yeah but point yangu walishafanya hizo projects, moja ilifail na nyingine imekwama mda huu, halafu kauli hii inafanana na ile baada ya kufungiwa FIFA na UEFA wakasema watadevelop their own international sports events, ni kama wanavyosema wataacha kutumiua dollar na euro(ni karibu miaka 20 sasa tangu waanze kusema hivyo), ndio maana nawaza je kuna uhalisia au wanasema tu kwa kuwa wamewekewa vikwazo, ni oponion tu lkn.haya waliyajua so wakikwambia wanaunda wataunda tu kwasasa bajeti kubwa itawekwa kwenye viwanda vya ndani
Mie huwa nawashangaa watu humu wanavyoiouza Urusi,hata ukiwa mjinga ambae hata Shule hujaenda unaweza kutafakari kidogo tu na kupata jibu inakuwaje Nchi 28+USA tena yenye uwezo kiuchumi na kijeshi na technolojia waungane against Russia.Halafu anatokea Mtanzania anasema huyo Russia sio chochote.Unafanya analysis kama mtoto wa Darasa la 7 vile, Putin hana sababu za kiusalama kuivamia Poland, ila ana kila sababu ya kuivamia Ukraine, na ndicho alichofanya, NATO hawawezi pigana na Russia, same as Russia unless it is absolutely necessary.
Watu hawapigani vita tu kama pwagu na pwaguzi, vita zina sababu yake. Kama akili yako inakwambia NATO haiiogopi Russia then utakuwa mjinga. Na ujinga wako utakuwa hapa haujiulizi hili swali, Kwann NATO? Na kwann mataifa yote hayo ya NATO yaungane mostly kujilinda na threat ya Russia? Unaweza fanya hivyo kama hakuna security threat?
ndio hapo sasa sema hata hizi nchi zingine zishaujua mchezo wa usaMie huwa nawashangaa watu humu wanavyoiouza Urusi,hata ukiwa mjinga ambae hata Shule hujaenda unaweza kutafakari kidogo tu na kupata jibu inakuwaje Nchi 28+USA tena yenye uwezo kiuchumi na kijeshi na technolojia waungane against Russia.Halafu anatokea Mtanzania anasema huyo Russia sio chochote.
rais mwelevu,angekubali baadae wangeenda mezani ,huenda angebaki na urais wake na nchi take kubaki salama,kwanza angekuwa amejifunzq ndugu yake wa kweli na anayemjali ni RUSSIA ,kitendo Cha NATO kumzilia mziki wa Putin ni kutaka wewe uchapike kwa maslahi yao binafsi.Wewe ungekua rais wa Ukraine ungekubali kuweka silaha chini?
Kanakula podaHuyu jamaa kama kachanganyikiwa[emoji28]
Nchi ingebaki salama ila huyo dogo putin hataki hata kumwonarais mwelevu,angekubali baadae wangeenda mezani ,huenda angebaki na urais wake na nchi take kubaki salama,kwanza angekuwa amejifunzq ndugu yake wa kweli na anayemjali ni RUSSIA ,kitendo Cha NATO kumzilia mziki wa Putin ni kutaka wewe uchapike kwa maslahi yao binafsi.
Unatoa wapi advanced chips, gpu? unakumbuka trump alichowafny huawei? labda watengeneze kitochi ila smartphone marekan atazuia tuTunatengeneza wenyewe hizo cm kumbuka Russia ni donar country
Mie huwa nawashangaa watu humu wanavyoiouza Urusi,hata ukiwa mjinga ambae hata Shule hujaenda unaweza kutafakari kidogo tu na kupata jibu inakuwaje Nchi 28+USA tena yenye uwezo kiuchumi na kijeshi na technolojia waungane against Russia.Halafu anatokea Mtanzania anasema huyo Russia sio chochote.
watu wanatk ulaya na USA coz huko ndo market ilipo, asilimia 90 ya murikans washawahi panda ndege si hapa ht asilimia mbili cjui km inafika sa kuna biashara hapo, biashara ipo huko na AsiaWamezuiwa Uerope na USA sasa dunia gani hiyo leo dunia imekuwa Euro basi. Africa, Asia sijui India waje tu hakuna kuzuia wala nini. Ukiona media wanatumia sana propaganda ujuwe hali mbaya. Maana hata onground hawa report tena.
CCM na Russia ni mtu na binamu yake,unless hujui history ya vita baridi na vita vya ukombozi kusini mwa Africa.Huyu kidume akimalizana na Zelensky aje Tanzania atuondolee CCM maana wananchi tumeshindwa… atutawale bureee…tunachotaka elimu bora kwa watanzania kiwango cha chini kiwe masters degree…