ICBM kila nchi inazo hapo Europe unless ulikuwa hujui nini Maana ya ICBMPutin akizidiwa zaidi atawasha hiki kinu muda wowote.... tuwe tayari kwa lolote - hichi ni balaa kinachapa popote duniani, ni nyukilia - ni bara kwa bara mzee wangu...tema mate chini shetani apite.
Intercontinental Ballistic Missile - ICBM
View attachment 2379698
Kwenye vita kawaidaMlaaniwe mnaomshabikia Putin na genge lake ,huyu mpuuzi na genge lake ni cowards na war criminals ,angalia massacre waliofanya against unarmed civilians
Mi naomba wawe wanayakata vichwa haya mapuuz wakitakamata kwenye battle fronts kama POW Kwa sababu hayana utu kabisa na hii wamefanya hata kule Bucha na sehemu nyingine , mass terror and genocide against non combatants civials is totally unacceptable .
Hapo ni lyzum na Hizo mass graves zimegundulika baada ya Ukraine kuurudisha katika himaya take huo mji
Source ?...Inaelekea ile inayoitwa counter sijui offensive mambo sasa ni magumu...hizi ni habari za ndani
Ukitumia logic utaona hii Vita ilikuwa haina ulazima ila dikteta Putin alikurupuka tu.Mkuu, nakukumbusha kwa mara nyingine tena kwamba: linapo kuja suala la kuweka mikakati ya kupigana vita bila ya kukumbwa na hasara/vifo vya kijinga mara zote utakuta kwamba ukitumia logic utahepukana na changa moto nyingi, this is preciously what Russian military is doing, namely: minimising unneccessary loses.
Katika counter offensive ya Uchumi Russia anaupiga MWINGI hàdi unamwagika.Go Russia . Kuna udikteta wa kiongozi ama serekali kwa watu wake na kuna udikteta wa taifa dhidi ya uhuru na demokrasia ya mataifa mengine . Ni muhimu tukapambana na huu wa kimataifa KWANZA tuwe huru na wenye maamuzi .Sio kuprinti pesa ununue kahawa ya wanakishumundu wanaovuja jasho kwenye tope[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2380140
MOSCOW, Oct 7 (Reuters) – Russian President Vladimir Putin has signed a decree, published on Friday, to set up a new operator for the Sakhalin 1 oil and gas project, following similar steps to seize other oil and gas projects with foreign participation.
Exxon Mobil Corp (XOM.N), with a 30% stake, was the operator of Sakhalin-1, a development in Russia’s Far East.
Earlier this year, Exxon took a $4.6 billion impairment charge for exiting the project, its largest investment in Russia, although its head of upstream operations said on Tuesday it was still working with its partners on its exit.
Continue Reading
News Source: Putin orders Russia to seize Exxon-led Sakhalin 1 oil and gas project
Russia Kwa kupenda kuchukua point tatu ili kuzikuza silaha zake hajambo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Hiyo issue inafanywa na Starlink wenyewe,Starlink waliblock huduma zao zisitumiwe maeneo ambayo yanashikiliwa na Urusi ambayo sasa baadhi yamerudi na mengine yanakaribia kurudi chini ya udhibiti wa Ukraine ndo maana Ukraine wakiingia kwenye hayo maeneo hawapati signals.View attachment 2380097
Interruptions in the work of Starlink in Ukraine may be related to the field tests of the Tirada electronic warfare systems, designed to suppress enemy satellite communication lines, conducted this week.
Ukrainian officials told Financial Times that soldiers have faced Starlink outages in recent weeks.View attachment 2380095
[emoji845][emoji635] [emoji777][emoji930][emoji1255]@rybar claims that Тирада-2С satellite jammer was tested this week so that may be the reason of "Starlink" failing[emoji845]
For all the conspiracy theorists saying its Russian jammers..... Starlink is geoblocked in russian controled zones so that they can't have access to it. Because Ukraine is advancing on terriitory that was under russian control, it takes some time for the team to unlock those zones.View attachment 2380095
[emoji845][emoji635] [emoji777][emoji930][emoji1255]@rybar claims that Тирада-2С satellite jammer was tested this week so that may be the reason of "Starlink" failing[emoji845]
One effective, or many mediocre ones, yur choiceSoma hiyo
Since WW2 the US only developed the MLRS (227mm) with 12 barrels or 2 ATACMS, the HIMARS which uses the same rockets but only carries half the amount. The Russians has made a host of systems improving on each other and of various calibres. For Multiple Rocket Launchers they have made:
The US made the ATACMS as it’s only tactical missile. The Russians has made:
- BM-21 (122mm) most produced rocket artillery. 40 barrels.
- BM-24 (240mm) 12 barrels
- BM-25 (250mm) 6 barrels
- BM-27 (220mm) Russian equivalent to the MLRS. 12–16 barrels.
- BM-30 (300mm) 12 barrels.
- TOS-1 (300mm) Heavy thermobaric artillery. Short range30 barrels
- Tornado Universal Launcher - Can fire any previous type of rocket. 6–40 barrels depending on rocket type. This is basically like the HIMARS but more versatile with it’s rocket load-out.
- Luna tactical missile
- Elbrus tactical missile
- Tochka tactical missile
- Oka tactical missile
- Iskander tactical missile
Hiyo inaonyesha Putin anawaamini askari wake, na wao wanamuamini!!! Mpaka hapa wote wanaoiunga Mkono Ukraine wanatamani wapasuke kwa dharau wanazoonyeshwa na Russia. Yaani Russia ana liquidate propaganda za Ukraine na West kwa psychological torture ya Hali ya juu.
Ebu fikiria watu wanakimbizana kupata nishati kwa ajili ya winter huku Wana lazimishwa kuisaidia Ukraine kw silaha na fedha wampige Russia. Pia wengine wanatuma shehena ya silaha na nyingine wanazipa Zawadi eti zinafanya vizuri' kibiashara na hela wanatoa kuwapa Ukraine. Wengine wanachukua hatua ya kulipua bomba la gesi NS2 na 1, Lengo kuu eti wampige na kumkomoa Russia.
Sasa watu wanapigwa na butwaa Putin anaangusha party ya nguvu na anazawadiwa trekta la 150HP! Lazima wachoke!
Hata Mimi nakubali, Himars ni useless tena takataka kabisaaaa