Petrovskoye (Kharkov region).

◽️ The attack has resulted in the elimination of 25 militants and 2 pickups with large-calibre machine guns mounted.

💥 Offensive of the allied forces has resulted in the liberation of Zaytsevo (Donetsk People's Republic) at Artyomovsk direction.

◽️ The offensive has resulted in the elimination of over 120 personnel from 58th Mechanised Infantry and 128th Mountain Assault brigades of the AFU, as well as 3 infantry combat vehicles.

💥 Attacks launched by army aviation of Russian Aerospace Forces near Novy Komar (Donetsk People's Republic) have resulted in the elimination of up to 60 servicemen from 56th Mechanised Infantry Brigade of the AFU, 2 tanks and 5 motor vehicles.

◽️ 4 enemy battalion tactical groups made numerous attempts to break through the defence of Russian forces towards Dudchany, Sukhanovo, Sadok, Bruskinskoye at Andreyevka-Krivoy Rog direction.

◽️ The enemy has been driven from the defence line of Russian forces.

◽️ Over 100 Ukrainian personnel, 6 tanks, 8 armoured combat vehicles and 9 motor vehicles have been eliminated.

💥 Missile and air defence attacks launched by Russian Aerospace Forces at the provisional bases of 35th Marine Brigade of the AFU near Davydov Brod (Kherson region), 46yh Airmobile Brigade of the AFU near Murakhovka (Nikolayev region), 60th Infantry Brigade near Trifonovka and Novaya Kamenka (Kherson region) have resulted in the elimination of over 280 Ukrainian personnel and 9 units of military equipment.

💥 High-precision missile attacks of Russian Aerospace Forces near Velikoye Artakovo (Nikolayev region), Novogrigorovka and Belaya Krinitsa (Kherson region) have resulted in the destruction of 3 pontoon crossings of the AFU over Ingulets river.

💥 Operational-tactical and army aviation, missile troops and artillery have neutralised 9 AFU command posts, 63 artillery units at their firing positions, 173 manpower and military equipment concentration areas.

◽️ 4 missile, artillery armament and munitions depots have been destroyed near Seversk and Vodyanoye (Donetsk People's Republic), as well as near Zaporozhye.

💥 Within the counter-battery warfare, 2 Ukrainian Grad MLRS batteries have been neutralised by missile attacks near Dvurechnaya (Kharkov region) and Karpovka (Donetsk People's Republic).

💥 Fighter aviation of Russian Aerospace Forces have shot down 2 airplanes of Ukrainian Air Force: 1 MiG-29 near Novogrodovka and 1 Su-24 near Sviridonovka (Donetsk People's Republic).

💥 Air defence facilities have destroyed 9 Ukrainian UAVs near Chervonoarmeyskoye, Dmitriyenko, Charivnoye (Kherson region), Pokrovskoye, Poltava, Troitskoye (Lugansk People's Republic), Orlinskoye and Mospino (Donetsk People's Republic).

◽️ Moreover, 3 projectiles launched by Olkha MLRS have been shot down in air near Velikaya Novosyolka (Donetsk People's Republic).

📊 In total, 315 airplanes and 157 helicopters, 2,160 unmanned aerial vehicles, 379 air defence missile systems, 5,412 tanks and other armoured combat vehicles, 862 combat vehicles equipped with MLRS, 3,452 field artillery cannons and mortars, as well as 6,316 units of special military vehicles have been destroyed during the special military operation.

#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russ
 
Kazi iendelee . Piga wavamizi hao mikoa yetu ibaki salama

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…