Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Sasa hivi Ukrainian military wanafanya operation " Mwana ukome " ni mkong'oto heavy full kupigwa na vitu vizito kichwani uwe mfano na onyoTazama hapa walivyochapika aisee jamaa hii vita haiwezi tena kudadeki[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wana bahati hawajakutana na wazee WA kazi Azov , wangejuta hao ,hawa dawa Yao ni kuwapasua mafuvu na hizo Kalashnikovs zaoMateka hawa wamejisalimisha na wana njaa kweli kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
KipigoMambo yameanza
Ukrainian troops are complaining about disruptions in the Starlink satellite communications system owned by American billionaire Musk, the Financial Times writes, citing sources.
A senior Ukrainian government official told the publication that some of these outages resulted in "catastrophic" loss of communications and caused panic.
Problems with the operation of the devices were serious in the regions of Kherson and Zaporozhye regions, they were also observed in the Kharkiv region and during the activities of Ukrainian troops against the troops of the DPR and LPR.
Hujui kama Urusi anapigana vita mbili Vitani na Manazi mashoga na Vita ya Kiuchumi au we umekariri mavifaru na mapicha video Tako ya kuokota YouTubeHabari za frontline hakuna mnaleta articles za OIL [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ana matatizo huyo dogo na much know mwingi kichwani empty head .Huyo ni mchambuzi uchwara mjanja mjanja na uchambuzi wake mwingi ni "Professorial Rubbish"
Kuna mateka 4000 wa Ukraine wapo Jela wanalimaMateka hawa wamejisalimisha na wana njaa kweli kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukraine imekomboa donbse, tumeingia urusi tutawapiga kama ngoma.wamebaki kuokoteza viscreenshot vya comment maana ground maji yamezid unga tayar.
Sasa hii JF ya baba yako? Tunajaza server na hakuna kitu mtafanya, matak* yenuAnajaza server na kuchafua uzi tu kwa kutujazia vitaarifa vyake vya nani kanywa kahawa na nani.