LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
analose information war hio iko wazi, ht ukisoma news RT ukienda kwe comments section unaweza ukaona mzani ulikoelemea, sasa hivi putin inambidi kufny interviews mara nyingi kuliko baadhi ya mawaziri wake kuexplain mambo, Lavrov kapotea sikumbuki mara ya mwsho waziri mkuu wao kaongea lini yaan as if haexist vile, mambo yamekua mambo
 
Huyu kidume akimalizana na Zelensky aje Tanzania atuondolee CCM maana wananchi tumeshindwa… atutawale bureee…tunachotaka elimu bora kwa watanzania kiwango cha chini kiwe masters degree…
haha afanye kwanza nchin kwake afanikiwe kwnz tuone
 
Hii habari huyo aliyeitoa kaamua kukolezea tu ili kuwatia moyo Warusi wanaoumia kutokuuziwa Iphones 😂
 
Mimi ninachojua Urusi ni kama Jua kwenye mfumo wa solar hivyo hivyo vingine vyote vinalitegemea jua hilo. Kulitishia jua ni kuyatishia na kuhatarisha maisha yenu. Narudia tena Putin hajaribiwi,waulize Meta,Twitter na BBC watakuambia Nyamizi
Hapana sisi tunajua mko mnalia lia kwa kutokuuziwa kitu Iphone 13,yani hiyo inawauma Warussi kuliko kitu kingine upande wa mobile phones.
 
Eti Aeroflot will stop all flights abroad--------semeni kweli mmezuiliwa na waastarabu wa dunia.
Wamezuiwa Uerope na USA sasa dunia gani hiyo leo dunia imekuwa Euro basi. Africa, Asia sijui India waje tu hakuna kuzuia wala nini. Ukiona media wanatumia sana propaganda ujuwe hali mbaya. Maana hata onground hawa report tena.
 

Russia to develop domestic air transport services, to build its own planes - Putin​

-but project ya suckhoi superjets ilifail vipi?
-project ya MIC inayumbayumba kwasababu ya sanctions
na sasa hivi ndio sanctions zimezidi atafanikiwa vipi?
-labda akanunue za mchina mradi wa Wao ukikamilika lkn nazo zitakuwa zina vifaa vingi vya wamarekan na wazungu so vikwazo vitahusika
-solution labda ni kuwa na supply chain yote ya kirusi
 
Aliambiwa kitu kirahisi sana. Kuwa waambie wanajeshi wako waweke silaha chini. Lakini kajiona yeye anajua sana.

Sasa baada ya hapa kuna kesi zitamkabili. Huyu jamaa atanyea debe.
Wewe ungekua rais wa Ukraine ungekubali kuweka silaha chini?
 
Mbona kama kageuka kuwa motivational Speaker,ni kwamba anajaribu kuwatuliza Warussi na uhalisia wa mambo.Vikwazo vya safari hii,kisu kimefika kwa mfupa.
 
haya waliyajua so wakikwambia wanaunda wataunda tu kwasasa bajeti kubwa itawekwa kwenye viwanda vya ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…